#COVID19 Kwa habari ya Covid-19, Tanzania kisiwa. Mungu ndiye katupa neema hii baada ya kumtanguliza mbele kwenye vita hii

Bado unaongea kinadharia sana vitu ambavyo vimeshaongelewa sana humu, hapa tunazungumzia uhalisia wa corona.
 
Na Wahindi wamekuwa kwenye lockdown kwa muda mrefu na walipokea shehena zakutosha za barakoa za misaada na bado wamepigika.
Aise!!!!, Ngoja nikupe kidogo ABC huenda ukanielewa

a) Kirusi hakina dawa ni mwili wako (kinga eventually ndio zikikijua kirusi vizuri zinapambana nacho)
b) Chanjo inaweza ikawa ni kirusi kama hicho ambacho hakina nguvu kikiwekwa kwenye mwili mwili unagundua kirusi hence kuweza kukipiga pindi kinapokuja ( ni kama unapewa majibu ya mtihani kabla ya mtihani)
d) Wakati tunaupa muda mwili kugundua kinga ya hiki kirusi ni vema watu wote tusiupate ugonjwa kwa wakati mmoja sababu ikitokea hivyo na taasisi za afya kuzidiwa ni nani atatoa msaada kwa watu critical ? (hapo ndio linakuja suala la lockdown kwa wanaouweza) sisi hatuwezi ila serikali zinazoweza kwanini zisifanye hivyo kunusuru hao walipa kodi wao ?
e) Barakoa inalinda sana watu wanaokuzunguka kama wewe ugonjwa unao usipige machafya au droplets zako usizisambaze kila kona ambapo watu watashika au kuwapumulia kwa kufanya hivyo ni muendelezo wa kuambukiza wengi kwa wakati mmoja.

Story za kwamba barakoa zimewekewa sumu na virusi naona tuachane nalo kwa sasa..., hii nadhani ni too low hata kuliweka kwenye mjadala
 
Bado unaongea kinadharia sana vitu ambavyo vimeshaongelewa sana humu, hapa tunazungumzia uhalisia wa corona.
Kwahio conclusions ambazo zimetokana na uchunguzi wa kisayansi na uhalisia wa mpaka sasa ni nadharia na kwamba taifa hili limelindwa na Mungu ndio uhalisia ?

Hapa ngoja niachane napo sababu naona ni kupotezeana muda (wako na wangu)
 
Hapo tujadili matumizi isivyo sahihi ya barakoa kuanzia kabla ya kuvaa na wakati wa kuvua, wengi hawajui hili je hili lina athari kiasi gani maambukizi ya virusi vya corona?
 
Kwahio conclusions ambazo zimetokana na uchunguzi wa kisayansi na uhalisia wa mpaka sasa ni nadharia na kwamba taifa hili limelindwa na Mungu ndio uhalisia ?

Hapa ngoja niachane napo sababu naona ni kupotezeana muda (wako na wangu)
Hakuna nilipotaja habari za humu wala mimi simuhusishi Mungu katika hili, kama kuna tafiti za kisayansi zenye kueleza kwanini afrika haijaathirika sana na corona zilete tujadili.

Humu nimesema tunajadili uhalisia ambao unaonesha huu ugonjwa wanaokufa ni wachache sana hivyo umekuzwa kuonekana ni ugonjwa hatari ila wewe ukaja na nadhari ambazo tumeshazijadili sana tu.
 
Kwahio conclusions ambazo zimetokana na uchunguzi wa kisayansi na uhalisia wa mpaka sasa ni nadharia na kwamba taifa hili limelindwa na Mungu ndio uhalisia ?

Hapa ngoja niachane napo sababu naona ni kupotezeana muda (wako na wangu)
Niungane na Uhuru J kwenye hili. Sitetei maombi kama solution ya moja kwa moja kwakuwa sina proof (imekaa kiimani zaidi) lkn inaweza kusaidia kuondoa hofu. Kama Uhuru J alivyosema arguments zako ziko kinadharia zaidi kuliko facts so ni vema ulivyoikimbia topic
 
Wewe ni mwongo halafu mvivu kusoma. Marekani takwimu zimashuka kwa kuwa watu wamechanja Kama 120 Milion sawa na 40% ya population.

Hata michezo kama ya NBA wataamaji wameanza kuruhusiwa kidogo kidogo kuingia viwanjani.

India wana tatizo la kiimani, kile kipindi cha kwenda mto Ganges kuogelea wameambukizana sana na walikuwa hawajachanja sana. Kumbuka nchi ina 1.3 Bilion ya population
 
Acha upumbav mbna hatukufuata izo njia na hatukuoata iyo covid?? Uko walikozingatia ndyo imewapiga,,acha ujuaji nduguu covid ni propaganda yakipuuz ile bila kuipotezea inakumaliza

Sawa Mkuu ,hata MEKO alisema ni futa tu lakini FUTA "LimemFUTA" kwenye uso wa dunia.

Kwa jinsi navyoona taarifa nyingi za vifo facebook ,inaonekana 3rd wave ishaanza TZ......Wewe endelea kusema tu covid19 ni Propaganda kwakuwa haujawahi kuupata ,Mwenyekiti tu wa Madaktari MAT alihojiwa juzi alisema bado kuna wagonjwa ,wewe mwenzangu na Mimi Ngumbaru unademka na kusema corona hakuna.
 
Hakika huu ni mradi wa big pharma- cartels viongozi na wanasiasa wamekuwa sacked in knowingly or otherwise.
Viongozi wa kisiasa nchi zilizo dunia ya tatu wengiwana hofu, wanachofanya ni kutumbukia tu bora wapate mkate!
 
Kwa kweli Mungu ni Mwema sana kwetu. Mungu ametushindia hofu ya shetani (corona).
 
Kuna nchi kibao tu hapa Afrika hazijaathirika na huo ugonjwa, na hawajafunga na kuomba, je wao nani anawalinda? Acheni utapeli wa kijinga kwa kumuingiza Mungu sehemu ambayo siyo. Ule utapeli wa kipindi cha Magu ndio mnataka kuuendeleza?
Mimi nimesemea nchi ya kwetu, usalama wetu ni majibu ya Mungu kwa maombi yetu. Hizo nchi zingine zisizo na majina hazinihusu
 
Hivi wewe unadhani unaweza kufuata kanuni za kujikinga kuliko Trump? au yule waziri mkuu wa uingereza waliopata corona? Tatizo lako unaona shida sana kukubali kuwa Mungu ndiye aliyetuponya na corona!! Hivyo ulivyovitaja wazungu ni mabingwa wa kuvifanya lakini haikuwasaidia.
 
Hivi wewe unadhani unaweza kufuata kanuni za kujikinga kuliko Trump? au yule waziri mkuu wa uingereza waliopata corona? Tatizo lako unaona shida sana kukubali kuwa Mungu ndiye aliyetuponya na corona!! Hivyo ulivyovitaja wazungu ni mabingwa wa kuvifanya lakini haikuwasaidia
 
Mimi nimesemea nchi ya kwetu, usalama wetu ni majibu ya Mungu kwa maombi yetu. Hizo nchi zingine zisizo na majina hazinihusu

Nimesema hivi, acha utapeli wa kumuhusisha Mungu na mambo ambayo siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…