Uchaguzi 2020 Kwa hii hotuba ya Tundu Lissu Segerea, amepotosha

Uongo huo Joka kuu. Mimi ninaishi hapa Canada hakuna kitu kama hicho.
Mkuu Bora umenisaidia anadhani humu jf hakuna mtu anayeishi canada, Hawa cdm waongo sana
 
Uwanja wa chato ni kakiwanja?
akikusikia barafu atakushangaa sana
JPM kama rais anayo ndege yake ya Rais ni kama RC au DC anavyokuwa na gari lake, na akistaafu atapewa hadhi sawa na rais aliyeko madarakani kwa 70% na anataka akaishi chato kuna tatizo gani akiwa na uwanja wa ndege wake? mnataka akae mikocheni kama warioba kila siku kwenye makongamano mwishowe anaanza kupigwa mitama,

GGM wana ndege na wana uwanja wao, Buzwagi wana ndege wana uwanja wao, kesho Lissu anaenda kahama ataenda kupiga show kama zuchu atatua uwanja wa mtu binafsi wa Buzwagi, shida iko wapi? Hivi unaujua uwanja binafsi wa Trump? Cyril Ramaphonsa? Tuache roho ya umasikini hata Bhakresa akinunua ndege tutamjengea uwanja. Grumet game reserve wana uwanja wao, hata kule nzela Geita upo uwanja wa missionary Woolworth, kule murwagwanza ngara upo uwanja wa ndege wa wa missionary wa ki Anglicana.

Mnaongelea mtu kuwa na uwanja wa ndege ni jambo la ajabu ni mawazo ya kimasikini tu, zamani tulikuwa tunaambiwa usijenge nyumba ya bati kijijini utarogwa. Leo tunataka kumroga JPM kisa uwanja wa ndege, mbona tunadhalilisha nchi hivi? Hata world bank wakisikia tunabishania uwanja wa ndege watatucheka.
 
KAKA SOMA MAJIBU YA ANDIKO LAKO UONDOE UJINGA ULIKUWA NAO KUHUSU MASWALA HAYA

Nimesikiliza hotuba ya Lissu leo Segerea, naona lissu ana improve safi sana, tatizo bado iko palepale japo limepungua kidogo katumia muda mwingi kumshambulia jpm kulipo kuelezea yeye na serikali yake watafanya nini, machache aliyo yaelezea nayo ni kama ifuatavyo.

1. Ujenzi wa barabara ya Salender Bridge; anashangaa hizo pesa nyingi hivyo zinatumika kwa ajili ya watu wachache, kwanza sio kweli kuwa salender bridge hutumiwa na matajiri na vip only, hiki ni kiungo cha kutokea mwenge mbezi ununio mbweni hadi bagamoyo, kusema ni pesa nyingi ni mawazo ya kimasikini tu

MAJIBU:
Kwanza kabisa hili daraja linajengwa kwa mkopo kutoka kwa wananchi wa Jamhuri Korea zaidi ya dola million 220 hivyo kuna zigo kubwa la kulipa deni baadae, pili hivi hiloi daraja lina safirisha mazao gani ya uchumi wa nchi yetu , Jaribu kupiga hesabu hiyo pesa ingewekezwa kwenye sekta ya elimu au afya nini yangekuwa matokeo yake.

Sweden wanajenga barabara ya US$47B barabara ya chini ya maji leo sie kamchepuko tu mtu anaona aghali eti fedha zingetumika kuchimba mitaro vingunguti, naona huyu hakuwepo nchini muda mrefu sasa hivi vingunguti ni lami tupu sivyo alivyo acha.

Majibu:
Sweden walishaachana kitambo na mambo ya ujenzi wa msingi kama elimu bora , afya na chakula. Huwezi kukuta sweden mwanafunzi wanasoma bila madawati. Hivyo basi wao kuwa na miradi ya maendeleo kama hiyo sio issue na ndio maana pesa nyingne wanatupa sisi kama msaada .Acha kuchanganya mambo.

2. Kuhusu country credit rating; Hivi ni vipimo vya unyonyaji vinavyotumiwa na wazungu kupima urahisi wa kunyonya, hatuwezi kujisifu eti sisi ni watu rahisi kunyonywa rasilimali zetu hapana hata yeye Lissu anajua ngosha hayuko hivyo, hizo FDI sio hela za shangazi zetu hawaji kuwekeza eti sisi ni masikini wanataka watuinue tuendelee kama wao hapana.
Majibu: hao hao ndio waliosema kuwa uchumi wetu umepanda hadi kufikia kiwango cha uchumi wa kati, mbona hamkupinga hapo. Huna hoja ya msingi hapa

Sasa hivi chini ya JPM tunakaa tunazungumza biashara kama hailipi tunaachana nayo, kwa taarifa yako billionea tajiri wa kwanza duniani Jeff Bezos kanunua hisa Barrick za usd 686m na sehemu ya hizo pesa zitawekezwa Tanzania kupitia ubia wetu wa Twiga hayo aliyotumiwa kwenye whasap aka google apate ukweli

Majibu: Inoeneka una uelewa mdogp saana kuhusu sekta ya madini hata nikifafanua hutaelewa kitu.

