Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

Nini maana ya VAR goal revi

Watu wanawazaga kwa kutumia nini sijui?
Hayo ndio makosa uki review goal kwa var maana yake umekubali kwanza ni goal ila unaangalia kama kulikuwa na offside ,foul,handball.VAR aiangalii MPIRA UMEVUKA goal line
 
Yani mpira upoteze mvuto kwa timu inayopanga mabeki watano na kwa kipa wake kupoteza muda kusubili matuta, wachezaji hawajui kupiga penat na kipa hana uwezo wa kudaka penat
 
Leta solutions sasa kwa huo utaalamu wako
 
Yani mpira upoteze mvuto kwa timu inayopanga mabeki watano na kwa kipa wake kupoteza muda kusubili matuta, wachezaji hawajui kupiga penat na kipa hana uwezo wa kudaka penat
Daaah vita ni kubwa sana😂😂😂
 
Kisa goli la yanga??

Acheni kwenda na upepo vijana wa jangwani, kulikua na namna nyingi za kushinda.
Mmenda hadi kweny penalties nako mmeonewa??

Sema tu tushukuru tumepata chaka la kujifichia. (Goli la Azizi ki)
 
Mbona wenzenu waliwanyuka 5 na hakuwa na presha ya gemu?
Hawakuwa na presha sababu walipaswa kushinda tano.

Sisi tulipaswa kushinda zaidi ya tano na sababu ya presha yetu tukaishia kufunga tano tu
 
Kisa goli la yanga??

Acheni kwenda na upepo vijana wa jangwani, kulikua na namna nyingi za kushinda.
Mmenda hadi kweny penalties nako mmeonewa??

Sema tu tushukuru tumepata chaka la kujifichia. (Goli la Azizi ki)
Hapa mkuu tunajadili madhaifu ya CAF na sio simba wala yanga.

Soon nitafungua thread ya madhaifu ya wachezaji wa yanga.
 
Back
Top Bottom