Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

Mvuto umepotea kwa mnaoangalia club bingwa africa kwa mara ya kwanza ,sisi tuliozoea kuangalia hii michuano mvuto ni mkubwa sana ,hakuna jambo jipya bali tunashangaa tu maamuzi ya hovyo mfano kumaliza mechi kabla ya muda wa dk 90,au kutaka kukubali goal kwa kutumia VAR
Hilo nimelisikia kwako kwa mara ya kwanza.
 
Hilo nimelisikia kwako kwa mara ya kwanza.
Jana tu kuna maajabu ya waamuzi kutaka kukubali goal kwa VAR jambo ambalo sio kazi ya VAR,kazi ya VAR ni kukataa goli kwa sababu ya handball, infringements,offside kama hakina VAR inatoa go ahead ya maamuzi ya kuwa goal.
 
View: https://youtu.be/gcAH4Qm5M84?feature=shared
wenzetu walipata changamoto wakaja na goal line technology. VAR haiwezi kuamua case kama hiyo hivyo Mwenyekiti wa Vilabu Africa aende na proposal ya kuanza kutumia goal line technology ili kupunguza kadhia kama hizo.

Nakuelewa sana mkuu.

VAR NI ujinga sana hasa kwenye soka la afrika.

Haya madhaifu inabidi tuyakemee sana maana huko mbeleni aibu ni kubwa zaidi.
 
Nakuelewa sana mkuu.

VAR NI ujinga sana hasa kwenye soka la afrika.

Haya madhaifu inabidi tuyakemee sana maana huko mbeleni aibu ni kubwa zaidi.
Tuanzie nyumbani kabla ya kwenda CAF

Baada ya yanga kutolewa ladha itaongezeka zaidi maana ilikua haijulikani wanacheza nini
Ni kweli kabisa mkuu mpira wa yanga kukosa mvuto ni jambo sahihi ila mpira wa afrika kukosa mvuto hii inatia mashaka sana.

Nilitegemea tukikosa mvuto kwenye timu zetu za bongo Kwa ubovu wa vikosi basi tugeukie mpira wa afrika ambao utaamsha molare zetu.
 
Jana tu kuna maajabu ya waamuzi kutaka kukubali goal kwa VAR jambo ambalo sio kazi ya VAR,kazi ya VAR ni kukataa goli kwa sababu ya handball, infringements,offside kama hakina VAR inatoa go ahead ya maamuzi ya kuwa goal.
Nini maana ya VAR goal review
 
Jana tu kuna maajabu ya waamuzi kutaka kukubali goal kwa VAR jambo ambalo sio kazi ya VAR,kazi ya VAR ni kukataa goli kwa sababu ya handball, infringements,offside kama hakina VAR inatoa go ahead ya maamuzi ya kuwa goal.
Nini maana ya VAR goal revi
Umepima ukaona 5% ilibaki nje!!? Tumia ubongo wako wakati unaandika.
Watu wanawazaga kwa kutumia nini sijui?
 
Kiufupi sioni haja ya kuendelea kushiriki mashindano ya CAF ikiwa tayari kuna timu zao wameshazipanga
 
Back
Top Bottom