Kwa hali hii naamini maneno ya Askofu Gwajima kuwa viongozi wamehongwa ili chanjo ije

Yaani kila nikiskia waswahili wanabeza kuhusu chanjo nacheka mnooo, adi leo tungekua tuliisha wote
Siku hizi kuna madawa,matiba ya kisasa na machanjo kibao ila ndio kipindi kina maradhi mengi kuliko zamani.
 
Na hayo machanjo ndiyo Waafrika kubaki mazezeta
 
Sasa mbona Saudi Arabia wamekataa chanjo za Wazanzibari waliopogwa chanjo na China?

Inamaana chanjo ya China ni tofauti na za nchi za magharibi?

Kama ni tofauti kwanini China wamehalalishwa kuchanja Wazanzibari?
 
Pambana na hali yako, amini unachoamini nami niamini ninachoamini.
 
Cheap how? Gwajima na yule mpima corona ya mapapai walishindwa kuthibitisha ujinga wao mmja katembea kwenye kifusi
 
Sawa na hao hao wataalamu ndiyo walioutengeneza UKIMWI maabara ili watuuzie madawa ya CD 4 kwaajili ya biashara zao, tufe na huo ugonjwa ili waendelee kututawala vizuri zaidi.
Sorry uko out of lengo langu la jibu langu even though am sure you dont know source ya ukimwi.
 
Hao wanaopata mionzi na ARVs,walisha athirika tiyari ila wanasogeza siku,Sasa kama me sina athali yeyote kwanini nidungwe kitu ambacho sina uakika nacho kama kinaniponya?
ARV sio chanjo. tofauti na uviko, arv unaanza ukisha ukwaa.
 
Kama mtafiti anafanya majaribio yake for free bila kulipa compensation wale wanaojitolea kushiriki kwenye majaribio......wewe unafikiri hiyo pesa ambayo anatakiwa kulipa inakuwa inaenda wapi, nimesoma mahali kule marekani wanalipa kati ya dola 80 na 100 kwa kila anayejitolea kushiriki.
 
Sasa mbona Saudi Arabia wamekataa chanjo za Wazanzibari waliopogwa chanjo na China?

Inamaana chanjo ya China ni tofauti na za nchi za magharibi?

Kama ni tofauti kwanini China wamehalalishwa kuchanja Wazanzibari?
Standardization tu kila nchi ina sera zake za diplomasia na regulation. Ssa Saudi wao tunajua ni bloc ya US/EU kwenye trade agremeents so wanaona bidhaa za maadui zao kiuchumi (China) sio sehemu ya foreign policy yao. So automatically wanazisusia na sio hyo tu rejea hta issue ya tik tok na Huawei ni vita tu ya kiuchumi na diplomasia hakuna kingine but all in all zote ni halali tu. In fact Efficacy ya chanjo za china ni kubwa kuliko J and J
 
Umemjibu vyema sana huyo mpumbavu
 
Huioni logic lakini hawa wanaodai MABEBERU wanataka kutuua au tuwe mazombie ili wahamie Africa hiyo dhana POTOFU wanaitoa wapi? Why now and not 1960? Na hata dhalimu mwendazake na wengine ndani ya hiyo Serikali ya kidhalimu walisema hivyo ghafla kufa kwa mwendazake wanakumbatia chanjo!!!
Mimi siamini hizo issue za wazungu kutaka kutuuwa waafrika lakini sio sahihi kusema kuwa et wangetaka kutuuwa wangekuwa washatumaliza kwa sababu et tunatumia madawa na machano yao mengine.
 
Sio kwa chanjo tu, tumtegemee Mungu kwa kila kitu huku tukitumia akili alizotubariki nazo.
 
Mabeberu wa zama zile na hawa ni tofauti sana,je unajua Osama alikamatajwe, Marekani ilitumia njia ya chanjo na kuweza kuchukua vinasaba vya Osama, je unajua kuhusu Waafaghanistani kuchukuliwa na kupigwa picha ambayo itamtambulisha kila Muafaghastani hata akifuta vielelezo vyote kwa kutumia software maalumu iliyotengenezwa na Microsoft ambayo imefanyiwa majaibio kwa raia wote wa Afaghanistani na sasa ipo mikononi mwa Taleban,ambao sasa wana data base ya Waafaghanistani wote na mambo waliyokuwa wanayafanya kwa kuwasaidia mabeberu, hata waliochana na kufuta data wananaswa kiulaini wakipigwa tochi iliyobuniwa na mabeberu. Kama kuchanja we nenda kachanje kila mtu na maisha yake,haya ya kusema oh sababu ni gonjwa la dunia na TZ sio kisiwa mtajua wenyewe.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 evidence please of my writings about China’s vaccine.

I ask you based on your allegation made here in this forum.
I ask you based on your uttarance made here in this forum, because Saudi govt refutes what you try to covince people here.
 
Hii picha inaonyesha jinsi watiz wengi walivyo misukule ya watawala wa ccm
 
Yote hayo kooote duniani amesababisha rais wetu wa awamu ile jeipiem
 


Wewe unazungumzia ARV Unafikiri ARV ni malaika au ni kitu kizuri

Hizo ARV zenyewe ni upumbavu mtupu na wote wanaotumia hawajui ukweli ulipo kuhusu ukimwi na hizo ARV

Mtu kama mimi siwezi kutumia ARV na wala siwezi kukubali kupima ukimwi

Kama hujuwi kaa kimya

Hata tiba za saratani na kisukari zina mashaka makubwa

Siyo kila kinacholetwa na WHO ni salama
 
Wanatuua kila siku na wamekuwa wakituua kila siku ila wewe huwezi kujua sababu unawaza mikopo na misaada ya wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…