Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Kwa kanuni hii nawaheshimu sana waislamu.Binadamu hata awe ameishi kifirauni kiasi gani akifa lazma asitiriwe, ombewe maghfira (msamaa) kwa M/MUNGU na pia arehemewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kanuni hii nawaheshimu sana waislamu.Binadamu hata awe ameishi kifirauni kiasi gani akifa lazma asitiriwe, ombewe maghfira (msamaa) kwa M/MUNGU na pia arehemewe.
Basi muombeeni na Mkapa msiwe Bias Kama alivyokuwa huyo mnayemtukuzaSisi tunaombea waliokufa.
Kama ambavyo hatuku-mind wewe ambaye hauwaombei, so you should also mind your own fucking businesses.
As long as hatujavunja sheria za nchi na za kimataifa; tuache. Pilipili usiyoila inakuwashia nini?
Hivi, wewe ni mgeni wa Nchi hii? Unataka uthibitisho gani kuuelezea UOVU wa mtu yule? Binafsi, nilitamani maiti yake IFUKIWE badala ya KUZIKWA!Uzi wako umetuhumu tu, hakuna sehemu umeweka uthibitisho, hebu tuwekee hapa ili uwe credible.
nani kasema Ikulu ni mbinguni? Kama yule muuaji aliweza kukaa pale patakuwa mbinguni? hapa sizungumziii viongozi wa dini kuwa perfect, nazungumzia huyu mjinga ku persecute viongoizi wa dini wanapotofautiana nae kisiasa kisha kuwakumbatia wakimuunga mkono...We vipi? Ikulu ni mbinguni? Kwani wezi, na wapuuzi siyo raia wa nchi? Au unaamini viongozi wa dini ni watakatifu wa mbingu. Tumia akili bhana! Eti askofu! Askofu the stupid!
Upendo wa Mungu auji baada ya kifo.Mada ya kipagani hii.
Sisi Wakristo hatuishi katikati ya VISASI bali tumebeba UPENDO mioyoni mwetu.
Mkuu, inakuuma nini watu kufanya wanachoona ni sahihi. Kwa kuwa tupo nchi huru na wewe andaa kongamano uelezee unachojisikia kuelewa.
Usipanjia watu cha kufanya hauna mamlaka hiyo.
Ndugu,Mada ya kipagani hii.
Sisi Wakristo hatuishi katikati ya VISASI bali tumebeba UPENDO mioyoni mwetu.
Huu ndio uthibitisho?
Kwa sisi wa-catholic hiyo ni uthibitsho tosha kuwa wewe utaenda mbinguni.Kupewa sakramenti siyo uthibitisho kuwa yuko mbinguni. Sakramenti hizo ni haki yake kama mkristo, na ni wajibu wa kanisa kuwapa sakramenti hizo wale wanaozistahili, lakini hukumu bado ni ya Mungu mwenyewe.
Nimeshuhudia kanisa hilohilo likihukumu wafu kwa kudai kwamba hakuwa amefunga ndoa, alikuwa na suria, alikuwa hashiriki jumuiya nk; wakati hapohapo likiwatunuku sakramenti hizohizo walevi na majambazi!
Kuna walakini kubwa sana katika kuadhimisha uovu na waovu.
Hahaha!!! Kusema tu ukweli uliokuwa wazi ndio unakuwa wazi au ubongo wako ndio uko wazi.Huo ndio ukweli usioacha shaka. Hakuna mwenye muda wa kukudhibitishia ukweli ulikuwa wazi.
Kanisa sio mali ya waumini!Kanisa ni mali ya waumini, kama linafanya kitu ambacho sio sahihi waumini wanapaswa kukemea
Hii imekuwa habari kwa sababu ni Magufuli Mkapa alioombewa mwaka jana haikuwa habari kwa sababu ni Mkapa.Basi muombeeni na Mkapa msiwe Bias Kama alivyokuwa huyo mnayemtukuza
Unahitaji msaada mkubwa sana. Hebu anzia kwa katekista wako hapo parokiani au kigangoni.Kwa sisi wa-catholic hiyo ni uthibitsho tosha kuwa wewe utaenda mbinguni.
Kama ambavyo dhambi tunatubu kwa padre na tunaamini tumesamehewa na kupewa malipizi.
Sisi tuna mwakilishi wa Mungu hapa duniani papa usilinganishe na imani yako.
Pia tunauwezo wa kuwapa utakatifu watu baada ya kifo.
Pia hao watakatifu tunaruhusiwa kuwaomba watuombee na tunaruhusiwa kuwaombea waliokufa
na wakasamehewa dhambi zao nakutoka toharani kuingia mbinguni.
Huyo kateksta ndio kanifundisha miaka miwili ubatizo na kommunioUnahitaji msaada mkubwa sana. Hebu anzia kwa katekista wako hapo parokiani au kigangoni.
Watz wengi akili 0% mbona haulizi kwanini Mkapa hakuagwa Dodoma, Zbar, na Mwanza?Kumsamehe na kumuadhimisha ni tofauti, kwa nini wasiadhimishe kifo cha mkapa?
Kanisa ndio lilitembeza maiti?Watz wengi akili 0% mbona haulizi kwanini Mkapa hakuagwa Dodoma, Zbar, na Mwanza?
Hahaha!!! Kusema tu ukweli uliokuwa wazi ndio unakuwa wazi au ubongo wako ndio uko wazi.
Unaokufa ni mwili tu bwashee.