Kimekwisha kabisa, kwisha kabisaaaThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Mmeshaiuza Tanganyika kwa mzanzibar Sasa mnajidai hamtaki siasa za kitapeli, Sasa Nani tapeli? Kuwapotezea watanganyika haki ya kupiga kura siyo utapeli?Watanganyika hatutaki siasa za kitapeli tena. Endeleeni nyie mnaofaidika na hizo siasa za kihuni.
Tukutane 2030 na wakileta tena za kuleta ni nyundo Hadi 2040 😂😂That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Hakuna ujing, mtoto wako anasoma,unalima,afya vituo vipo,maji ww unataka nn ccm ikufanyieNi uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
G55 ni ccmCCM wanaeneza propaganda kuwa lisu anataka kuingia msituni,na watu wengi hawana smart phone,hawapati taarifa bali zile za tv saa mbili
Lissu ni activist/mwanaharakati mbobezi, lakini si mwanasiasa, yuko mfinyu sana kwenye political struggle, ni mwenye tahamaki na kila kitu kwake ni urgencyLissu ni mbinafsi sana
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Well saidLissu ni activist/mwanaharakati mbobezi, lakini si mwanasiasa, yuko mfinyu sana kwenye political struggle, ni mwenye tahamaki na kila kitu kwake ni urgency
Acha kufananisha kitoweo (bata) na upuuzi mkuu..!! 😹😂😂😂Hebu tupe takwimu za hivyo vyama vingine katika chaguzi za nyuma!!. Yaan unataka kushindana na vyama ambavyo havipati hata kura moja ya Rais Nchi mzima!!. Bata kabisa..
Unaongelea nini?, Mambo ya MBOWE kamuulize Mbowe .... Tupo na Lissu katika ukurasa wa kudai haki ya kweli isiyo na mawaaa!Ila kuzuia uchaguzi watu hawatakufa? Kama unaweza kuzuia uchaguzi, unashindwaje kulinda kura. Tulionya humu Braza K ni mradi wa CCM mlipuuza. Sasa samaki kishakula ndoano.
Hata ukipiga hiyo kura huwa inaheshimiwa? Kawahamasishe hao watanganyika kupiga kura maana uchaguzi upo.Mmeshaiuza Tanganyika kwa mzanzibar Sasa mnajidai hamtaki siasa za kitapeli, Sasa Nani tapeli? Kuwapotezea watanganyika haki ya kupiga kura siyo utapeli?
Chadema pumbafu sana. Sasa tukae bila kupiga kura Hadi 2030 sababu chadema keshauza Tanganyika ?
Ndio mkuu, ni Diwani. Unataka kusemaJe sada?Upuuzi wa ccm huo... Wewe baba yako ni mbunge au diwani?, Hauli mpaka awe mbunge au ww familia yako haishi kisa sio mbunge?. Hoja za kipumbavu kwenye kwenye sensitive matters acheni.
🙌🙌😂😂Wanaudhi hawa nguchiro..Acha kufananisha kitoweo (bata) na upuuzi mkuu..!! 😹
What u gonna do? mmepoteza legitimate political space ya kupambana, okay bye bye till 2030Kwa hili nimeamini Lissu ni mwamba wa kweli!
Nashangaa sana vyama 18 vimesaini lakini mayowe kama yote..hahahaha
Muda utaongea mengi....
CCM walizoea sana....watu hawataki upumbavu tena....
Nafasi za siasa sio ajira... Hivyo hakuna mwenye umiliki nayo.Ndio mkuu, ni Diwani. Unataka kusemaJe sada?
Vyama ni 17 na ccm ni sehemu upangaji na ufaidika wa huo uhuni uitwao uchaguzi. Cdm ndio waathirika wa hizo chaguzi za kihuni na sio hivyo vyama ulivyovitaja kwa wingi wao. Ama unadhani ukitaja idadi hatuwezi kuujua ukweli?Ina maana vyama 18 havielewi,wao chadema ndio wanaelewa
Hakuna uchaguzi hapoWalipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki