Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Al Ahaly mmewafunga ngapi?Uirukie CAF badala ya kujiangalia umekosea wapi?Hapa ndipo tunapokwama.Kuwafunga midomo ilikuwa ni kufunga magoli mengi ya kutosha.Siyo kuviziavizia tu.Vichwa vikawa vikuubwaaa hadi vinaelea mabegani.🤣🤣🤣🤣🤣
Hilo nimelisikia kwako kwa mara ya kwanza.Mvuto umepotea kwa mnaoangalia club bingwa africa kwa mara ya kwanza ,sisi tuliozoea kuangalia hii michuano mvuto ni mkubwa sana ,hakuna jambo jipya bali tunashangaa tu maamuzi ya hovyo mfano kumaliza mechi kabla ya muda wa dk 90,au kutaka kukubali goal kwa kutumia VAR
Tatu mtungi na hatuliilii.😂😂😂Al Ahaly mmewafunga ngapi?
Huyo itakuwa yupo clinic kampeleka mtoto kwenye chanjo.Umepima ukaona 5% ilibaki nje!!? Tumia ubongo wako wakati unaandika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waje haraka sana nipo hapa Tanzanite bridge.
Hahaa Yanga itakuua kwa preshaNiueni.
Jana tu kuna maajabu ya waamuzi kutaka kukubali goal kwa VAR jambo ambalo sio kazi ya VAR,kazi ya VAR ni kukataa goli kwa sababu ya handball, infringements,offside kama hakina VAR inatoa go ahead ya maamuzi ya kuwa goal.Hilo nimelisikia kwako kwa mara ya kwanza.
Nakuelewa sana mkuu.
View: https://youtu.be/gcAH4Qm5M84?feature=sharedwenzetu walipata changamoto wakaja na goal line technology. VAR haiwezi kuamua case kama hiyo hivyo Mwenyekiti wa Vilabu Africa aende na proposal ya kuanza kutumia goal line technology ili kupunguza kadhia kama hizo.
Tuanzie nyumbani kabla ya kwenda CAFNakuelewa sana mkuu.
VAR NI ujinga sana hasa kwenye soka la afrika.
Haya madhaifu inabidi tuyakemee sana maana huko mbeleni aibu ni kubwa zaidi.
Ni kweli kabisa mkuu mpira wa yanga kukosa mvuto ni jambo sahihi ila mpira wa afrika kukosa mvuto hii inatia mashaka sana.Baada ya yanga kutolewa ladha itaongezeka zaidi maana ilikua haijulikani wanacheza nini
Sasa presha si ilikuwa kwa watani wenu?Kama ni presha basi gemu ya goli tano tuliyocheza na simba mwaka jana ningefia pale maana ilikuwa balaa sana
Nini maana ya VAR goal reviewJana tu kuna maajabu ya waamuzi kutaka kukubali goal kwa VAR jambo ambalo sio kazi ya VAR,kazi ya VAR ni kukataa goli kwa sababu ya handball, infringements,offside kama hakina VAR inatoa go ahead ya maamuzi ya kuwa goal.
Nini maana ya VAR goal reviJana tu kuna maajabu ya waamuzi kutaka kukubali goal kwa VAR jambo ambalo sio kazi ya VAR,kazi ya VAR ni kukataa goli kwa sababu ya handball, infringements,offside kama hakina VAR inatoa go ahead ya maamuzi ya kuwa goal.
Watu wanawazaga kwa kutumia nini sijui?Umepima ukaona 5% ilibaki nje!!? Tumia ubongo wako wakati unaandika.
Ndio goli la kwanza duniani kukataliwa?!! Mambo mengine bnanaGoli la wazi la Yanga limekataliwa