Mjinga na ukondoo ni wako usituingize kwenye hilo genge watz wote.Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
The World 🌎 is Living, Suffering is your Choice.Bro kutoka moyoni. Wacha wapumzike kwani ule sio uchaguzi ni uchafuzi.
Mjinga na ukondoo ni wako usituingize kwenye hilo genge watz wote.
Unataka tufuate mkumbo wa Msaliti Lissu. Eti alikuwa anawaambia viongozi wa Chadema kuwa wafadhiri wenu hawatatoa pesa mpaka kuwe na uasi/vurugu watz wakainaza na wakajitenga naye wamebaki nyumbu tu wasiojua kitu kama wewe.
Watashiriki vyama vingine. Tuna vyama 19 ukitoa CDM vinabaki 18 vinaweza kushiriki uchaguzi.Kwa yale niliyoyaona na kuyashuhudia katika miaka 2019, 2020 na 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Nawaunga Mkono CDM. Hao walio kubali wakiwa na nia kweli ya kutaka mageuzi, wasingekubali kuingia kwenye uchaguzi na pia kama watanzania tungekuwa na akili, tungekuwa uchaguzi kwani mabilioni ya pesa yanapotea bila sababu.
Ule sio uchaguzi bali ni uchafuzi. Wanavuja na kutapanya pesa bila sababu yoyote ya maana.
Inasikitisha.
Huyu ni mhaini anafanya hivyo ili afadhiriwe na hao mabeberu wake. Huyu ni Mhaini kabisa anahitajika kunyongwa.
Hiyo huruma inatokea wapi?That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
..bora kuwa chawa kuliko kuwa mfuasi wa Lissu
Chadema hakuna ufisadi??
Sasa mbona wewe ndio unaonekana chizi. Toka lini mtu anaetetea haki akaonekana chizi?Nipo singida,hadi huku wanyaturu wanadai chadema walibugi kumpa chizi chama,na kitu kibaya habari zinazosambaa ni lisu kuhamasisha watu kuingia msituni,hata vijana wa chadema wanamlaumu lisu
Msikilize hapa chini huyo Mhaini Lissu alivyotumwa na hao wafadhiri wake afanye.Duuh, hivi Samia unaweza kumsimamisha popote chini ya mbingu na kumshindanisha na Lisu kwa hoja yoyote inayowahusu wanadamu labda majini 😂😂😂😂😂
Yaani Samia hata angekoswa na jiwe asingejeribu tena kuingia kwenye siasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Yaani Chama tawala amepita bila kupingwa ndani ya chama lakini angalia pesa na rushwa anazomwaga .
Mabango nchi mzima .
Unajua gharama ya kuchapisha bango moja wewe?
Pikipiki Elfu 17 sio mchezo .
Mpaka radio za Samia zimetengenezwa na wachina .
Bado tu kuzalisha vifarangaa vilivyoandikwa SSH Mitano tena .
Halafu gharama zote na maandalizi mpaka polisi wanawake nchi nzima walishona vitenge vya Samia mitano tena wanakwenda kushindana na Chauma .
CCM wamepata hasara kubwa sana .
Hata majukwaa yao hawatakua na hoja za maana . Utabeba watu na malori ili iweje wakati hakuna ushindi ni lazima na ushindani ni dhaifu.
Aibu kubwa sana
. Unafikiri Samia na Kundi lake wanamhofia nani zaidi ya Lisu.?
Huoni kwamba kundi la mafisadi la Samia linapata maumivu makubwa sana baada ya kutumia fedha nyingi na kuwaumiza wananchi wakati Chandema hawashiriki .
Wewe ni mtu wa akili ya kawaida kabisa unayewaza maisha yako binafsi na familia yako jambo ambalo hata wanyama wanawaza hivyo hivyo .
Umewahi kuandaa chakula Kingi cha gharama kwa ajili ya wageni halafu wale wageni wakaghairi kuja siku hiyo ?🤣🤣🤣🤣🤣
Utawalalamika na kuwalaumu sana kwama vile umepata hasara kumbe hata wangekuja bado chakula kingeingia matumboni mwao na kwenda chooni bila kurudishiwa pesa gharama zako .
Mhaini Lissu anatetea haki ngani? Msikilize hapa chini anasema je.Sasa mbona wewe ndio unaonekana chizi. Toka lini mtu anaetetea haki akaonekana chizi?
Sasa mnawashinikiza CDM wa nini? Si muendelee na huo ushuzi wenu?Watashiriki vyama vingine. Tuna vyama 19 ukitoa CDM vinabaki 18 vinaweza kushiriki uchaguzi.
Chama cha mandela kilikaa miaka 90 bila mbunge wala diwani lakinj hakikufaHuo ni ujinga, Sasa mnapojiita wapigania Uhuru Kama Mandela halafu mnaingia mitini ni akili au matope?
Ndo chama limekufa Rasmi.
Lissu ameeleza maana ya uasi Mimi ni nani nimbishie hata Sheria sijasomaunadandia maneno kwa wajinga wenzio unaelewa maana ya uasi
Pumbavu mama yako na Mhaini Lissu anayetaka watz wapigane ili afadhiriwe na wazungu. Msikilize hapa chini.Sasa mnawashinikiza CDM wa nini? Si muendelee na huo ushuzi wenu?
Pumbavu.
Na kuna watu ndani ya ccm wanafurahia hii move sio kwa sababu chadema inaenda kupotea ila kwa taharuki iliyopo katika nchi yaUmewadia wakati wa CCM kupasika! Subirini mtaniambia!
Hii situation kama dabi ya karikoo march 8, 2025.Mpira dak90 hapo siku ya kupiga kura, tuone mziki wake.
Katika watu ninaowadharau humu chini ya jua ni CCM. Yaani hii ni toka moyoni. Nawadharau sana nyie makada kwani wengi huwa mnatumia matako kufikiria.Pumbavu mama yako na Mhaini Lissu anayetaka watz wapigane ili afadhiriwe na wazungu. Msikilize hapa chini.
View attachment 3302019
Kweli mimi siyo hadhi yako. Mimi ni hadhi ya mama yako nakushangaa unaponituka wakati mimi ni baba yako.Katika watu ninaowadharau humu chini ya jua ni CCM. Yaani hii ni toka moyoni. Nawadharau sana nyie makada kwani wengi huwa mnatumia matako kufikiria.
Mkuu byeeeeeeeee mi sio hadhi yako.
🖕🖕Kweli mimi siyo hadhi yako. Mimi ni hadhi ya mama yako nakushangaa unaponituka wakati mimi ni baba yako.