Kwa hili Arusha mnatuaibisha Watanzania

Kwa hili Arusha mnatuaibisha Watanzania

Nilisikia walitupa access ya kujibatiza wenyewe si ndio jana nikafanya jaribio [emoji23]

Uhakika mbadala maana chai imegoma leo [emoji1787][emoji1787]
Umetisha jirani yangu [emoji28]
 
Mabasi yapi unazungumzia? Buses, coaster or hiace?

Stand wenyewe wanawezana nazo.
Mabasi yote kwa ujumla wake.

Hatuzungumzii kuwezana nayo au kutokuwezana nayo. Waboreshe miundombinu iendane na hadhi ya jiji
 
Tunakuaibisha wewe kama nani sisi tunapenda mabus yenye engine ya scania 113 alafu chuma iwe ya masaa barabarani ni mwendo wa kukaa kulia Hadi inafika kwao.

Chuga ni republic kamili unavyosema hatujui kiswahili kwanza ujue chuga haiongei kiswahili chuga ina lugha yake ya pekee tunaongea kwa code ili mawaki wasituletee dashi za ki lafa kwani hamuoni tu tuko tofauti na nyie?

Hata mavazi yetu mwendo wetu na kiatu ni kubwa ya kucheba
Yale mavazi yenu na maviatu ni ujuaji usio na maana
 
Yero subahi wanangu wa ngaramtoni, mbauda, ngalimi na sanawari, mtu akisikia unasafiri unaelekea arusha kichwani anakuhusudu kama mtu anayeelekea.

Geneva ya kibongobongo mawazo yake ni sahihi isipokuwa atokuwa sawa akidhania ya kuwa pia unafaidi raha ya kusafiri kwa usafiri wenye comfort na luxury zote za mabasi kama waendao kwenye majiji mengine nchini.

Kiufupi ukisikia kuna Kenya ndogo inayoexist ndani ya Tanzania na hata watu wake hawakijui vizuri kiswahili karibia hapa penye stendi ugly ilojaa malori(fuso,scania na Isuzu).

Malori haya yalobadilishwa matumizi na kubambikiwa show ya mabasi a.k.a chinjachinja, saga kunguni au mabasi ya vijijini au kwenye minada ya ng'ombe yapo katikati ya jiji yakipakia abiria wasokuwa na hatia tayari kwa kuwatia tetenasi na nauli zao zisizo za kutabirika kuelekea DSM, Mwanza, Musoma, Tanga n.k.

Sasa usiguse hayo mangorika,sijuhi mtei, AM coach, coast n.k utaghahirisha safari yako bure ya kutoka nje ya jiji letu pendwa la utalii bado kwenye vi-hiace ndo balaa usisemee hilo vumbi na vuruge lake hapo ngarenaro stendi mbaya kama zizi la mbuzi haina hata vibao angalau kuindicate uelekeo au mitaa.

Kiufupi Arusha katika upande wa usafiri wa abiria kwa njia ya barabara mnaiaibisha Tanzania be modern bwana mbona mji mdogo kama Tarime umeweza na unamabasi mazuri ya wazawa na mengi pengine kuliko makao makuu ya mikoa mingi nchini na usafiri kule ni uhakika muda wote.

Achilia mbali mabasi yao hayana sura mbaya za kuchongwa na kubadilishiwa matumizi ya mizigo kuwa ya wanadamu ebu tafadhali tuwe japo kidogo na utu na huruma maana tunawaonea sana ndugu zetu wamasaai wanaoenda monduli, kiteto kibaya, simanjiro mirerani,tarakea rombo n.k.

Inawabidi walale guest za city center huku wakigeuka walinzi wakiofia kuachwa na mafuso haya yanayodamka usiku usiku huku yamepakia watu kama kuku usawa huu kweli katika karne ya 21 bado watu.

Wanapakia mizigo na mifugo juu ya carrier/bodi nimewapa mfano mdogo wa Tarime wala msijiangaishe kwenda miji mikubwa au kuomba msaada kwingine kawaulizeni kaka zenu wadogo wamewezaje maana.

Mnatuaibisha wenzenu tunawavumilia mpaka tumewashiba tafadhali wamiliki wakale na wakazi wa jiji pendwa la arusha haya mabasi myatenge na msiwe mnayapanda hili wamiliki na serikali wabadilike miundombinu iboreshwe.

Pamoja na magari yenyewe, haiwezekani wengine daily wanapanda vya kuimport luxury and modern japo tulitamani vingeundwa hapa hapa nchini lakini sisi tunakomaa na mamoshi.

Uchafuzi wa mazingira na uchafuzi wa mandhari ya jiji mwishowe watalii waogope kuzuru nchini kwa kutishwa na mabasi yenye sura nzito ka ya mpoto pili yanaifanya nchi yetu iwe na taswira ya mabasi pendwa ya nchi jirani.
Mkuu yani ukivuta bhangi iliyochanganywa na ugoro ni shida.

