Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

Soon utajuta kuandika ulichoandika sasa hivi.

Wakati ukitaabika ukumbuke hili....!
 
Unawahurumia Kigoma tu??? Robo ya watakaokua kwenye tukio hilo, wametoka Dar es salaam, unganisha na waliotoka mikoa mingine!! Wote tujiandae tu😤😤
 
Unawahurumia Kigoma tu??? Robo ya watakaokua kwenye tukio hilo, wametoka Dar es salaam, unganisha na waliotoka mikoa mingine!! Wote tujiandae tu😤😤
Sikua na maana hio, nilimaanisha mahali tukio linapotokea, otherwise you're very right
 
Duuuh!!
 
Na kirusi Cha Safari hi sio kile kilichokuwa kikiogopa matangawizi na malimao
 
Hivi nyie mnajua siasa au? Tangu wamzushie magufuli kafa na Corona ushasikia nani mwingine kafa na corona?

Hizi kelele zinazoendelea ni kutimiza masharti ya wazamini.
Ati magufuli alikufa na Corona mbona hakuna aliekufa kwenye familiya yake? Naona hii corona ilikuja kumchukua jpm tu na watu wake wa karibu.
 
Mchana mwema











 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa RPCs na RCs waliozuia mikusanyiko kwenye mikoa yapo na wale waliozuia makongamano ya CHADEMA ni wajinga wa mawazo? Au COVID19 inaambukishwa kwenye mikusanyiko inayohusisha chadema tu> Maana tumeona kinamwigulu nchemba, kina mabula wakifanya mikutano ya hadhara bila kusumbuliwa.
 
Naskia machame koona imechachamaa kwerikweri...
 
Mbowe ameshawaroga wafuasi wake wote na hawawezi tena kufikiri,yeye anawatumia kujipia mihela tu
 
Acha hizo.....Ulaya tu tunaona Watu wakiwa Nyomi tena bila Barakoa..! Acha kukariri
Ulaya wamechanjwa mkuu,Uingereza pekee wamefikia asilimia 60 kupiga chanjo raia wake.Hata hivyo baada ya mashindano maambukiz yaliongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…