Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Mkuu unajua kuwa rais wako anaitwa Samia?
Spika wa bunge lako je unamjua?
Hatufanani nao ila ndio hivyo tena
 
Hamas kila sehemu wanayopata wanatumia kurusha makombora zikiwemo sehemu kama hospitali, shule na sehemu wanazokaa wanawake cause ni sehemu salama kwao
 
Wanaume wanauliwa wengi tu ila nipropaganda za baadhi ya vyombo vya habari mfano Aljazeera kudai wanawake na watoto ndio wanaokufa zaidi.

Kitu kingine nilichogundua kwa wapelestina uhai kwao sio kitu yaani hauna thamani wanadanganywa kwamba ukifa unaenda peponi kula Bata bila kujua wengi wanaishia jehanamu
 
Mkuu unajua kuwa rais wako anaitwa Samia?
Spika wa bunge lako je unamjua?
Hatufanani nao ila ndio hivyo tena
s
Mkuu unajua kuwa rais wako anaitwa Samia?
Spika wa bunge lako je unamjua?
Hatufanani nao ila ndio hivyo tena
sasa huyo aliyeupata urais kwa bahati na wala sio kwa uwezo wake nae ni rais, kila kitu anapuyanga tu utamsikia "na hili mkalitizame"
 
Wanawatumia kama kinga ili waonewe huruma. Ila walipovamia Israel wafanya sherehe ila sasa mhh inasikitisha. Hii vita ni ya mindset zaidi
 
Kwani lengo la Mwanamke kwenye hii dunia ni lipi kama sio kumsaidia mwanaume?

Mkuu embu tulia kidogo. Punguza hofu. Wanawake wasikusumbue akili.
kumsaidia mwanaume ni kumzalia watoto na kuwalea maana mwanaume hawezi kuzaa na kunyonyesha huo ndio msaada wake, yani kuendeleza uzao wa mwanaume sio msaada wa wewe ukilima matuta mawili na yeye akusaidie matuta mawili, au eti akusaidie kukulinda wewe wakati wa majanga dute wewe ndio umlinde.
 
namaogopa ?! Hiki ni kichekesho watu ninao advocate wahudumiwe, walindwe, watetewe, watunze ndio ati nawaogopa ?!
 
namaogopa ?! Hiki ni kichekesho watu ninao advocate wahudumiwe, walindwe, watetewe, watunze ndio ati nawaogopa ?!

Unawaogopa.
Kumu-advocate mtu sio excuse ya wewe kuonyesha huwaogopi wanawake.
Hata sababu uliyoitoa inaashiria woga ulionao,

Kwani ulisomea huo sheria na uwakili kwaajili ya nini kama sio kuhudumia Watu? Wanawake ni sehemu ya hao Watu.

Embu toa hoja kama Wakili Msomi. Maana naona umesoma sheria lakini uwezo wa kujenga na kutetea hoja bado ni mdogo
 

Aliyekuambia Mwanamke akizaa anakuzalia ni nani?

Kuzaa sio msaada, nani alikuambia wanawake hawana shida na kuzaa?

Nitashangaa kama unakiwango cha elimu hata ya kidato cha nne kama uelewa wako ni mdogo hivi.

Mkuu hivi shule ulienda kufanyaje na hata huo uwakili wako unanipa mashaka.

Katika Watu ambao ñi rahisi kunielewa na kuelewa maandiko yangu ni wenye taaluma ya sheria. Waliosoma na kubobea sio wale tiamaji tiamaji.
Sasa wewe ni mwanasheria usiyejua nafasi ya Mwanamke kwenye jamii ya kisasa ya waungwana?
 
s

sasa huyo aliyeupata urais kwa bahati na wala sio kwa uwezo wake nae ni rais, kila kitu anapuyanga tu utamsikia "na hili mkalitizame"

Ungetumia ID halisi ingekuwa vizuri ili tukulinganishe naye.
Sio ajabu wewe hata mambo madogo kama kuongoza maisha yako kumekushinda achilia mbali kuongoza familia. Alafu unamzungumzia mtu anayeongoza taifa ambalo wewe na ukoo wenu mpo ndani yake.

Haya kama ni bahati mbona hukupata wewe au mzazi wako?
 

Duuh! Uhai kwao hauna thamani tena. Hatari sana
 
Mkuu unajua kuwa rais wako anaitwa Samia?
Spika wa bunge lako je unamjua?
Hatufanani nao ila ndio hivyo tena

Huyo ni wale vijana wenye upeo finyu.
Ninauhakika kasoma shule mchanganyiko na kuna wasichana aliokuwa anasoma nao walikuwa wanamburuza darasani.

Hawa ni wale waliokuwa wanajidanganya na kudanganya jamii zamani kuwa Mwanamke hawezi kuwa Doctor wala hawezi kuwa injinia lakini leo kiko wapi.

Ni watu waoga na wasiojiamini
 
Tukiachana na hayo ya miungu.
Hivi wewe una mke na watoto unajua kabisa kesho au Wiki ijayo mji unaoishi patashambuliwa. Utaacha familia yako?
Ulikua unaonekana smart kumbe ni kichaa

1. Kwenye vita wanawake na watoto ndio wanahesabiwa ni victims, sio kua wanaume hawafi huko Gaza
2. Hakuna mtu anaependa kufa, gaza imezingirwa kila kona, ndio mana kwa sasa wengi wamekusanyika Rafaa, wapo wanaotaka hata kuhonga ili familia zao zitoke nje ya gaza.

3. Tumia akili usitumie mihemko, wale wanaokufa ni binadamu, wanafanya kila wawezalo waishi, acha ujuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…