3. Kelele za uwanja wa chato; hivi jamani kuna tatizo gani kujenga ka uwanja ka kutua home, kwa taarifa yake hivi viwanja kanda ya ziwa viko vingi kipo Mugumu Serengeti Musoma Mwadui Ibadakuli Nyashimo mission GGM Bulyanhulu Buzwagi Tulawaka Rwamgasa, hiyo runway isimtishe Lissu, nimkumbushe uwanja wa kwanza kujengwa africa mashariki ulikuwa wa Williamson Diamond Mwadui na ndege ya kwanza kutua ilimleta mwana mfalme wa uingereza haya ni mambo ya kawaida sana yasimpe presha.

Majibu: Ndio maana nimesema una ulewa mdogo kuhusu biashara na sarakasi ya biashara ya madini duniani. Uwanja wa Williamson ulijengwa kwa ajili ya kutorosha madini yetu yasipite viwanja vikubwa kama JK nyerere, hata hivyo uwanja huo ulikuwa una maana kwani faida ambayo imeshapatikana kutokana na ujenzi wa uwanja huo (Pamoja na kupigwa ) pesa yote ya ujenzi imesharudi na kwa taarifa yako pesa ya ujenzi huo haikutoka serikalini pekee. Sasa ndugui yangu hivi huku chato ndege zitabeba punda au nini? Hivi leo Air Tanzania inaweza ikapata hata abiria watatno (5) tu kwa siku ikisema inapeleka route kule?

Na kwanini ujengwe chato? chato ni tambarare ukilinganisha na Geita Bukombe na Katoro ni Giographia tu ndiyo inaruhusu, isitoshe hiyo pesa angeweza kuitumia kuzurura ulaya kama kwenda WEF davos sullivan UN EU AU au hata kwenda kunywa chai na trump ka serve hela na sehemu ya hiyo hela kajijengea kakiwanja shida iko wapi? Kuna waziri mkuu aliwahi kusafiri na msafara wa watu 70 kwenda kwenye graduation ya mwanae marekani na huyuhuyu Lissu akiwa mbunge hakuhoji.

Majibu: Huna hoja ya maana

4. Kuhusu bei ya ndege huyu bwana anamatatizo gani? alishaenda atcl akauliza bei ya ndege akakosa jibu? alishaenda Boeng kuuliza bei ya ndege akanyimwa? anauliza bei ya ndege mbona haulizi bei ya nguzo za umeme? mbona haulizi bei ya Youtong za Shabiby? mbona haulizi bei ya mabehewa ya SGR? atcl ina management yake ina muundo na taratibu za uendeshaji tuiache ifanyekazi zake. kwahiyo anataka wabunge waanze kwenda boeng airbus beachcraft jumbojet kukusanya quotation?

Majibu: Usichanganye mambo. Shabiby sio serikali ni mtu binafsi. Hii sekta ilitakiwa ifanywe na sekta binafsi kama ulivyoitaja Youtang ya Sahabibiy . Kazi ya Serikali ni kuweka mazingira mazuri na kukusanya kodi. Huwezi nunua gari wakati huna uhakika wa chakula, afya na ada za watoto wako .Wewe hutakuwa baba wa ajabu saana.

5. Uhuru wa kuamua, kwahili bora angeanza kutuambia ruzuku ya chadema ya miaka mitano iko wapi, atuambie zile 500m kila mwezi wanazopokwa wabunge wa chadema ziko wapi? Kila mbunge wazamani analia hana hela za kampeni na juzi wamelipwa 200m kilamtu wamepeleka wapi? kama ni unyanganyi basi basi upo cdm.

Majibu: Hizo pesa ndio zimesabisha Serikali na mamlaka zoote kukiogopa hiki chama kwani pamoja na kukizuia kisifanye siasa zaidi ya miakai mitano sasa bado kimeweza kukua kwa kasi kuliko wakati wowote ule. Sasa jiulize walikuwa wanafanyaje kuwafikia wananchi. wakati nyie mnavuja rasilimali za serikali wao walitumia hivyo viruzuku kidogo kijipamabanua.

6. Hili la NHIF mfumo anaotaka kuleta sio mgeni kule marekani alitaka kuuanzisha Obama ukapewa jina la "Obama care" kama wamarekani uliwashinda na Lissu ataufanikisha basi atakuwa mtu mwnye akili sana. na kwa taarifa yake Bima ya afya sio ya bure ni huduma unalipia kama unavyokata bima ya gari kuwa litakapopata ajali liweze kutengenezwa, unaposema kila mtu awe na bima maana yake kila mtu alipie matibabu kwa lazima uwe mzima mgonjwa lipa tu, ni sawa na mtu kumwambia kila mtu alipe bima ya gari uwe huna unalo lipa tu utajiju, hapana, wenye uwezo wacha walipe bima na ambao hawana uwezo wapate huduma bure.
Majibu: Marekani hawakushindwa bali ni aina ya viongozi wa sasa wenye ubaguzi wa rangi. Hujui unachokiongelea hapa.

7. Deni la Taifa, Lissu anasema tunajenga miradi kwa pesa zetu deni linatoka wapi? kwanza hawa contractors wanalipwa pesa ya kigeni sie tunakusanya pesa za kitanzania tunahitaji dola za kuwalipa hawa wakandarasi, pesa iko bank lakini yakitanzania na hawa Arab Contractors Yepi wanataka dola, lazima tukope na kukopa sio dhambi na zipo kanuni za kukopa. Ukioa kwa msomali anakuuliza kuna mtu anakudai ukisema hapana anakufukuza maana yake kuna siku mwanae atalala njaa kisa umeogopa kukopa.

Majibu: Bora umekubali kuwa tunakopa nje na kwa kiasi kikubwa mno
 
JPM kama rais anayo ndege yake ya Rais ni kama RC au DC anavyokuwa na gari lake, na akistaafu atapewa hadhi sawa na rais aliyeko madarakani kwa 70% na anataka akaishi chato kuna tatizo gani akiwa na uwanja wa ndege wake? mnataka akae mikocheni kama warioba kila siku kwenye makongamano mwishowe anaanza kupigwa mitama,

GGM wana ndege na wana uwanja wao, Buzwagi wana ndege wana uwanja wao, kesho Lissu anaenda kahama ataenda kupiga show kama zuchu atatua uwanja wa mtu binafsi wa Buzwagi, shida iko wapi? Hivi unaujua uwanja binafsi wa Trump? Cyril Ramaphonsa? Tuache roho ya umasikini hata Bhakresa akinunua ndege tutamjengea uwanja. Grumet game reserve wana uwanja wao, hata kule nzela Geita upo uwanja wa missionary Woolworth, kule murwagwanza ngara upo uwanja wa ndege wa wa missionary wa ki Anglicana.

Mnaongelea mtu kuwa na uwanja wa ndege ni jambo la ajabu ni mawazo ya kimasikini tu, zamani tulikuwa tunaambiwa usijenge nyumba ya bati kijijini utarogwa. Leo tunataka kumroga JPM kisa uwanja wa ndege, mbona tunadhalilisha nchi hivi? Hata world bank wakisikia tunabishania uwanja wa ndege watatucheka.

Hivyo viwanja vyote bimejengwa na serikali au pesa zao wenyewe? Na je unafahamu wanailipa serikali kiasi gani?
 
Hivi tanesco wanaponunua nguzo mikataba unaenda bungeni? Tanroad wanaponunua mizani mikataba unaenda bungeni? Ukarabati wa mv victoria mikataba ulienda bungeni? Au ndege ndio mumeona nyara ya serikali? Hivi Ni njaa tu zinawasumbua
Duuuh kweli wee pimbi aisee ..vyote hvyo vinakuwa vimeelekezwa kwa maandishi na wizara ya ujenzi ..kuanzia ukarabati hd manunuzi ..Sasa linapokuja suala la kununua kitu nje ya malengo lazima bunge na wenye akili wahoji ...poleeee
 
Mleta mada nenda kapande kwenye jukwaa ukamrekebishe Lissu.
Huku sisi wengine ni yeye2020
Hatuhitajji kusikia utopolo wa aina yeyote.))
 
Nimesikiliza hotuba ya Lissu leo Segerea, naona lissu ana improve safi sana, tatizo bado iko palepale japo limepungua kidogo katumia muda mwingi kumshambulia jpm kulipo kuelezea yeye na serikali yake watafanya nini, machache aliyo yaelezea nayo ni kama ifuatavyo.

1. Ujenzi wa barabara ya Salender Bridge; anashangaa hizo pesa nyingi hivyo zinatumika kwa ajili ya watu wachache, kwanza sio kweli kuwa salender bridge hutumiwa na matajiri na vip only, hiki ni kiungo cha kutokea mwenge mbezi ununio mbweni hadi bagamoyo, kusema ni pesa nyingi ni mawazo ya kimasikini tu

Sweden wanajenga barabara ya US$47B barabara ya chini ya maji leo sie kamchepuko tu mtu anaona aghali eti fedha zingetumika kuchimba mitaro vingunguti, naona huyu hakuwepo nchini muda mrefu sasa hivi vingunguti ni lami tupu sivyo alivyo acha.

2. Kuhusu country credit rating; Hivi ni vipimo vya unyonyaji vinavyotumiwa na wazungu kupima urahisi wa kunyonya, hatuwezi kujisifu eti sisi ni watu rahisi kunyonywa rasilimali zetu hapana hata yeye Lissu anajua ngosha hayuko hivyo, hizo FDI sio hela za shangazi zetu hawaji kuwekeza eti sisi ni masikini wanataka watuinue tuendelee kama wao hapana.

Sasa hivi chini ya JPM tunakaa tunazungumza biashara kama hailipi tunaachana nayo, kwa taarifa yako billionea tajiri wa kwanza duniani Jeff Bezos kanunua hisa Barrick za usd 686m na sehemu ya hizo pesa zitawekezwa Tanzania kupitia ubia wetu wa Twiga hayo aliyotumiwa kwenye whasap aka google apate ukweli

3. Kelele za uwanja wa chato; hivi jamani kuna tatizo gani kujenga ka uwanja ka kutua home, kwa taarifa yake hivi viwanja kanda ya ziwa viko vingi kipo Mugumu Serengeti Musoma Mwadui Ibadakuli Nyashimo mission GGM Bulyanhulu Buzwagi Tulawaka Rwamgasa, hiyo runway isimtishe Lissu, nimkumbushe uwanja wa kwanza kujengwa africa mashariki ulikuwa wa Williamson Diamond Mwadui na ndege ya kwanza kutua ilimleta mwana mfalme wa uingereza haya ni mambo ya kawaida sana yasimpe presha.

Na kwanini ujengwe chato? chato ni tambarare ukilinganisha na Geita Bukombe na Katoro ni Giographia tu ndiyo inaruhusu, isitoshe hiyo pesa angeweza kuitumia kuzurura ulaya kama kwenda WEF davos sullivan UN EU AU au hata kwenda kunywa chai na trump ka serve hela na sehemu ya hiyo hela kajijengea kakiwanja shida iko wapi? Kuna waziri mkuu aliwahi kusafiri na msafara wa watu 70 kwenda kwenye graduation ya mwanae marekani na huyuhuyu Lissu akiwa mbunge hakuhoji.

4. Kuhusu bei ya ndege huyu bwana anamatatizo gani? alishaenda atcl akauliza bei ya ndege akakosa jibu? alishaenda Boeng kuuliza bei ya ndege akanyimwa? anauliza bei ya ndege mbona haulizi bei ya nguzo za umeme? mbona haulizi bei ya Youtong za Shabiby? mbona haulizi bei ya mabehewa ya SGR? atcl ina management yake ina muundo na taratibu za uendeshaji tuiache ifanyekazi zake. kwahiyo anataka wabunge waanze kwenda boeng airbus beachcraft jumbojet kukusanya quotation?

5. Uhuru wa kuamua, kwahili bora angeanza kutuambia ruzuku ya chadema ya miaka mitano iko wapi, atuambie zile 500m kila mwezi wanazopokwa wabunge wa chadema ziko wapi? Kila mbunge wazamani analia hana hela za kampeni na juzi wamelipwa 200m kilamtu wamepeleka wapi? kama ni unyanganyi basi basi upo cdm.

6. Hili la NHIF mfumo anaotaka kuleta sio mgeni kule marekani alitaka kuuanzisha Obama ukapewa jina la "Obama care" kama wamarekani uliwashinda na Lissu ataufanikisha basi atakuwa mtu mwnye akili sana. na kwa taarifa yake Bima ya afya sio ya bure ni huduma unalipia kama unavyokata bima ya gari kuwa litakapopata ajali liweze kutengenezwa, unaposema kila mtu awe na bima maana yake kila mtu alipie matibabu kwa lazima uwe mzima mgonjwa lipa tu, ni sawa na mtu kumwambia kila mtu alipe bima ya gari uwe huna unalo lipa tu utajiju, hapana, wenye uwezo wacha walipe bima na ambao hawana uwezo wapate huduma bure.

7. Deni la Taifa, Lissu anasema tunajenga miradi kwa pesa zetu deni linatoka wapi? kwanza hawa contractors wanalipwa pesa ya kigeni sie tunakusanya pesa za kitanzania tunahitaji dola za kuwalipa hawa wakandarasi, pesa iko bank lakini yakitanzania na hawa Arab Contractors Yepi wanataka dola, lazima tukope na kukopa sio dhambi na zipo kanuni za kukopa. Ukioa kwa msomali anakuuliza kuna mtu anakudai ukisema hapana anakufukuza maana yake kuna siku mwanae atalala njaa kisa umeogopa kukopa.
Thanks. Good analysis.
 
Lisu mwongo usione akitoa mimacho daraja la salender linajengwa kwa pesa ya msaada wa wakorea hatujakopa popote

Pili Raisi akisema tunajenga kwa pesa zetu wenyewe kakosea wapi kwani hata ukijenga kwa mkopo si unaulipa kwa pesa zako mwenyewe .Ukijenga nyumba kwa mkopo si unaulipa kwa pesa zako mwenyewe

Lisu anacheza tu na maneno Hana hoja .Gari alilokopa bungeni kwani kalilipa kwa pesa zipi si za kwake mwenyewe

Sasa akisema Hili gari nimelinunua kea pesa zangu anakuwa sahihi

Lisu uelewa wake mdogo mno he is not a presidential material .
Acha uongo wee mzee , unajengewa bure? Duuuh uongo unakusaidia nn ??
 