We umemwelewa mleta mada?.
 
Duuhh.......leo ndo nimeamini unaweza kusoma mada kwa utulivu mkubwa na usiielewe....
 
Inaonekana umeanza kutumia Jf leo
 
Arusha inaharibiwa kwa sababu za kisiasa, CCM na serikali yake wanashindwa kuiendeleza Arusha kwasababu wanajua hawapendwi hivyo ni kama wamepasusa, mfano stand ya mabasi ya mikoani, pesa zilishatolewa zamani lakini utekelezaji wa ujenzi wake ukawa unasuasua kwasababu Lema alikuwa mbunge, ni ujinga ujinga tu.
 
Yero subahi wanangu wa ngaramtoni, mbauda, ngalimi na sanawari, mtu akisikia unasafiri unaelekea arusha kichwani anakuhusudu kama mtu anayeelekea.

Geneva ya kibongobongo mawazo yake ni sahihi isipokuwa atokuwa sawa akidhania ya kuwa pia unafaidi raha ya kusafiri kwa usafiri wenye comfort na luxury zote za mabasi kama waendao kwenye majiji mengine nchini.

Kiufupi ukisikia kuna Kenya ndogo inayoexist ndani ya Tanzania na hata watu wake hawakijui vizuri kiswahili karibia hapa penye stendi ugly ilojaa malori(fuso,scania na Isuzu).

Malori haya yalobadilishwa matumizi na kubambikiwa show ya mabasi a.k.a chinjachinja, saga kunguni au mabasi ya vijijini au kwenye minada ya ng'ombe yapo katikati ya jiji yakipakia abiria wasokuwa na hatia tayari kwa kuwatia tetenasi na nauli zao zisizo za kutabirika kuelekea DSM, Mwanza, Musoma, Tanga n.k.

Sasa usiguse hayo mangorika,sijuhi mtei, AM coach, coast n.k utaghahirisha safari yako bure ya kutoka nje ya jiji letu pendwa la utalii bado kwenye vi-hiace ndo balaa usisemee hilo vumbi na vuruge lake hapo ngarenaro stendi mbaya kama zizi la mbuzi haina hata vibao angalau kuindicate uelekeo au mitaa.

Kiufupi Arusha katika upande wa usafiri wa abiria kwa njia ya barabara mnaiaibisha Tanzania be modern bwana mbona mji mdogo kama Tarime umeweza na unamabasi mazuri ya wazawa na mengi pengine kuliko makao makuu ya mikoa mingi nchini na usafiri kule ni uhakika muda wote.

Achilia mbali mabasi yao hayana sura mbaya za kuchongwa na kubadilishiwa matumizi ya mizigo kuwa ya wanadamu ebu tafadhali tuwe japo kidogo na utu na huruma maana tunawaonea sana ndugu zetu wamasaai wanaoenda monduli, kiteto kibaya, simanjiro mirerani,tarakea rombo n.k.

Inawabidi walale guest za city center huku wakigeuka walinzi wakiofia kuachwa na mafuso haya yanayodamka usiku usiku huku yamepakia watu kama kuku usawa huu kweli katika karne ya 21 bado watu.

Wanapakia mizigo na mifugo juu ya carrier/bodi nimewapa mfano mdogo wa Tarime wala msijiangaishe kwenda miji mikubwa au kuomba msaada kwingine kawaulizeni kaka zenu wadogo wamewezaje maana.

Mnatuaibisha wenzenu tunawavumilia mpaka tumewashiba tafadhali wamiliki wakale na wakazi wa jiji pendwa la arusha haya mabasi myatenge na msiwe mnayapanda hili wamiliki na serikali wabadilike miundombinu iboreshwe.

Pamoja na magari yenyewe, haiwezekani wengine daily wanapanda vya kuimport luxury and modern japo tulitamani vingeundwa hapa hapa nchini lakini sisi tunakomaa na mamoshi.

Uchafuzi wa mazingira na uchafuzi wa mandhari ya jiji mwishowe watalii waogope kuzuru nchini kwa kutishwa na mabasi yenye sura nzito ka ya mpoto pili yanaifanya nchi yetu iwe na taswira ya mabasi pendwa ya nchi jirani.
Ulitaka mtu apeleke yutong simanjiro au kiteto
 
Tunasafiri na kufika. Hizo lomoni zako baki nazo. Ukitaka starehe nunua Chinyunyu yako dingila. Life la chugastan ni la wachugastan. Huwez ishi rudi kwenu.

Hiyo kiswaili unayojua kuiongea kwa ufasaha imeshakuingizia bei gani.

Una akili za kiwaki
 
Back
Top Bottom