Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Nani umemuacha alinde kaburi leo?Utamkumbuka mpaka kifo chako alichokufanya hutakisahau dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani umemuacha alinde kaburi leo?Utamkumbuka mpaka kifo chako alichokufanya hutakisahau dogo.
Mama yako mkuu!Nani umemuacha alinde kaburi leo?
Unachokisema ni Cha kifalisayo ili kionwe na macho ya watu lakini hakitoki kwa MUNGUMakaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo
Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio.
Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona.
Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha corona hasa kama aliyekufa ni kiongozi wa ngazi ya juu.
Watanzania inabidi tuelewe kuwa kwa habari ya corona sisi ni kisiwa.
Mungu mwenyewe ametufanya kuwa kisiwa.
Hivi sasa kuna ushawishi mkubwa watu wavae barakoa na wachanjwe (sina tatizo na hilo ili maadamu wasiseme tumeokolewa na barakoa na chanjo ) kwa lengo tu la kutoa ujumbe kuwa kuna corona nchini!! Watu wanaibipu corona
Corona ikiwèpo haizuiliki kwa barakoa wala chanjo. Ingekuwa inazuilika kwa barakoa na chanjo kusingekuwa na maambukizi mapya kwa maelfu kila siku nchini marekani na India maana huko baràkoa ilikuwa ni lazima na wao ndio wanatengeneza chanjo
Watanzania tumpe Mungu utukufu kwa kushuhudia kwa nguvu zote kile ambacho Mungu ametufanyia watanzania.
Tuweke kumbukumbu sawa, ili kesho na keshokutwa asiibuke mtu akasema Tanzania iliokolewa kwenye janga la corona na kamati ya corona iliyoshauri Tanzania tulete chanjo
Wamechelewa Mungu ameshamaliza mchezo
Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo

Mama yako mkuu!
Unakaa Pub mkuu?Nimecheka kwa nguvu mpaka jamaa hapa pub wameniangalia.
Unakaa Pub mkuu?