KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

R.I.P CHADEMA saa hz waseme waandamane watachakazwa hawa maana hatuwajui ni chama cha siasa au kakikundi ka wahuni
 
Huu uoga wote ni wa nini??nchi ni yetu hao cdm wanasema tufanye uchaguzi wa haki kila anaechaguliwa atangazwe akishindwa miaka 5 asipochaguliwa basi atoke shida hapo ni nn?? Hata hao cdm wakifa ambalo mimi naona ni mjinga tu anaweza kufurahia cdm au ccm kufa basi mjue vitakuja vyama vingine na mimi naona bora twende kwa hekima na kuelewa nchi hii i ya kila mtu aliezaliwa hapa ana haki.
 
Nipo singida,hadi huku wanyaturu wanadai chadema walibugi kumpa chizi chama,na kitu kibaya habari zinazosambaa ni lisu kuhamasisha watu kuingia msituni,hata vijana wa chadema wanamlaumu lisu

Punguza uongo.
 
Asiyemjua mdudu anaitwa kaa,anawezadhani anarudi nyuma kumbe ndo anaenda mbele
 
Tangu nizaliwe sijawahi kusoma Sehemu wameandika neno "Rais wa nchi ni CHADEMA"

Neno lenyewe tu utafkiri halipo duniani
 
Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia

Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge

Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki

CHADEMA wamefanya maamuzi sahihi. Wawaachie CCM wabebe viti vyote bara.
 
Acha ife, kisha hao wanaoitegemea cdm kuendesha maisha yao wafe. Sisi tunataka siasa za kweli, sio vyama vya kuendesha maisha binafsi ya watu hapa mjini. Kama mlitegemea watu wataendelea kushiriki hizi chaguzi za kishenzi, kisa kuna watu wanaondesha maisha yao, sasa imefika mwisho.
 
Kama mlipa Kodi ambaye pesa yangu inatumika pia kama ruzuku ya haya maigizo ya demokrasia sioni lolote la kusherekea wala kujivunia (kwamba hivi vyama vyovyote kama msindikizaji au supporting actor ndio ubora au umahiri wake)? Kama issue ingekuwa ideology / itikadi basi hio haiwezi kufa hata kama hakuna Chama

 
Wanajenga trust kwa kusimamia hoja zao hata kuwa tayar kupoteza ruzuku .unaingiaje kwenye uchaguz kwa kutegemea huruma ya mtawala
 
Hakuna uchaguzi ni ushetani tupu, nawaelewa sn CHADEMA waache kuwa sehemu ya kuhalalisha mauaji ya watanzania kwa uchaguzi fake
Mimi nadhani tusubiri muda utaongea, mpaka hapo kama makalan ameutangazia ulimwengu kwamba CDM watanunua M-pox wakati wa uchaguzi,ni mwangalizi gani ataweka maisha yake rehani kuja kuwa mwangalizi wa uchaguzi? kuna mambo mengine watu hawashirikishi ubango kabisa.
 
Upuuzi wa ccm huo... Wewe baba yako ni mbunge au diwani?, Hauli mpaka awe mbunge au ww familia yako haishi kisa sio mbunge?. Hoja za kipumbavu kwenye kwenye sensitive matters acheni.
 
Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia

Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge

Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Kumbe ulikua ni upinzani wa madaraka na vyeo, sio kutetea wananchi??

Hao wanaomkumbuka bado hawajachelewa waende veggies kuna nafasi..!!
 
Ila kuzuia uchaguzi watu hawatakufa? Kama unaweza kuzuia uchaguzi, unashindwaje kulinda kura. Tulionya humu Braza K ni mradi wa CCM mlipuuza. Sasa samaki kishakula ndoano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…