Sitaiacha CHADEMA yangu iko damuni sina mbadala😭😭😭View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.
Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Naona CCM mmefurahi. It is the big step for youNi furaha kubwa mbinguni mwenye dhambi mmoja akitubu,vivyo hivyo ni furaha kubwa duniani nyumbu mmoja akijitambua na kuacha unyumbu!。
Karibu tena uraiani kama binadamu kutoka kwenye umnyama nyumbu!。
P
Jamaa kapiga mnada chama CCM wanashangilia haswaMbowe is a sell out, I wish tungemjua mapema before it was too late. Hivi kwa siasa moderate za Mbowe kuna matumaini kweli kumtoa Samia?
Mimi siwezi msupport tena huyu mzee, nitajiweka mbali na chadema mpaka siku tukikomboa chama kutoka kwa huyu fisadi.
Mkuu kwa madudu haya ya Mbowe acha nibaki bila chama sitaki tenaSitaiacha CHADEMA yangu iko damuni sina mbadala😭😭😭
Duh, Pascal una vijembe vya rejareja.Ni furaha kubwa mbinguni mwenye dhambi mmoja akitubu,vivyo hivyo ni furaha kubwa duniani nyumbu mmoja akijitambua na kuacha unyumbu!。
Karibu tena uraiani kama binadamu kutoka kwenye umnyama nyumbu!。
P
Niandamane nipigwe virungu halafu baadae watu wanakaa ikulu wanalipana pesa na kufanya maridhiano.Tangu lini uliwahi kumuunga mkono Mbowe na Chadema? Mbona siku ile ya maandamano Mbowe alikuwa peke yake na bintiiye tu? Eti leo sikuungi mkono! KUMBAVU!!
kwenye CCM kuna different classes,kundi la bourgeoisie na ma lumpen proletariats ndio wanafurahia,liko kundi CCM contemporary hatufurahii CCM kukosa upinzani imara, ndio maana uchaguzi wa 2020 baada ya kuona Lissu hawezi kumshinda JPM, tulimshauri JPM,amteue Lissu For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?Naona CCM mmefurahi. It is the big step for you
Yaani kwa mawazo na uwezo wako ulilua unawaza kuna Chama cha kuiondoa madarakani CCM siku za karibuni? Serious kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.
Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Usisahau na kunywa juice kwa korosho! Ahahahahaha!!Niandamane nipigwe virungu halafu baadae watu wanakaa ikulu wanalipana pesa na kufanya maridhiano.
I
Incumbent unamungushaje na kamati anaandaa mwenyewe ni sawa tu kuamini utaangusha CCM wakati kamati anateua Rais
Sasa ulitaka wasishangilie?😎Jamaa kapiga mnada chama CCM wanashangilia haswa
Upo nao UWT mkuuSasa ulitaka wasishangilie?😎
Wao wakikaa wanaona kama vile lisu anaingia ikulu hivihivi wakisaidia na paskali!!!Yaani kwa mawazo na uwezo wako ulilua unawaza kuna Chama cha kuiondoa madarakani CCM siku za karibuni? Serious kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sio kuibiwa ila incumbency advantage, mfano mpaka sasa jamaa anaitwa mwenyekiti hivyo anatua resources za chama kufanyia kampeni za uenyekiti tofauti na makamu ambaye hana ofisi wala posho!!kwahiyo mnahisi mtaibiwa kura
Sio kuibiwa ila incumbency advantage, mfano mpaka sasa jamaa anaitwa mwenyekiti hivyo anatua resources za chama kufanyia kampeni za uenyekiti tofauti na makamu ambaye hana ofisi wala posho!!
Pia kamati ya uchaguzi anaisuka mwenyewe sasa itamuangushaje kura zisipotosha? Pia bado ni Mwenyekiti mpaka tunapoongea means ana uwezo wa kujua watu wote wanaompromote Lissu!! Na wengi lazima waogope maana uchaguzi ukiisha watajua Mbowe atawashughulikia.
Ukitaka uchaguzi wa kidemokrasia ni pale Mbowe angestaafu after 20 years ili sasa fomu wangechukua hata watu 10 wapewe muda wa kutosha kupiga campaign ikiwezekana majimbo yote kufanyike primaries na baadae wachague mwenyekiti mmoja.
Kama hatukuyaona kabla inakatazwa kuyaona sasa?hayo yote hamkuyaona miaka yote nyuma mpaka sasa?
Tuliyaona muda mrefu ila waliodiriki kulisema hilo waliitwa wasaliti mf Zitto n.khayo yote hamkuyaona miaka yote nyuma mpaka sasa?