#COVID19 Kwa habari ya Covid-19, Tanzania kisiwa. Mungu ndiye katupa neema hii baada ya kumtanguliza mbele kwenye vita hii

#COVID19 Kwa habari ya Covid-19, Tanzania kisiwa. Mungu ndiye katupa neema hii baada ya kumtanguliza mbele kwenye vita hii

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo.

Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio.

Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona.

Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha corona hasa kama aliyekufa ni kiongozi wa ngazi ya juu.

Watanzania inabidi tuelewe kuwa kwa habari ya corona sisi ni kisiwa.

Mungu mwenyewe ametufanya kuwa kisiwa.

Hivi sasa kuna ushawishi mkubwa watu wavae barakoa na wachanjwe (sina tatizo na hilo ili maadamu wasiseme tumeokolewa na barakoa na chanjo) kwa lengo tu la kutoa ujumbe kuwa kuna corona nchini! Watu wanaibipu corona.

Corona ikiwèpo haizuiliki kwa barakoa wala chanjo. Ingekuwa inazuilika kwa barakoa na chanjo kusingekuwa na maambukizi mapya kwa maelfu kila siku nchini marekani na India maana huko baràkoa ilikuwa ni lazima na wao ndio wanatengeneza chanjo.

Watanzania tumpe Mungu utukufu kwa kushuhudia kwa nguvu zote kile ambacho Mungu ametufanyia Watanzania.

Tuweke kumbukumbu sawa, ili kesho na keshokutwa asiibuke mtu akasema Tanzania iliokolewa kwenye janga la corona na kamati ya corona iliyoshauri Tanzania tulete chanjo.

Wamechelewa Mungu ameshamaliza mchezo.
 
Hakuna aliyekufa?

Kumbuka hata kwa wale wanaoweka data vifo sio vingi. By the way kwanini hayo maombi msiyapeleke kwenye malaria after all inatuua sana kuliko nchi za magharibi? Au Mungu amewapenda wale kwenye suala la Malaria na ametuchukia sisi?
 
Mabeberu na mawakala wao hawataki kuamini. Lakini ndivyo ilivyo! Tanzania ni kisiwa linapokuja suala la corona! Ndiyo maana maadui wa Taifa letu wanaitafuta corona nchini hata kwa tochi bila mafanikio. Hivyo wanalazimika kubambikiza kila kifo hasa cha watu mashuhuri kuwa ni cha corona hata kama taarifa rasmi ya madaktari haisemi hivyo.

Tuache kusema kuwa Tanzania siyo kisiwa!! Siyo kisiwa kwa mambo mengine ila kwà corona ni kisiwa!!! Mungu ametufanya kuwa kisiwa baada ya kumtanguliza mbele kwenye vita hii. Amefanya hivyo ili kulitukuza Jina lake.

Tuweke kumbukumbu sawa, ili asije kutokea mtu kesho na kesho kutwa akadai Tanzania tulikuwa kwenye hali mbaya ya corona mpàka ikaundwa kamati maalumu ya corona iliyoleta mapendekezo tuvae barakoa na tulete chanjo! Halafu akasema utekelezaji wa mapendekezo hayo ndiyo ulioiokoa Tanzania na corona. Wamechelewa! Mungu alishamaliza mchezo na utukufu wote ni wa Mungu!! Naheshimu mchango wa tiba na kinga kwenye afya zetu.

Lakini kwa habari ya corona hao mabingwa wa dunia wa tiba na kinga wameangukia pua!! Barakoa na chanjo hazikufanikiwa kuwaokoa!! Watanzania tumshukuru sana Mungu!
 
Huo ndo ukweli tupo salama kwa rehema zake Mungu, ila viongozi wetu ama kwa kutishwa na wakubwa wa dunia wanaanza kufanya kana kwamba kuna mlipuko wa corona wakati haupo.

Maana vyuo, shule, daladala zinajaza watu na wako salama kabisa.

Yawezeka wamesha pewa pesa za masharti ndo hivyo tena, japo hata nafsi yako inakusuta unalazimika kufanya tu maana hakuna jinsi.
Ni mwehu tu hatatambua msaada wa Mungu ktk nchi yetu.

