Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

Sisi tunaombea waliokufa.

Kama ambavyo hatuku-mind wewe ambaye hauwaombei, so you should also mind your own fucking businesses.

As long as hatujavunja sheria za nchi na za kimataifa; tuache. Pilipili usiyoila inakuwashia nini?
Basi muombeeni na Mkapa msiwe Bias Kama alivyokuwa huyo mnayemtukuza
 
Uzi wako umetuhumu tu, hakuna sehemu umeweka uthibitisho, hebu tuwekee hapa ili uwe credible.
Hivi, wewe ni mgeni wa Nchi hii? Unataka uthibitisho gani kuuelezea UOVU wa mtu yule? Binafsi, nilitamani maiti yake IFUKIWE badala ya KUZIKWA!
 
We vipi? Ikulu ni mbinguni? Kwani wezi, na wapuuzi siyo raia wa nchi? Au unaamini viongozi wa dini ni watakatifu wa mbingu. Tumia akili bhana! Eti askofu! Askofu the stupid!
nani kasema Ikulu ni mbinguni? Kama yule muuaji aliweza kukaa pale patakuwa mbinguni? hapa sizungumziii viongozi wa dini kuwa perfect, nazungumzia huyu mjinga ku persecute viongoizi wa dini wanapotofautiana nae kisiasa kisha kuwakumbatia wakimuunga mkono...
 
Mada ya kipagani hii.

Sisi Wakristo hatuishi katikati ya VISASI bali tumebeba UPENDO mioyoni mwetu.
Ndugu,
Lakini Wakristo hawatakiwi kuwa WANAFIKI kama walivyokuwa Mafarisayo wa wakati wa Yesu.
Unamuaibisha mwenye jina hilo ambae alikuwa imara na mkweli asiyeyumba.
 
Kupewa sakramenti siyo uthibitisho kuwa yuko mbinguni. Sakramenti hizo ni haki yake kama mkristo, na ni wajibu wa kanisa kuwapa sakramenti hizo wale wanaozistahili, lakini hukumu bado ni ya Mungu mwenyewe.
Nimeshuhudia kanisa hilohilo likihukumu wafu kwa kudai kwamba hakuwa amefunga ndoa, alikuwa na suria, alikuwa hashiriki jumuiya nk; wakati hapohapo likiwatunuku sakramenti hizohizo walevi na majambazi!
Kuna walakini kubwa sana katika kuadhimisha uovu na waovu.
Kwa sisi wa-catholic hiyo ni uthibitsho tosha kuwa wewe utaenda mbinguni.

Kama ambavyo dhambi tunatubu kwa padre na tunaamini tumesamehewa na kupewa malipizi.

Sisi tuna mwakilishi wa Mungu hapa duniani papa usilinganishe na imani yako.

Pia tunauwezo wa kuwapa utakatifu watu baada ya kifo.

Pia hao watakatifu tunaruhusiwa kuwaomba watuombee na tunaruhusiwa kuwaombea waliokufa na wakasamehewa dhambi zao nakutoka toharani kuingia mbinguni.
 
Kwa sisi wa-catholic hiyo ni uthibitsho tosha kuwa wewe utaenda mbinguni.
Kama ambavyo dhambi tunatubu kwa padre na tunaamini tumesamehewa na kupewa malipizi.
Sisi tuna mwakilishi wa Mungu hapa duniani papa usilinganishe na imani yako.
Pia tunauwezo wa kuwapa utakatifu watu baada ya kifo.
Pia hao watakatifu tunaruhusiwa kuwaomba watuombee na tunaruhusiwa kuwaombea waliokufa
na wakasamehewa dhambi zao nakutoka toharani kuingia mbinguni.
Unahitaji msaada mkubwa sana. Hebu anzia kwa katekista wako hapo parokiani au kigangoni.
 
Unahitaji msaada mkubwa sana. Hebu anzia kwa katekista wako hapo parokiani au kigangoni.
Huyo kateksta ndio kanifundisha miaka miwili ubatizo na kommunio

baadae kupewa kipaimara na hayati mhashamu askofu Anthony Mayala.

Baada ya hapo nilienda seminary kuu mpendwa.
 
Back
Top Bottom