mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Yaliyo ya Mungu tumpe Mungu bali yake Kaizari tumpe yeye pia. Watu wenye imani za kiroho kuhusu uwepo wa nguvu za Mungu na wazidi kuomba na kumrudishia utukufu juu ya udhibiti wa madhara yake hapa nchini kwa kuwa jambo hili haliwezi kuthibitishwa kwa njia za kisayansi.
Lakini kwa habari ya wale wa upande wa wale wa Kaizari basi nao waendelee kuamini juu ya udhibiti wa kibinadamu juu ya madhara ya Corona kupitia njia za kisayansi zenye kuweza kuonekana kwa njia za kibinadamu.
Kila upande ubaki kuwa na imani juu ya kile inachokiamini, lakini ni ukweli pia upande mmoja unaweza kuwa na hoja zenye mashiko zaidi juu ya jambo hili. Isipokuwa maandiko matakatifu hutuonya na kutupa taadhari juu ya nyakati tunazozipitia hivi sasa kama ifuatavyo;
Ufunuo wa Yohana 22:11
"Kwa sasa yule anayetenda mabaya na aendelee kutenda mabaya, na aliye mchafu aendelee kuwa mchafu. Bali mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema, na aliye mtakatifu na azidi kuwa mtakatifu.”