Maana kuna watu sababu ya kiburi cha madaraka, kiburi cha elimu na shibe hujiona wao ni kila kitu,wakisau kuwa wanadamu wote ni udongo tu.
 
yani kama yupo Mtanzania mmoja au wawili wanakufa kwa Corona basi ujuwe hichi ulichoandika unamsingizia Mungu
 
Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo

Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio.

Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona.

Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha corona hasa kama aliyekufa ni kiongozi wa ngazi ya juu.

Watanzania inabidi tuelewe kuwa kwa habari ya corona sisi ni kisiwa.

Mungu mwenyewe ametufanya kuwa kisiwa.

Hivi sasa kuna ushawishi mkubwa watu wavae barakoa na wachanjwe (sina tatizo na hilo ili maadamu wasiseme tumeokolewa na barakoa na chanjo ) kwa lengo tu la kutoa ujumbe kuwa kuna corona nchini!! Watu wanaibipu corona

Corona ikiwèpo haizuiliki kwa barakoa wala chanjo. Ingekuwa inazuilika kwa barakoa na chanjo kusingekuwa na maambukizi mapya kwa maelfu kila siku nchini marekani na India maana huko baràkoa ilikuwa ni lazima na wao ndio wanatengeneza chanjo

Watanzania tumpe Mungu utukufu kwa kushuhudia kwa nguvu zote kile ambacho Mungu ametufanyia watanzania.

Tuweke kumbukumbu sawa, ili kesho na keshokutwa asiibuke mtu akasema Tanzania iliokolewa kwenye janga la corona na kamati ya corona iliyoshauri Tanzania tulete chanjo

Wamechelewa Mungu ameshamaliza mchezo

Hamna cha Mungu wala nini, kwa huku Afrika huo ugonjwa haujaleta madhara makubwa kwa hivyo. Na isitoshe huo ugonjwa promo lake limekuwa kubwa kuliko vifo vyake.

Mpaka sasa ugonjwa huo umeua watu 3.5m, hiyo ni idadi ndogo sana kulinganisha na maambukizo yake,maama waliogua corona kwa data zilizopo ni 150m.

Kwahiyo acha maelezo marefu sijui ya Mungu wala nini, maana kama ni Mungu basi hiyo ni dunia nzima na sio Tanzania pekee.
 
Kwa maoni yangu - nashani huu ugonjwa ni either a hox au ni ugonjwa ambao hata wataalamu hawaufahamu kwa hakika kuanzia chanzo, transmission etc.
  • Katika mazingira ya kawaida tangu serikali ilivyofungua shule na vyuo na muingiliano wa wanafunzi bila kujali tahadhari za afya mpaka sasa tungekuwa tumeshasikia cases nyingi za wanafunzi kupata covid-19 lakini case si hivyo.
  • Nchi nyingi zilizoathirika sana na covid-19 ni nchi ambazo zimefuata masharti ya kujikinga na ugonjwa huu ilikwepo lockdown, mask , social distancing etc.
  • covid-19 vaccines zimegunduliwa kwa muda mfupi na kuidhinishwa na WHO kwa spidi ya ajabu - why?
 
Hamna cha Mungu wala nini, kwa huku Afrika huo ugonjwa haujaleta madhara makubwa kwa hivyo. Na isitoshe huo ugonjwa promo lake limekuwa kubwa kuliko vifo vyake. Mpaka sasa ugonjwa huo umeua watu 3.5m, hiyo ni idadi ndogo sana kulinganisha na maambukizo yake,maama waliogua corona kwa data zilizopo ni 150m. Kwahiyo acha maelezo marefu sijui ya Mungu wala nini, maana kama ni Mungu basi hiyo ni dunia nzima na sio Tanzania pekee.
Tanzania ndio tuliamua kufunga na kuomba kabla ya tahadhari nyingine yoyote. Tulimtanguliza Mungu na hiyo ndiyo tofauti ya Tanzania na nchi nyingine! Mataifa ya ulaya na marekani wamekuwa wakiuawa kwa maelfu. Tumshukuru Mungu!
 
Kuna nchi kibao tu hapa Afrika hazijaathirika na huo ugonjwa, na hawajafunga na kuomba, je wao nani anawalinda? Acheni utapeli wa kijinga kwa kumuingiza Mungu sehemu ambayo siyo. Ule utapeli wa kipindi cha Magu ndio mnataka kuuendeleza?
 
