Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

Homeboy [emoji23][emoji23]
 

Akili za kukaririshwa za kibongo, these people are beyond your poor minded beliefs, thinking about economic growth after the performance, after all Arabic nations are moving out to a complete secularism in no time. Kalagabhaho
 
Kule wanajua kuna maisha baada ya Mafuta,,,, na hayo maisha hayahitaji uislamu... yanahitaji Kufungua uchumi wao ualign na nchi nyingine za kibiashara kuonyesha kwamba wako open, tourist attraction na hizo entertainment kwamba kwao inawezakana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…