Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

Waulize huu muda mtandao unasumbua je vipi waliojiunga vifurushi vyao vya siku nani atawafidia muda huu unaopotea bure?
Au hujaelewa swali limekaa kitalaam sana.
Hilo swali nilikua najiuliza jana.

Hii mitandao ya simu inatuibia mno.

Kwanini mtu akinunua bando asitumi mpaka iishe.

Kwanini umuwekee mtu mipaka ya muda wa matumizi maana muda unaweza kwisha na hajamaliza kutumia kifurushi chake.
 
Yaje kufanya nini ? Bundle za buku tu shida $350 ķila mwezi nani ataweza ? Speed kinyonga ?
Mmmm aje kufanya nini ? Kwa maisha kitanzania wachache mno wataweza $ 350 karinia 1mil mwezi .....nani ataweza ..? Bundle za buku per day tunachemsha......mlo wa jioni hatuna uhakika....kumbuka mkongo wa baharini unapitisha kila kitu kinachotoka Tanzania.....hiyo satelink ni ajili nyumbani kwako tu au very small office.....sio kama nchi
Hili ni tatizo lako binafsi na haliwezi kuhalalisha star link isiruhusiwe hapa Tanzania. Ni tabia za ubinafsi na kutaka matatizo yako yawe ni ya jamii nzima, ni tabia za umimi zisizo na tija kwa maendeleo ya nchi. Internet ya uhakika ni zaidi ya huo mtazamo wako kuhusu uwezo wa kiuchumi wa mtu mmoja mmoja.
 
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.

Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.

Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli?
 
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.

Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.

Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli
Mtaje tumjue maana shida Iko Hadi Uganda na rwanda
 
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.

Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.

Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli
Jina lake anaitwa nape nauye form four failure
Anasema eti walimpa masharti Elon musk
Yaani wewe form four failure bogus kichwa maji ni wakumpa masharti Elon musk kweli ?
 
Unajiunga kofurushi cha Mbs cha siku halafu hukitumii mpaka kinaExpire.

Mtandao ukistable walipaswa kiwarefund watu siku nzima ya bundle zao
 
Utakuta mtanzania ambaye hata kuweka buku 2000 kwenye simu kwa bundle la siku naye analalamika kuhusu star link wakati hata superkasi imemshinda. Kama superkasi tu huwezi starlink ndio utaimudu?
Sema wajifunze nao serikali sasa tunategemea njia moja tu ikikata hali tete. Hapa toka jana nahangaika kudeliver mafile fulan hata hayafiki mb 3lakini yanagoma ku upload
 
Starlink uenyewe imepata kisanga jana.

6104DCD5-8FA3-4F1C-9888-47AA0E3ACEB2.jpeg
 
Attachments

  • 1A520BC3-60B4-47C7-B97F-20462ECCC623.jpeg
    1A520BC3-60B4-47C7-B97F-20462ECCC623.jpeg
    181.4 KB · Views: 2
Jina lake anaitwa nape nauye form four failure
Anasema eti walimpa masharti Elon musk
Yaani wewe form four failure bogus kichwa maji ni wakumpa masharti Elon musk kweli ?
Nape ni graduate Acha ujinga 🐼
 
Hivi kwa uelewa wako unaweza kuamini hii taarifa yaani mikonga wa internet upate hitilafu halafu baadhi ya website unafingua na nyingine hufungui.
Serikali kwa makusudi imezuia baadhi ya website hasa twitter kutokana na mashambulizi inayopata.
Du
 
Shida ni nini? Mimi tangu jana mchana nimeshindwa kufanya kazi. Nikadhani labda ni shida ya Airtel. Nikahamia Tigo nako no connection!
 
Hili ni tatizo lako binafsi na haliwezi kuhalalisha star link isiruhusiwe hapa Tanzania. Ni tabia za ubinafsi na kutaka matatizo yako yawe ni ya jamii nzima, ni tabia za umimi zisizo na tija kwa maendeleo ya nchi. Internet ya uhakika ni zaidi ya huo mtazamo wako kuhusu uwezo wa kiuchumi wa mtu mmoja mmoja.
Satelite internet haijawahi kuwa uhakika.....na sio suluhisho kama unavyodhania....uzuri kuna mawakala luuza hizo starlink hakuna order ....watu wanapiga kelele tu hawajui wanaongea nini......1m kwa internet ya home ? Nundle la buku tu shida....una biashara gani ? Bendera fuata upepoooo
 
Jina lake anaitwa nape nauye form four failure
Anasema eti walimpa masharti Elon musk
Yaani wewe form four failure bogus kichwa maji ni wakumpa masharti Elon musk kweli ?
Inawezekana wewe ndio ukawa bogus kabisa, alivyosema walimpa inamaana ni taasisi sio yeye binafsi au hata wingi na umoja hukusoma tofautisha na angesema nilimpa.
 
Tatizo la internet bado liko pale pale hasa Mkoa wa Mwanza. Internet bado inafunguka pole pole mno. Kuna tatizo gani?.
 
Hivi tumewahi kujiuliza kwanini Serikali ya CCM inaogopa kuwapa kibali hawa starlink?
Tafuteni ukweli mjue namna tulivyo wa ajabu!
 
Satelite internet haijawahi kuwa uhakika.....na sio suluhisho kama unavyodhania....uzuri kuna mawakala luuza hizo starlink hakuna order ....watu wanapiga kelele tu hawajui wanaongea nini......1m kwa internet ya home ? Nundle la buku tu shida....una biashara gani ? Bendera fuata upepoooo

Safaricom, tayari wamechukia hatua za ziada kupambana na tatizo.

In response to this disruption, Safaricom activated various redundancy measures aimed at minimizing service interruptions.

Kwa hapa Tanzania, angalao Tigo wana unafuu. The worst ni vodacom.
 
Halotel pia walijitahid walau kwangu nilikua nawapata japo kwa speed ya kobe sana
 
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.

Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.

Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli
Nape hatoshi kuwa hata Balozi.
 
Back
Top Bottom