Lissu anapiga palepale kwenye mshono CCM wamechanganyikiwa.Ukiangalia Kampeni za Lissu watu wanamsikiliza kwa makini mno.Tofauti na Kampeni za CCM watu wanapiga tu makofi hata kilichoongelewa hawajui.Ndiyo maana mtu wa CCM hawezi kuwa na hoja ya maana
 
Mkuu SGR serikali hata leo hii hadaiwi kit
Hao waturuki na waarabu wa stigler gorge wanalipwa hela wao hawawalipi wanafanyakazi, supplier na subcontractors wao

Ni kama wanazizungusha hela kwenye mabenk yao wapate faida

Pole lakini, naona JPM kakukamata, atakukamata na kwenye maisha Penda kuwa positive
Hawalipwi ww acha uongo ..bwawa la Rufiji nalo wanazungusha hela kwenye mabenki? SGR hawalipwi na serikali ndo maana mradi unasuasua ..wangekuwa wanalipwa serikali isingekuwa ina kaa kimya kuona mradi umesimama ..acha hizo ww
 
umeongea mkuu mwenye akili timamu amekuelewa wabaki tu hao wenye mapenzi na lissu ambaye anaongea vitu ambavyo havitekelezeki anajifanya ana akili nyiiiingiiii kumbe maneno matuu
Hata Elimu bure mlisema ni kitu hakiwezekani, nyie akili zenu ni Utupolo mtupu
 
Hivi tanesco wanaponunua nguzo mikataba unaenda bungeni? Tanroad wanaponunua mizani mikataba unaenda bungeni? Ukarabati wa mv victoria mikataba ulienda bungeni? Au ndege ndio mumeona nyara ya serikali? Hivi Ni njaa tu zinawasumbua
Ndio mkuu kupitia Kamati za kudumu za bunge kisecta na riport ya CAG, pamoja na budjet ya wizara husika,
Bungeni hapakwepeki mkuu
 
Unajua kuwa kwenye manunuzi ya ndege hata CAG haruhusiwi kukagua?
Manunuzi ya ndege Hil,o Ni deal la jiwe na Paulo k, wa rwanda vyanzo vya habari vinadai 10% ilipitishwa Rwanda, PK ameizuia Jiwe amefuta kwa hasira
 
Nimesikiliza hotuba ya Lissu leo Segerea, naona lissu ana improve safi sana, tatizo bado iko palepale japo limepungua kidogo katumia muda mwingi kumshambulia jpm kulipo kuelezea yeye na serikali yake watafanya nini, machache aliyo yaelezea nayo ni kama ifuatavyo.

1. Ujenzi wa barabara ya Salender Bridge; anashangaa hizo pesa nyingi hivyo zinatumika kwa ajili ya watu wachache, kwanza sio kweli kuwa salender bridge hutumiwa na matajiri na vip only, hiki ni kiungo cha kutokea mwenge mbezi ununio mbweni hadi bagamoyo, kusema ni pesa nyingi ni mawazo ya kimasikini tu

Sweden wanajenga barabara ya US$47B barabara ya chini ya maji leo sie kamchepuko tu mtu anaona aghali eti fedha zingetumika kuchimba mitaro vingunguti, naona huyu hakuwepo nchini muda mrefu sasa hivi vingunguti ni lami tupu sivyo alivyo acha.

2. Kuhusu country credit rating; Hivi ni vipimo vya unyonyaji vinavyotumiwa na wazungu kupima urahisi wa kunyonya, hatuwezi kujisifu eti sisi ni watu rahisi kunyonywa rasilimali zetu hapana hata yeye Lissu anajua ngosha hayuko hivyo, hizo FDI sio hela za shangazi zetu hawaji kuwekeza eti sisi ni masikini wanataka watuinue tuendelee kama wao hapana.

Sasa hivi chini ya JPM tunakaa tunazungumza biashara kama hailipi tunaachana nayo, kwa taarifa yako billionea tajiri wa kwanza duniani Jeff Bezos kanunua hisa Barrick za usd 686m na sehemu ya hizo pesa zitawekezwa Tanzania kupitia ubia wetu wa Twiga hayo aliyotumiwa kwenye whasap aka google apate ukweli

3. Kelele za uwanja wa chato; hivi jamani kuna tatizo gani kujenga ka uwanja ka kutua home, kwa taarifa yake hivi viwanja kanda ya ziwa viko vingi kipo Mugumu Serengeti Musoma Mwadui Ibadakuli Nyashimo mission GGM Bulyanhulu Buzwagi Tulawaka Rwamgasa, hiyo runway isimtishe Lissu, nimkumbushe uwanja wa kwanza kujengwa africa mashariki ulikuwa wa Williamson Diamond Mwadui na ndege ya kwanza kutua ilimleta mwana mfalme wa uingereza haya ni mambo ya kawaida sana yasimpe presha.

Na kwanini ujengwe chato? chato ni tambarare ukilinganisha na Geita Bukombe na Katoro ni Giographia tu ndiyo inaruhusu, isitoshe hiyo pesa angeweza kuitumia kuzurura ulaya kama kwenda WEF davos sullivan UN EU AU au hata kwenda kunywa chai na trump ka serve hela na sehemu ya hiyo hela kajijengea kakiwanja shida iko wapi? Kuna waziri mkuu aliwahi kusafiri na msafara wa watu 70 kwenda kwenye graduation ya mwanae marekani na huyuhuyu Lissu akiwa mbunge hakuhoji.

