Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

Mlijipa marumaini makubwa mnoooo!Mtulie mjifunze nini mlikosea!
-kupaki motokaa?
-mbinu hafifu za ufungaji?
-ugeni?
-kuendeshwa na ndoto/pipe-dream?
Mkuu hizo mada za madhaifu ya yanga hazikupaswa kuja kwa sasa maana kama ni madhaifu ya kitimu basi hata hao memelord walikuwa na madhaifu mengi tu both kwa mkapa na kwao.

Kwa sasa tunapaswa kujadili madhaifu ya CAF.

CAF Imejaa uozo.
 
Uirukie CAF badala ya kujiangalia umekosea wapi?Hapa ndipo tunapokwama.Kuwafunga midomo ilikuwa ni kufunga magoli mengi ya kutosha.Siyo kuviziavizia tu.Vichwa vikawa vikuubwaaa hadi vinaelea mabegani.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Majuma kadhaa yaliyopita kipindi Engineer Hersi kaalikwa kufanya mahojiano katika kituo cha habari cha al ahly aliuluzwa, ni timu gani zitaingia fainali ya kombe la champions league.

Akajibu ni al ahly versus mamelody sundowns.
Hapo ni kabla hata ya droo ya robo kupangwa.

Nimeanza kuipata picha kamili sasa.

Bila shaka hata droo yenye huenda ilipangwa kabla ya kupangwa.

Lengo ni wazifikishe timu walizotamani zifike fainali.

Ya jana ndo sitaki kuyaongea kabisaaa maana ni aibu.

Kwa mtirirko wa matukio haya kwenye soka la afrika ni dhahiri mvuto unapotea.
Mvuto umepotea kwa mnaoangalia club bingwa africa kwa mara ya kwanza ,sisi tuliozoea kuangalia hii michuano mvuto ni mkubwa sana ,hakuna jambo jipya bali tunashangaa tu maamuzi ya hovyo mfano kumaliza mechi kabla ya muda wa dk 90,au kutaka kukubali goal kwa kutumia VAR
 
Uirukie CAF badala ya kujiangalia umekosea wapi?Hapa ndipo tunapokwama.Kuwafunga midomo ilikuwa ni kufunga magoli mengi ya kutosha.Siyo kuviziavizia tu.Vichwa vikawa vikuubwaaa hadi vinaelea mabegani.🤣🤣🤣🤣🤣
Tuna muda mrefu sana wa kurekebisha hayo madhaifu ya kwenye timu zetu za ndani maana hatutashiriki mashindano hayo hadi msimu ujao.

Tusipoyaongelea sasa unadhani baadae yatakuwa na nguvu tena.

Wanasema SUPU YA MBWA HUNYWEWA IKIWA BADO NI YA MOTO, IKIPOA HAINYWEKI MZEE.

Madhaifu ya timu zetu yanapaswa kurekebishwa kwa kufanya usajili wa maana ambao utaleta tija.

Both Simba na Yanga zinapaswa kusajili kiufundi na sio kimihemko.
 
Majuma kadhaa yaliyopita kipindi Engineer Hersi kaalikwa kufanya mahojiano katika kituo cha habari cha al ahly aliuluzwa, ni timu gani zitaingia fainali ya kombe la champions league.

Akajibu ni al ahly versus mamelody sundowns.
Hapo ni kabla hata ya droo ya robo kupangwa.

Nimeanza kuipata picha kamili sasa.

Bila shaka hata droo yenye huenda ilipangwa kabla ya kupangwa.

Lengo ni wazifikishe timu walizotamani zifike fainali.

Ya jana ndo sitaki kuyaongea kabisaaa maana ni aibu.

Kwa mtirirko wa matukio haya kwenye soka la afrika ni dhahiri mvuto unapotea.
mkuu nitumie hii vdeo na mm nisikie
 
Back
Top Bottom