Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

Attachments

  • IMG-20240405-WA0011.jpg
    IMG-20240405-WA0011.jpg
    45 KB · Views: 2
Kwa sababu gani?Weka maelezo ya ulalamishi wako.Huna mengi kivipi?

Majuma kadhaa yaliyopita kipindi Engineer Hersi kaalikwa kufanya mahojiano katika kituo cha habari cha al ahly aliuluzwa, ni timu gani zitaingia fainali ya kombe la champions league.

Akajibu ni al ahly versus mamelody sundowns.
Hapo ni kabla hata ya droo ya robo kupangwa.

Nimeanza kuipata picha kamili sasa.

Bila shaka hata droo yenye huenda ilipangwa kabla ya kupangwa.

Lengo ni wazifikishe timu walizotamani zifike fainali.

Ya jana ndo sitaki kuyaongea kabisaaa maana ni aibu.

Kwa mtirirko wa matukio haya kwenye soka la afrika ni dhahiri mvuto unapotea.
 
Sina mengi ya kuandika zaidi ya hayo.
Labda kwako hamna kilicho tokea hapo kigeni ile ikua goli kwa mjibu wa var na line technology mpira haukuvuka 100% line kuna kipande kama 5% kilibaki kwenye line
 
Majuma kadhaa yaliyopita kipindi Engineer Hersi kaalikwa kufanya mahojiano katika kituo cha habari cha al ahly aliuluzwa, ni timu gani zitaingia fainali ya kombe la champions league.

Akajibu ni al ahly versus mamelody sundowns.
Hapo ni kabla hata ya droo ya robo kupangwa.

Nimeanza kuipata picha kamili sasa.

Bila shaka hata droo yenye huenda ilipangwa kabla ya kupangwa.

Lengo ni wazifikishe timu walizotamani zifike fainali.

Ya jana ndo sitaki kuyaongea kabisaaa maana ni aibu.

Kwa mtirirko wa matukio haya kwenye soka la afrika ni dhahiri mvuto unapotea.
Mkuu unahitaji tiba na uangalizi wa karibu.
 
Back
Top Bottom