4. Kuhusu bei ya ndege huyu bwana anamatatizo gani? alishaenda atcl akauliza bei ya ndege akakosa jibu? alishaenda Boeng kuuliza bei ya ndege akanyimwa? anauliza bei ya ndege mbona haulizi bei ya nguzo za umeme? mbona haulizi bei ya Youtong za Shabiby? mbona haulizi bei ya mabehewa ya SGR? atcl ina management yake ina muundo na taratibu za uendeshaji tuiache ifanyekazi zake. kwahiyo anataka wabunge waanze kwenda boeng airbus beachcraft jumbojet kukusanya quotation?

5. Uhuru wa kuamua, kwahili bora angeanza kutuambia ruzuku ya chadema ya miaka mitano iko wapi, atuambie zile 500m kila mwezi wanazopokwa wabunge wa chadema ziko wapi? Kila mbunge wazamani analia hana hela za kampeni na juzi wamelipwa 200m kilamtu wamepeleka wapi? kama ni unyanganyi basi basi upo cdm.

6. Hili la NHIF mfumo anaotaka kuleta sio mgeni kule marekani alitaka kuuanzisha Obama ukapewa jina la "Obama care" kama wamarekani uliwashinda na Lissu ataufanikisha basi atakuwa mtu mwnye akili sana. na kwa taarifa yake Bima ya afya sio ya bure ni huduma unalipia kama unavyokata bima ya gari kuwa litakapopata ajali liweze kutengenezwa, unaposema kila mtu awe na bima maana yake kila mtu alipie matibabu kwa lazima uwe mzima mgonjwa lipa tu, ni sawa na mtu kumwambia kila mtu alipe bima ya gari uwe huna unalo lipa tu utajiju, hapana, wenye uwezo wacha walipe bima na ambao hawana uwezo wapate huduma bure.

7. Deni la Taifa, Lissu anasema tunajenga miradi kwa pesa zetu deni linatoka wapi? kwanza hawa contractors wanalipwa pesa ya kigeni sie tunakusanya pesa za kitanzania tunahitaji dola za kuwalipa hawa wakandarasi, pesa iko bank lakini yakitanzania na hawa Arab Contractors Yepi wanataka dola, lazima tukope na kukopa sio dhambi na zipo kanuni za kukopa. Ukioa kwa msomali anakuuliza kuna mtu anakudai ukisema hapana anakufukuza maana yake kuna siku mwanae atalala njaa kisa umeogopa kukopa.

Mbona hakuna ulichomjibu

1. Ameuliza uwanja wa chato umeshakamilika mbona ATCL haiendi huko kuna shida gani hujajibu,

2. Ameuliza tender ya kununua ndege ilitangazwa wapi na nani ameona mikataba yake na kuna masharti gani ndani yake hujajibu chochote

3. Ameuliza mbona deni la taifa limeongezeka kwa kasi ya ajabu na huku tunajinafasi kuwa tunatekeleza miradi kwa pesa zetu za ndani hakuna jibu

4. Amekuuliza tanzania imefikia uchumi wa kati iweje wafanyakazi hawaongezewi mishahara hakuna jibu

sasa ni hoja gani umemjibu katika hilo andiko lako
 
Nimesikiliza hotuba ya Lissu leo Segerea, naona lissu ana improve safi sana, tatizo bado iko palepale japo limepungua kidogo katumia muda mwingi kumshambulia jpm kulipo kuelezea yeye na serikali yake watafanya nini, machache aliyo yaelezea nayo ni kama ifuatavyo.

1. Ujenzi wa barabara ya Salender Bridge; anashangaa hizo pesa nyingi hivyo zinatumika kwa ajili ya watu wachache, kwanza sio kweli kuwa salender bridge hutumiwa na matajiri na vip only, hiki ni kiungo cha kutokea mwenge mbezi ununio mbweni hadi bagamoyo, kusema ni pesa nyingi ni mawazo ya kimasikini tu

Sweden wanajenga barabara ya US$47B barabara ya chini ya maji leo sie kamchepuko tu mtu anaona aghali eti fedha zingetumika kuchimba mitaro vingunguti, naona huyu hakuwepo nchini muda mrefu sasa hivi vingunguti ni lami tupu sivyo alivyo acha.

2. Kuhusu country credit rating; Hivi ni vipimo vya unyonyaji vinavyotumiwa na wazungu kupima urahisi wa kunyonya, hatuwezi kujisifu eti sisi ni watu rahisi kunyonywa rasilimali zetu hapana hata yeye Lissu anajua ngosha hayuko hivyo, hizo FDI sio hela za shangazi zetu hawaji kuwekeza eti sisi ni masikini wanataka watuinue tuendelee kama wao hapana.

Sasa hivi chini ya JPM tunakaa tunazungumza biashara kama hailipi tunaachana nayo, kwa taarifa yako billionea tajiri wa kwanza duniani Jeff Bezos kanunua hisa Barrick za usd 686m na sehemu ya hizo pesa zitawekezwa Tanzania kupitia ubia wetu wa Twiga hayo aliyotumiwa kwenye whasap aka google apate ukweli

3. Kelele za uwanja wa chato; hivi jamani kuna tatizo gani kujenga ka uwanja ka kutua home, kwa taarifa yake hivi viwanja kanda ya ziwa viko vingi kipo Mugumu Serengeti Musoma Mwadui Ibadakuli Nyashimo mission GGM Bulyanhulu Buzwagi Tulawaka Rwamgasa, hiyo runway isimtishe Lissu, nimkumbushe uwanja wa kwanza kujengwa africa mashariki ulikuwa wa Williamson Diamond Mwadui na ndege ya kwanza kutua ilimleta mwana mfalme wa uingereza haya ni mambo ya kawaida sana yasimpe presha.

Na kwanini ujengwe chato? chato ni tambarare ukilinganisha na Geita Bukombe na Katoro ni Giographia tu ndiyo inaruhusu, isitoshe hiyo pesa angeweza kuitumia kuzurura ulaya kama kwenda WEF davos sullivan UN EU AU au hata kwenda kunywa chai na trump ka serve hela na sehemu ya hiyo hela kajijengea kakiwanja shida iko wapi? Kuna waziri mkuu aliwahi kusafiri na msafara wa watu 70 kwenda kwenye graduation ya mwanae marekani na huyuhuyu Lissu akiwa mbunge hakuhoji.

4. Kuhusu bei ya ndege huyu bwana anamatatizo gani? alishaenda atcl akauliza bei ya ndege akakosa jibu? alishaenda Boeng kuuliza bei ya ndege akanyimwa? anauliza bei ya ndege mbona haulizi bei ya nguzo za umeme? mbona haulizi bei ya Youtong za Shabiby? mbona haulizi bei ya mabehewa ya SGR? atcl ina management yake ina muundo na taratibu za uendeshaji tuiache ifanyekazi zake. kwahiyo anataka wabunge waanze kwenda boeng airbus beachcraft jumbojet kukusanya quotation?

5. Uhuru wa kuamua, kwahili bora angeanza kutuambia ruzuku ya chadema ya miaka mitano iko wapi, atuambie zile 500m kila mwezi wanazopokwa wabunge wa chadema ziko wapi? Kila mbunge wazamani analia hana hela za kampeni na juzi wamelipwa 200m kilamtu wamepeleka wapi? kama ni unyanganyi basi basi upo cdm.

6. Hili la NHIF mfumo anaotaka kuleta sio mgeni kule marekani alitaka kuuanzisha Obama ukapewa jina la "Obama care" kama wamarekani uliwashinda na Lissu ataufanikisha basi atakuwa mtu mwnye akili sana. na kwa taarifa yake Bima ya afya sio ya bure ni huduma unalipia kama unavyokata bima ya gari kuwa litakapopata ajali liweze kutengenezwa, unaposema kila mtu awe na bima maana yake kila mtu alipie matibabu kwa lazima uwe mzima mgonjwa lipa tu, ni sawa na mtu kumwambia kila mtu alipe bima ya gari uwe huna unalo lipa tu utajiju, hapana, wenye uwezo wacha walipe bima na ambao hawana uwezo wapate huduma bure.

7. Deni la Taifa, Lissu anasema tunajenga miradi kwa pesa zetu deni linatoka wapi? kwanza hawa contractors wanalipwa pesa ya kigeni sie tunakusanya pesa za kitanzania tunahitaji dola za kuwalipa hawa wakandarasi, pesa iko bank lakini yakitanzania na hawa Arab Contractors Yepi wanataka dola, lazima tukope na kukopa sio dhambi na zipo kanuni za kukopa. Ukioa kwa msomali anakuuliza kuna mtu anakudai ukisema hapana anakufukuza maana yake kuna siku mwanae atalala njaa kisa umeogopa kukopa.
Hakuna tatizo kujenga daraja baharini kuelekea Oceam Road lakini kama ingekuwa tuna uhuru wa kuchagua hiyo pesa ingefaa kutumika kujenga daraja kutoka Magomeni Mapipa mpaka Fire kwani mafuriko hufanya barabara ya Jangwani kupitika kwa msimu WHILE kule Sarender barabara ipo, labda kwa hapo baadaye.
 
Hivi tanesco wanaponunua nguzo mikataba unaenda bungeni? Tanroad wanaponunua mizani mikataba unaenda bungeni? Ukarabati wa mv victoria mikataba ulienda bungeni? Au ndege ndio mumeona nyara ya serikali? Hivi Ni njaa tu zinawasumbua
Wewe ndiyo njaa inakusumbua umejitoa fahamu zote vyote hivyo vilipaswa kupitishwa na bunge, sasa ngoja huyo mtukufu atoke madarakani kesi za ufisadi, kutumia madaraka vibaya ziwandame ndipo fahamu zitakurejea, CCM ni ile ile Ukoo wa panya
 
Nimesikiliza hotuba ya Lissu leo Segerea, naona lissu ana improve safi sana, tatizo bado iko palepale japo limepungua kidogo katumia muda mwingi kumshambulia jpm kulipo kuelezea yeye na serikali yake watafanya nini, machache aliyo yaelezea nayo ni kama ifuatavyo.

