Kwa hali hii, waandaaji wa Maandamano wameshinda kwa 100%


Hii siku muhimu imeharibika bila sababu za msingi. Kulikuwa na haja gani ya kufanya zile promotion za maandamano tarehe 7? Maandamano ambayo hakuna aliyekuwa anasema yameandaliwa na nani
 
Hali ikiwa hivi AFCON serikali haram itapata aibu ya karne. Wanaharakati waandae hii kitu kipindi cha AFCON
 
Ushindi mkubwa sana. Sasa bado hatua nyingine.
 
Hii siku muhimu imeharibika bila sababu za msingi. Kulikuwa na haja gani ya kufanya zile promotion za maandamano tarehe 7? Maandamano ambayo hakuna aliyekuwa anasema yameandaliwa na nani
Mwigulu na kauli zake zisizo na hadhi ya waziri mkuu zimechangia kuharibu siku ya leo.
 
Hali ikiwa hivi AFCON serikali haram itapata aibu ya karne. Wanaharakati waandae hii kitu kipindi cha AFCON
Hebu tupumzisheni basi siku haijaisha mshahamisha magoli
 
Hii inatakiwa na wakati wa michuano ya AFCON yatangazwe tena maandamano, na polisi wasipotoka kulinda watu wanandamana kweli. Yaani lazima mashidano yadode.
Hiii point lazima ipo inasukwa nina uhakika AFCON lazima idode hapa tu tayari hili ni doa.
 
Toka ukaandamane si ulikua unapiga mdomo humu?

Tarehe 29 ulinusurika ila safari hii utafia mbele ya mali utakayoiba au kuchoma hakuna huruma kwa wahalifu.

Nyumbu nyie

Mkuu mbona wewe ni mtu ambaye hapa hf,umejijengea heshima kubwa tuu? Unadangnaya ili iweje?
Hali ni nzuri sana hapa sabasaba siyo utani nipo hapa,na hali inazidi kutengemaa pole pole! Watu ni wengi kwa kiasi chake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…