mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Mkuu unajua kuwa rais wako anaitwa Samia?kwahyo kwakua wanawake kadhaa wamekuzidi jambo hili au lile inahalalisha wewe kutotimiza majukumu yako unasubiri watimize wao !?
Pia unajua wanawake hao unaowasifia kunizidi wengi wamerithi tu mali, au mgawanyo wa mali baada ya talaka, alomony nk.
Mario ni mario tu you dropped your brain in the mud when you were running to be aided up by a bitch.
Spika wa bunge lako je unamjua?
Hatufanani nao ila ndio hivyo tena