Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa Afrika anaweza hicho kitu? au kwa mfano kwenye kiti cha Zelensky muweke Mama kawekwa mtu kati na Rais wa Marekani na Makamu wake.