Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Hilo swali nilikua najiuliza jana.Waulize huu muda mtandao unasumbua je vipi waliojiunga vifurushi vyao vya siku nani atawafidia muda huu unaopotea bure?
Au hujaelewa swali limekaa kitalaam sana.
Hii mitandao ya simu inatuibia mno.
Kwanini mtu akinunua bando asitumi mpaka iishe.
Kwanini umuwekee mtu mipaka ya muda wa matumizi maana muda unaweza kwisha na hajamaliza kutumia kifurushi chake.