1. Ujenzi wa barabara ya Salender Bridge; anashangaa hizo pesa nyingi hivyo zinatumika kwa ajili ya watu wachache, kwanza sio kweli kuwa salender bridge hutumiwa na matajiri na vip only, hiki ni kiungo cha kutokea mwenge mbezi ununio mbweni hadi bagamoyo, kusema ni pesa nyingi ni mawazo ya kimasikini tu

Sweden wanajenga barabara ya US$47B barabara ya chini ya maji leo sie kamchepuko tu mtu anaona aghali eti fedha zingetumika kuchimba mitaro vingunguti, naona huyu hakuwepo nchini muda mrefu sasa hivi vingunguti ni lami tupu sivyo alivyo acha.

2. Kuhusu country credit rating; Hivi ni vipimo vya unyonyaji vinavyotumiwa na wazungu kupima urahisi wa kunyonya, hatuwezi kujisifu eti sisi ni watu rahisi kunyonywa rasilimali zetu hapana hata yeye Lissu anajua ngosha hayuko hivyo, hizo FDI sio hela za shangazi zetu hawaji kuwekeza eti sisi ni masikini wanataka watuinue tuendelee kama wao hapana.

Sasa hivi chini ya JPM tunakaa tunazungumza biashara kama hailipi tunaachana nayo, kwa taarifa yako billionea tajiri wa kwanza duniani Jeff Bezos kanunua hisa Barrick za usd 686m na sehemu ya hizo pesa zitawekezwa Tanzania kupitia ubia wetu wa Twiga hayo aliyotumiwa kwenye whasap aka google apate ukweli

3. Kelele za uwanja wa chato; hivi jamani kuna tatizo gani kujenga ka uwanja ka kutua home, kwa taarifa yake hivi viwanja kanda ya ziwa viko vingi kipo Mugumu Serengeti Musoma Mwadui Ibadakuli Nyashimo mission GGM Bulyanhulu Buzwagi Tulawaka Rwamgasa, hiyo runway isimtishe Lissu, nimkumbushe uwanja wa kwanza kujengwa africa mashariki ulikuwa wa Williamson Diamond Mwadui na ndege ya kwanza kutua ilimleta mwana mfalme wa uingereza haya ni mambo ya kawaida sana yasimpe presha.

Na kwanini ujengwe chato? chato ni tambarare ukilinganisha na Geita Bukombe na Katoro ni Giographia tu ndiyo inaruhusu, isitoshe hiyo pesa angeweza kuitumia kuzurura ulaya kama kwenda WEF davos sullivan UN EU AU au hata kwenda kunywa chai na trump ka serve hela na sehemu ya hiyo hela kajijengea kakiwanja shida iko wapi? Kuna waziri mkuu aliwahi kusafiri na msafara wa watu 70 kwenda kwenye graduation ya mwanae marekani na huyuhuyu Lissu akiwa mbunge hakuhoji.

4. Kuhusu bei ya ndege huyu bwana anamatatizo gani? alishaenda atcl akauliza bei ya ndege akakosa jibu? alishaenda Boeng kuuliza bei ya ndege akanyimwa? anauliza bei ya ndege mbona haulizi bei ya nguzo za umeme? mbona haulizi bei ya Youtong za Shabiby? mbona haulizi bei ya mabehewa ya SGR? atcl ina management yake ina muundo na taratibu za uendeshaji tuiache ifanyekazi zake. kwahiyo anataka wabunge waanze kwenda boeng airbus beachcraft jumbojet kukusanya quotation?

5. Uhuru wa kuamua, kwahili bora angeanza kutuambia ruzuku ya chadema ya miaka mitano iko wapi, atuambie zile 500m kila mwezi wanazopokwa wabunge wa chadema ziko wapi? Kila mbunge wazamani analia hana hela za kampeni na juzi wamelipwa 200m kilamtu wamepeleka wapi? kama ni unyanganyi basi basi upo cdm.

6. Hili la NHIF mfumo anaotaka kuleta sio mgeni kule marekani alitaka kuuanzisha Obama ukapewa jina la "Obama care" kama wamarekani uliwashinda na Lissu ataufanikisha basi atakuwa mtu mwnye akili sana. na kwa taarifa yake Bima ya afya sio ya bure ni huduma unalipia kama unavyokata bima ya gari kuwa litakapopata ajali liweze kutengenezwa, unaposema kila mtu awe na bima maana yake kila mtu alipie matibabu kwa lazima uwe mzima mgonjwa lipa tu, ni sawa na mtu kumwambia kila mtu alipe bima ya gari uwe huna unalo lipa tu utajiju, hapana, wenye uwezo wacha walipe bima na ambao hawana uwezo wapate huduma bure.

7. Deni la Taifa, Lissu anasema tunajenga miradi kwa pesa zetu deni linatoka wapi? kwanza hawa contractors wanalipwa pesa ya kigeni sie tunakusanya pesa za kitanzania tunahitaji dola za kuwalipa hawa wakandarasi, pesa iko bank lakini yakitanzania na hawa Arab Contractors Yepi wanataka dola, lazima tukope na kukopa sio dhambi na zipo kanuni za kukopa. Ukioa kwa msomali anakuuliza kuna mtu anakudai ukisema hapana anakufukuza maana yake kuna siku mwanae atalala njaa kisa umeogopa kukopa.
unatoa maelezo ya kitoto sana
 
Back
Top Bottom