Kwa hawa Madaktari huko mbeleni tutapata tabu

Sasa shida ni kujua kingereza au kujua lugha zaidi ya moja? Mbona hueleweki unataka nini?
 
Huu uzi ni wa madaktar najua madaktar mtaingia humu kuusoma ebu naomba madaktar leo mnisaidie kitu

Unaweza kuta mtu anaumwa na ugojwa wake kulingana na kitua cha afya alipo hawez kutibika anatokea daktar anamshauri mgojwa akatibiwe kwa mganga wa kienyeji hii inatokea sana yan unakuta daktar au nesi anamuita mgojwa au ndg ya mgojwa af anamshauri kumtoa mgojwa hospital akatibiwe kienyeji

2) kuna ili suala la uzazi wa mpango unakuta daktar au nesi anamshauri mtumiaji wa dawa za uzazi wa mpango anamwambia sio nzuri zinazala wakiwa pembeni ila wakiwa ofsin daktar anakushauri utumie sasa km ni mbaya kwa nn madaktar hamjazikataa sku zimeletwa
 
Kuuumbee ndio maana mara nyingi wagonjwa wakipelekwa pale huwa hawarudi!!!!!
Nilikuwa nasikia kama stori tu kwa watu kwamba mgonjwa akipelekwa pale harudi akiwa mzima au hata akiwa mgonjwa bali anarudi akiwa marehemu lakini mwaka jana bibi yangu alipelekwa pale na alirudi na jina la marehemu.
 
Yaani hao hawana imani na taaluma yao. Wametawaliwa na imani nyengine wapo hapo walipo kuganga njaa tu.
 
Unalo sema ni kweli ila linaanzia uko chini, mimi binafsi paka leo na shanga mtoto alie maliza f4 na kupata D4 anawezaje kusoma udakitari CO, kwanza vile vitabu vya medicine hawezi kutoa concept hailewi kabisa. Kiingereza hiki cha kawaida cha kuongea ni shida, àtaweza je kusoma na kuelewa vitabu vikumbwa kama atonomiology, kwa kweli mimi naona ni usani kwenye hivyo vyuo vya kati...........
 
Kwani kingereza kinatibu? Acha kuchosha watu, wewe mwenyewe fasihi hujui!
 
Na ukienda kwa hospital hiz hiz za kiafrica kuliko uhudumiwiwe na daktari mwenye kipili pili mwenzako utajuta

Afazali uuudumiw na madaktar waarabu au wahindi
 
Hivi umesahau English ya prof Ndalichako aliyekuwa waziri wa elimu? English ya jiwe je (RIP) kingereza mkuu sio tija
 
Kwani kingereza kinatibu? Acha kuchosha watu, wewe mwenyewe fasihi hujui!
Maana ya mleta mada nikwamba madakitari wetu hawaja iva kitaaluma hata kudiagose na kuandika report ya mugonjwa ni shinda, wana bahatisha tu tunapona kwa kudra za Mungu tu
 
English is not a measure of intelligence.
Kuhusu kuwa competent siyo madaktari na COs tu, karibia maeneo mengi tuna watu (siyo wote) ambao wamekariri vitu juu juu, wanafanya kazi lakini hawajui wanachokifanya, Haya ni matunda ya elimu yetu toka msingi mpaka juu na pia kudahili wahitimu kwa kuangalia matokeo ya kwenye makaratasi

Student
 
Mimi naweza kuongea kiingerezakilichonyoooka safii bia chenga lakini sina fani yeyote zaidi u-upishi nilijifunza kiingereza vizuri nilipokuwa canada familia yote walikuwa wanaongea kiingereza mkmi tu ndo nilikuwa naongea kiswahii

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Juzi nilikua hospital, hao vijana wameshindwa choma/ weka ile kanule mara 3, anakuja huyu mara yule. Nilijaa sumu kwa mgonjwa wangu
 
Nasimama na naunga Hoja
 


Tufanyaje sasa?
 


Na hoja yangu iko hapo kwenye D4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…