Hilo swali nilikua najiuliza jana.Waulize huu muda mtandao unasumbua je vipi waliojiunga vifurushi vyao vya siku nani atawafidia muda huu unaopotea bure?
Au hujaelewa swali limekaa kitalaam sana.
Hili ni tatizo lako binafsi na haliwezi kuhalalisha star link isiruhusiwe hapa Tanzania. Ni tabia za ubinafsi na kutaka matatizo yako yawe ni ya jamii nzima, ni tabia za umimi zisizo na tija kwa maendeleo ya nchi. Internet ya uhakika ni zaidi ya huo mtazamo wako kuhusu uwezo wa kiuchumi wa mtu mmoja mmoja.Yaje kufanya nini ? Bundle za buku tu shida $350 ķila mwezi nani ataweza ? Speed kinyonga ?
Mmmm aje kufanya nini ? Kwa maisha kitanzania wachache mno wataweza $ 350 karinia 1mil mwezi .....nani ataweza ..? Bundle za buku per day tunachemsha......mlo wa jioni hatuna uhakika....kumbuka mkongo wa baharini unapitisha kila kitu kinachotoka Tanzania.....hiyo satelink ni ajili nyumbani kwako tu au very small office.....sio kama nchi
Mtaje tumjue maana shida Iko Hadi Uganda na rwandaKiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.
Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.
Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli
Jina lake anaitwa nape nauye form four failureKiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.
Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.
Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli
Nape ni graduate Acha ujinga 🐼Jina lake anaitwa nape nauye form four failure
Anasema eti walimpa masharti Elon musk
Yaani wewe form four failure bogus kichwa maji ni wakumpa masharti Elon musk kweli ?
DuHivi kwa uelewa wako unaweza kuamini hii taarifa yaani mikonga wa internet upate hitilafu halafu baadhi ya website unafingua na nyingine hufungui.
Serikali kwa makusudi imezuia baadhi ya website hasa twitter kutokana na mashambulizi inayopata.
Satelite internet haijawahi kuwa uhakika.....na sio suluhisho kama unavyodhania....uzuri kuna mawakala luuza hizo starlink hakuna order ....watu wanapiga kelele tu hawajui wanaongea nini......1m kwa internet ya home ? Nundle la buku tu shida....una biashara gani ? Bendera fuata upepooooHili ni tatizo lako binafsi na haliwezi kuhalalisha star link isiruhusiwe hapa Tanzania. Ni tabia za ubinafsi na kutaka matatizo yako yawe ni ya jamii nzima, ni tabia za umimi zisizo na tija kwa maendeleo ya nchi. Internet ya uhakika ni zaidi ya huo mtazamo wako kuhusu uwezo wa kiuchumi wa mtu mmoja mmoja.
Inawezekana wewe ndio ukawa bogus kabisa, alivyosema walimpa inamaana ni taasisi sio yeye binafsi au hata wingi na umoja hukusoma tofautisha na angesema nilimpa.Jina lake anaitwa nape nauye form four failure
Anasema eti walimpa masharti Elon musk
Yaani wewe form four failure bogus kichwa maji ni wakumpa masharti Elon musk kweli ?
Satelite internet haijawahi kuwa uhakika.....na sio suluhisho kama unavyodhania....uzuri kuna mawakala luuza hizo starlink hakuna order ....watu wanapiga kelele tu hawajui wanaongea nini......1m kwa internet ya home ? Nundle la buku tu shida....una biashara gani ? Bendera fuata upepoooo
Halotel pia walijitahid walau kwangu nilikua nawapata japo kwa speed ya kobe sanaSafaricom, tayari wamechukia hatua za ziada kupambana na tatizo.
In response to this disruption, Safaricom activated various redundancy measures aimed at minimizing service interruptions.
Kwa hapa Tanzania, angalao Tigo wana unafuu. The worst ni vodacom.
Nape hatoshi kuwa hata Balozi.Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.
Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.
Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli