love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Ukweli ulio kwenye ubongo wako tu hauumiUkweli huuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ulio kwenye ubongo wako tu hauumiUkweli huuma.
Mtetea ushoga lisu akaombewe na shetani huko
Dini haziwaongozi watu kwenda mbinguni tu bali huwafanya watawalike kirahisi pia watawala hupenda kuona dini zikiwasaidia kutawala na maandiko yanasema tutii mamlaka kwa vile hutoka kwa Mungu.Pambana na dhambi zako kanisa halita kusaidia , na kamwe halitaona aibu na maisha yataendelea.
Ukweli ulio kwenye ubongo wako tu hauumi
Ukiniita mimi mnafiki Tundu Lisu na Freeman Mbowe wanaoongea Lugha ya CCM hivi sasa sijui utawaitaje?Ndugu,
Lakini Wakristo hawatakiwi kuwa WANAFIKI kama walivyokuwa Mafarisayo wa wakati wa Yesu.
Unamuaibisha mwenye jina hilo ambae alikuwa imara na mkweli asiyeyumba.
Hao hawahusiki hapa. Acha kuokoteza cha kuongea. Mwenye jina hilo hakuwa hivyo.Ukiniita mimi mnafiki Tundu Lisu na Freeman Mbowe wanaoongea Lugha ya CCM hivi sasa sijui utawaitaje?
Ni ubongo wako tu uliopanick!!!Usingepanick.
Nimekupa mfano wa Wanafiki HAI.Hao hawahusiki hapa. Acha kuokoteza cha kuongea. Mwenye jina hilo hakuwa hivyo.
Kwani Mwenyekiti wa TEC anapaswa kuwa na vigezo gani? Askofu (Mkuu) Nyaisonga hana hivyo vigezo?Mimi ni moatoliki, lakini h
awa maaskofu wetu kwa unafiki siwawezi. Hata askofu Nyaisonga kuwa rais wa tec, hawakuzingatia vigezo vingine zaidi ya kuwa mwendazake alikuwa rafiki mkubwa wa huyu askofu.
Yesu Amewafundisha Wakatoliki hivi!Sitaki kuzungumzia madhila ya kisiasa aliyoyafanya kwa Taifa huyu mtu, maana hata ukurasa huu hautatosha, nataka nizungumzie tu madhila aliyowafanyia kanisa Katoliki na Makanisa Mengine, halafu leo hii wanaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake
Kwanza kabisa kulikuwa na mauaji na watu kupotea kulivyoshamiri mwaka 2017 Kanisa Katoliki lilitoa waraka wa kulaani mambo hayo na kuliombea Taifa lirudi kwenye mstari, alichojibu bwana huyu ni kulikejeli Kanisa katoliki na kusema kuwa halikukemea mauaji ya Kibiti (Kitu ambacho ni uongo, Kanisa lilikemea) na hata kama halikukemea kweli ndio itafanya mauaji ya watu wale kuwa sahihi? Ni mtu muovu namna gani anayeweza kuwaza hivi? Kanisa halioni aibu kumuadhimisha mtu kama huyu?
Pili, Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Kiprotestanti nao wakatoa waraka wa kukemea mauaji yaliyokuwa yameshamiri nchini kipindi kile, lakini mtu huyu alivyokuwa wa ajabu alitoa wa notisi kwa makanisa hayo kufuta waraka huo ama yatafutiwa usajili, hii ilileta sekeseke hadi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kipindi kile Mwigulu Nchemba kuondolewa
Tatu, Askofu Kakobe, aliposema kuwa Tanzania ni nchi ya vyama vingi na vyama vyote vinapaswa kupewa nafasi, askofu huyu alitukanwa na kudhihakiwa sana na vijana wa kazi wa huyu mzee, na kunyang’anywa paspoti yake na kuambiwa sio raia wa Tanzania, haikuishia hapo askofu Kakobe alitishiwa kufilisiwa mali zake na za kanisa endapo ‘asingeunga juhudi’ . Huytu ndiye mtu Kanisa Katoliki linamuadhimisha?
Nne, Askofu Niwemugizi aliposema kudai katiba mpya sio uchochezi, mtu huyu bila chembe ya aibu alimuundia zengwe kuwa sio raia wa Tanzania na akapokjonywa paspoti, japo Askofu huyu ndio alikuwa Askofu wake tangu kabla hajawa Rais..!