Kwa maoni yangu - nashani huu ugonjwa ni either a hox au ni ugonjwa ambao hata wataalamu hawaufahamu kwa hakika kuanzia chanzo, transmission etc.
  • Katika mazingira ya kawaida tangu serikali ilivyofungua shule na vyuo na muingiliano wa wanafunzi bila kujali tahadhari za afya mpaka sasa tungekuwa tumeshasikia cases nyingi za wanafunzi kupata covid-19 lakini case si hivyo.
  • Nchi nyingi zilizoathirika sana na covid-19 ni nchi ambazo zimefuata masharti ya kujikinga na ugonjwa huu ilikwepo lockdown, mask , social distancing etc.
  • covid-19 vaccines zimegunduliwa kwa muda mfupi na kuidhinishwa na WHO kwa spidi ya ajabu - why?
Msome huyu jamaa hapo 👇🏾
IMG_20210523_062828.jpg
 
Unaetoa maelezo kama mtu wa darasa la pili B.

-Miongozo ya wizara ya afya ni hii,ukiifuata hauwezi kupata corona.

1. Social Distancing.
2. Vaa Barakaoa.
3. Tumia "Santaiza" kila wakati.
4. Nawa na maji tirika kutumia sabuni.
5. Epuka safari sizizokuwa na ulazima.

Sasa mtu anavaa barakoa halafu kutwa analishishika mara kalivua mikono hapaki "SANTAIZA" hapo utasema barakoa itamsaidia?
 
Kwa maoni yangu - nashani huu ugonjwa ni either a hox au ni ugonjwa ambao hata wataalamu hawaufahamu kwa hakika kuanzia chanzo, transmission etc.
  • Katika mazingira ya kawaida tangu serikali ilivyofungua shule na vyuo na muingiliano wa wanafunzi bila kujali tahadhari za afya mpaka sasa tungekuwa tumeshasikia cases nyingi za wanafunzi kupata covid-19 lakini case si hivyo.
  • Nchi nyingi zilizoathirika sana na covid-19 ni nchi ambazo zimefuata masharti ya kujikinga na ugonjwa huu ilikwepo lockdown, mask , social distancing etc.
  • covid-19 vaccines zimegunduliwa kwa muda mfupi na kuidhinishwa na WHO kwa spidi ya ajabu - why?
Nahisi The New world order is coming stay tuned ndo maana wameanza kuleta electronic pass ili yeyote Dunia hii itamlazimu achanjwe na ukishachanjwa hiyo chanjo Kuna namna labda wameitengeneza kwa mfumo wa microchip ili Dunia nzima ikishachanjwa waweze kuicontrol vizuri na raisi Magufuli alilijua hili mapema ndo maana wakamweka pembeni ili asiwaharibie mipango yao na kwa Sasa tumeambiwa chanjo ikija Ni hiari yako ila badaye wataweka vigezo vya kusafiri nje ya nchi na hata nchini mwetu mikoani na hata wilayani na hata pia ili kupata kazi kwenye kampuni yoyote nadhani vigezo vitakuwa hivyo vya kuchanjwa na bila hivyo hupati kazi na ndo baadaye wewe itakufanya uchanjwe ili upate kazi au ufanye shughuli zako za kila siku ama kuchangamana na watu.

Ngoja tu tuone mambo yanavyoenda.
 
Huo ndo ukweli tupo salama kwa rehema zake Mungu,ila viongozi wetu ama kwa kutishwa na wakubwa wa dunia wanaanza kufanya kana kwamba kuna mlipuko wa corona wakati haupo.
Maana vyuo,shule,daladala zinajaza watu na wako salama kabisa.
Yawezeka wamesha pewa pesa za masharti ndo hivyo tena,japo hata nafsi yako inakusuta unalazimika kufanya tu maana hakuna jinsi.
Ni mwehu tu hatatambua msaada wa Mungu ktk nchi yetu.
Maana kuna watu sababu ya kiburi cha madaraka,kiburi cha elimu na shibe hujiona wao ni kila kitu,wakisau kuwa wanadamu wote ni udongo tu.
Vp Mungu kwenye Ukimwi na malaria?
 
Back
Top Bottom