Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
- Thread starter
- #21
Ulitaka nyerere aangalie tu alipovamiwa na Amin?Zelensky alizingua big time,Kwanza uvaaji wake ulikuwa wa hovyo Sana anavaa kama mtu anayeenda vitani.
Trump alimwambia anacheza na vita ya 3 ya Dunia and yet he doesn't have the cards.
Kiufupi, Zelensky ni mjinga Sana anajifanya mjuaji na Hana lolote.
Anang'ang'ania kupigana vita ambayo yeye mwenyewe anajua hawezi kuishinda.