Tano, Kulipokuwa na Wimbi la ugonjwa Corona, mtu huyu kwa siasa zake za kilaghai akasema Corona imeondolewa kwa maombi ya siku 3, Kanisa Katoliki ambalo linajua kuwa Mungu katupa Sayansi ya kukabiliana na majanga, likasisitiza watu kuchukua tahadhari za kisayansi na kushauri Serikali ifuate njia zilizothibitishwa Kisayansi kukabiliana na hili Janga.
Kanisa lilienda mbali na kutoa takwimu za watumishi wake kama maaskofu, mapadri, masista n.k waliokufa wengi kwa kipindi kifupi kwa dalili za ugonjwa wa Covid. Mtu huyu mnakumbuka alifanyaje? Alikejeli vibaya viongozi wa Dini na kusema wanapotosha watu kiimani, kuna kipindi aliingia kanisani na kumkejeli padre mmoja aliyekuwa anazingatia kanuni za kujikinga na Corona. Mtu huyu leo ndio Kanisa..Au linataka kumtangaza Mtakatifuu?
Nimechagua baadhi tu ambayo yalifanyika hadharani na mtu fmfuatiliji wa siasa atayajua, ila yapo mengi sana mtu huyu aliwafanyia viongozi wa Dini kama yale ya akina Mwingira, na kukamata mapadri huko Moshi, ila niishie hapa
Najua baadhi wanaweza kuteta na kusema alikuwa kiongozi mkubwa wa nchi aliyefanya mambo makubwa hivyo lazima wamuadhimishe. Lakini Mkapa, ambaye ni kiongozi aliyekuwa na mapungufu yake pia japo hayakufikia kiwaongo hiki, alifanya mambo makubwa sana na alipofikisha mwaka mmoja tangu kifo chake, Kanisa Katoliki halikufanya chochote
Halafu wanajikuta wanawajua Maaskofu wetu 😁Kuna vijitu hapa vinajidai kumjua sana Mungu, kumbe ni akili mbovu tu inayowafanya watoe sifa. Askofu fulani bhla!-bhla!
Magufuli keshakufa, hakuna mwingine anayestahili kufa hivyo...Kama hutaki vaa mabomu ukajilipue siku ya hiyo misa.
Wewe naye kiazi kwelikweli.Ukumbuke kuwa kwa Imani ya katoliki kupokea sakramenti sio kigezo peekee cua kufika Mbinguni. Yesu alisema: 'Aulae mwili wangu bila kustahili anakula hukumu yake mwenyewe'.
AMENMimi siombei mtu aliyekwisha kufa mkuu, naombea aliyehai
ndugu kanisa halilipi kisasi hata maandiko yanasema kisasi si juu ya mwanadamu.kanisa linaamini katika kusamehe na hukumu anaachiwa Mungu sababu ndiye anyejua yaliyopo ndani ya kila mwanadamu.Sitaki kuzungumzia madhila ya kisiasa aliyoyafanya kwa Taifa huyu mtu, maana hata ukurasa huu hautatosha, nataka nizungumzie tu madhila aliyowafanyia kanisa Katoliki na Makanisa Mengine, halafu leo hii wanaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake
Kwanza kabisa kulikuwa na mauaji na watu kupotea kulivyoshamiri mwaka 2017 Kanisa Katoliki lilitoa waraka wa kulaani mambo hayo na kuliombea Taifa lirudi kwenye mstari, alichojibu bwana huyu ni kulikejeli Kanisa katoliki na kusema kuwa halikukemea mauaji ya Kibiti (Kitu ambacho ni uongo, Kanisa lilikemea) na hata kama halikukemea kweli ndio itafanya mauaji ya watu wale kuwa sahihi? Ni mtu muovu namna gani anayeweza kuwaza hivi? Kanisa halioni aibu kumuadhimisha mtu kama huyu?
