Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

Tarehe 21 speed ilivyokuwa 100Kmh walionya severe tropical storm lakini baadae wakasema inashuka speed lakini hakikuanza na speed labda 200 plus ila sasa sisi hata kikija kile kidogo speed 80 kitasumbua kutokana na mazingira yetu ndio maana tahadhari ilikuwa lazima ila dalili hizi sio nzuri.
 
Sina haja ya kuendeleza argument na wewe.Characteristic moja wapo ya a mind controlled, brainwashed and NWO slave ni kuita ukweli conspiracy.Mtu wa aina hiyo kujaribu kumuelimisha ni kujisumbua,kwa hiyo unamuacha na upumbavu wake.Bye.
Eti NWO we naye ndio wale wale mnaishi kwenye illusions...... Mie nimesoma vitabu vingi tu vya NWO kuanzia enzi za Roy Livesey aliandika miaka ya 90 pengine ulikua hata hujazaliwa so usijifanye una ni enlight about conspirancy bull$h!t.

Eti mtu anakazana HAARP inatengeneza vimbunga!! Hahahahha unachekesha sana kijana.

Tatizo lenu hamtaki facts kusoma wikpedia tu unajikuta tayari expert wa bio weapons

Kwa msaada tu ingia reddit r/conspiracy theory utakuta mada nyingi tu mpaka za kifo cha JPM na Nyerere zinajadiliwa. Huko utakuta washamba wenzio wamejazana zaidi ya 2 Million!! Good luck
 
Kwa hiyo umeanza kuto waamini mabeberu?
Si.mnasema kila wanachosema ni sahaihi sasa kwa vile imeshindikana na hilu mnasema wanakosea?
 
Eti Mungu anatulinda sana wakati Biblia na Quran zote zinakiri mvua,upepo, n.k vinatoka kwa Mungu!! So ina maana Mungu anatulinda dhidi ya kitu alichoumba mwenyewe? So anafaham kuwa ni kibaya?
Unafahamu kuhusu agano alilofanya Mungu na mwanadamu mpaka kukawa na upinde wa mvua? Mungu yupo na ndo anatuepusha na majanga haya mwenyewe kwa kadiri ya neema zake.... bila YEYE sisi sio chochote. Daima twamtegemea YEYE atuepushe na majanga ya dunia hii. Nenda katubu ndugu, Mungu si wa kufanyiwa dhihaka.
 
Stuka wewe, hiyo stori inaweza kuwa ilikuzwa kutengeneza njia ya kupitisha mzigo ilipobumba ndio zinakuja taarifa kimeyeyuka kwa nguvu za maombi.chezea tani mbili nini ?
Inaweza kuwa kweli!! walitaka kutengeneza mazingira ili watu wawe wachache baharini ili mzigo upite!!
Kwahio wauza unga wanna watu wao hapo CNN.

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Kama hayati angekuwepo basi hiki kimbunga Jobo kingetupiga vibaya mno kama lile tetemeko la Kagera kisha angeshangisha pesa alafu angesema serikali haijaleta Kimbunga
 
Ndugu yangu utaabiri lengo lake ni kutoa tahadhari.. kutokutokea kwa janga haimaniahi kwamba walikosea ndo maana ni watu haohao wametoa feedback kutaarifu kwamba kimbunga kumepungua nguvu technolojia ya sahivi ngumu sana kukosea hasa kwa janga kama la kimbunga yani..
 
Mechanism ipi ilitumika kupinda Msumbiji? Hebu kuwa muungwana sema "Mungu alitusaidia" shenzi wewe!
 
In short, Mungu ametusaidia hayo mengine ni upumbavu!
 
Mechanism ipi ilitumika kupinda Msumbiji? Hebu kuwa muungwana sema "Mungu alitusaidia" shenzi wewe!
Kwani kimbunga Idai nacho si kilikuwa Tz bound ila kikaishia mtwara to msumbiji..... Hata mvua kubwa imenyeshwa mtwara hku kimbunga kiki susbside baharini!! Au huko Mtwara hawana Mungu.

Akili zako ni kama hilo shetani kwenye avatar yako!!
 
Umesahau kitu kimoja ambacho Mungu alikifanya tukainuka kama taifa. Emb kiongeze hapo chap nishushie na hii throat sanitizer yangu! Fanya fasta.
 
Acheni utoto ina maana msumbiji hakuna watu wenye Mungu? Mbona kuna mafuriko kila mwaka? TMA wameeleza proximity na equator ndio imetuokoa jitu linakuja hapa na upotoshaji.

Mungu ndio kaumba vimbunga na vinaua maelfu kila mwaka sasa unapodai yeye kazuia ina maana kazi yake ina makosa? Ina maana Mungu anajua vimbunga ni vibaya kwa binadamu ila anavipeleka msumbiji kila mwaka?

Embu msipende kujifanya mnampenda Mungu sana otherwise takwimu za Mewata zisingeonyesha 35% ya wanawake wanalawitiwa na wanaume Tanzania!!
 
Asante hayati rais Magufuli kwa kutuachia wosia wa kuacha hofu na kumtegemea Mungu kwa kila jambo.

Kimbunga Jobo na Corona wamekiona cha mtema kuni Tanzania.

Ni aibu tupu kwa Chadema.
 
Nchi iliyobobea kwa matambiko na mambo ya hovyo hovyo kama ulozi, uchawi, ushirikina, ufisadi, wizi wa pesa na mali ya umma, ufiraji inalindwa na Mungu yupi? toa ufafanuzi...
 
Alooo!!!

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 

Mungu kaanzisha lini mipaka ya nchi😂😂 sasa Je walikufa wengine kwenye nafasi za juu Mungu hakuwepo au😂😂 acheni kumchezea Mungu
 
Naona sheikh kisiki anasema jobo imechapwa 3 bila
 
Kabisa kabisa ... na kwa sababu hili umeliweka kwenye jukwaa la SIASA basi niseme tu hata huko MUNGU MKUU ametulinda kwa madhara ya kisiasa ambayo yalikua yanaenda kuligharimu taifa kwa madhara makubwa ya UDICTATOR

Basi niseme tu watanzania wote kwa ujumla wetu tumshukuru sana MUNGU kwa kutulinda na UDICTATOR hasa kwa kutuondelea DICTATOR aliyekua anaanza kuota mizizi na kushika kasi ya ajabu

Hii ni kwa sababu kuna mmoja wetu alijitangaza kuwa yeye ni MALAIKA na akataka kupewa URAISI wa maisha lakini kwa mapenzi yako MUNGU na kwa huruma yako kwa watanzania ukamkata moto fasta na kuzima ndoto zake na za wenza wake

Ila bado kuna mmoja bado anajitutumua na kujaribu kujifanya yeye ni Mwamba Mkuu. Eeh MUNGU tunakuomba kwa baraka za mwezi huu mtukufu wa RAMADHANI tusikie dua yetu watanzania, tunakuomba utuondolee na huyu nae haraka uwezavyo aidha kwa kifo, ugonjwa usiopona au ulemavu wa kudumu na ashindwe kukikalia tena kiti kile cha MJENGONI

Tuseme Amen!!! [emoji2969][emoji2969][emoji2969]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…