Pili, Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Kiprotestanti nao wakatoa waraka wa kukemea mauaji yaliyokuwa yameshamiri nchini kipindi kile, lakini mtu huyu alivyokuwa wa ajabu alitoa wa notisi kwa makanisa hayo kufuta waraka huo ama yatafutiwa usajili, hii ilileta sekeseke hadi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kipindi kile Mwigulu Nchemba kuondolewa
Tatu, Askofu Kakobe, aliposema kuwa Tanzania ni nchi ya vyama vingi na vyama vyote vinapaswa kupewa nafasi, askofu huyu alitukanwa na kudhihakiwa sana na vijana wa kazi wa huyu mzee, na kunyang’anywa paspoti yake na kuambiwa sio raia wa Tanzania, haikuishia hapo askofu Kakobe alitishiwa kufilisiwa mali zake na za kanisa endapo ‘asingeunga juhudi’ . Huytu ndiye mtu Kanisa Katoliki linamuadhimisha?
Nne, Askofu Niwemugizi aliposema kudai katiba mpya sio uchochezi, mtu huyu bila chembe ya aibu alimuundia zengwe kuwa sio raia wa Tanzania na akapokjonywa paspoti, japo Askofu huyu ndio alikuwa Askofu wake tangu kabla hajawa Rais..!
Tano, Kulipokuwa na Wimbi la ugonjwa Corona, mtu huyu kwa siasa zake za kilaghai akasema Corona imeondolewa kwa maombi ya siku 3, Kanisa Katoliki ambalo linajua kuwa Mungu katupa Sayansi ya kukabiliana na majanga, likasisitiza watu kuchukua tahadhari za kisayansi na kushauri Serikali ifuate njia zilizothibitishwa Kisayansi kukabiliana na hili Janga.
Kanisa lilienda mbali na kutoa takwimu za watumishi wake kama maaskofu, mapadri, masista n.k waliokufa wengi kwa kipindi kifupi kwa dalili za ugonjwa wa Covid. Mtu huyu mnakumbuka alifanyaje? Alikejeli vibaya viongozi wa Dini na kusema wanapotosha watu kiimani, kuna kipindi aliingia kanisani na kumkejeli padre mmoja aliyekuwa anazingatia kanuni za kujikinga na Corona. Mtu huyu leo ndio Kanisa..Au linataka kumtangaza Mtakatifuu?
Nimechagua baadhi tu ambayo yalifanyika hadharani na mtu fmfuatiliji wa siasa atayajua, ila yapo mengi sana mtu huyu aliwafanyia viongozi wa Dini kama yale ya akina Mwingira, na kukamata mapadri huko Moshi, ila niishie hapa
Najua baadhi wanaweza kuteta na kusema alikuwa kiongozi mkubwa wa nchi aliyefanya mambo makubwa hivyo lazima wamuadhimishe. Lakini Mkapa, ambaye ni kiongozi aliyekuwa na mapungufu yake pia japo hayakufikia kiwaongo hiki, alifanya mambo makubwa sana na alipofikisha mwaka mmoja tangu kifo chake, Kanisa Katoliki halikufanya chochote
Mama Kanisa hayupo hapa kuhukumu mtu yeyote. Ili mtu ustahili kitu fulani, siyo Kanisani pekee hata katika maisha, lazima uwe na vigezo.Nimeshuhudia kanisa hilohilo likihukumu wafu kwa kudai kwamba hakuwa amefunga ndoa, alikuwa na suria, alikuwa hashiriki jumuiya nk; wakati hapohapo likiwatunuku sakramenti hizohizo walevi na majambazi!
Magufuli hakuwa mwovu, at least at his deathbed. Tunaamini yupo mbinguni au toharani. Ndio maana tunamuombea yeye pamoja na roho za waamini wengine marehemu waliopo toharani wapate rehema kwa Mungu wafike mbinguni mapema iwezekanavyo.Kuna walakini kubwa sana katika kuadhimisha uovu na waovu
Mtu mwovu anaombewaje Bwashee? Tymwache atulie mavumbiniMada ya kipagani hii.
Sisi Wakristo hatuishi katikati ya VISASI bali tumebeba UPENDO mioyoni mwetu.
Kwani Lissu alikuwa amekufa?hii ni ibada ya wafu sio ya waliohaiMbona watu walipotaka kumuombea Lisu alikataa, au yeye alikuwa na haki ya kupangia watu nani wamuombee?