Mmh hii kweli ya duniani basi akapigwe vipimo ili ajue zaidi maana km ni hivyo hata mimi naweza nikaibuka na kujimwambafyi kwamba huyu ni mwanangu hapo unaona imekaaje mkuu?Mama wa ommy Dimpoz alifariki ommy ukiwa mdogo sana primary school. Huyu baba hakutokea msibani japo kumpa faraja mwanae, wala hakuwahi kumtafuta mwanae kujua anaishi au amekufa
Na pia kuna tabia tunazo wa Africa kwamba mtoto wako ni lazima akusaidie, kitu ambacho hakina ulazima. Ni vema wazazi wakaandaa uzee wao vizuri na siyo kuja kutegemea fadhila za watoto wao, unless watoto wamependa wenyewe kuwasupport wazazi wao hata kama wazazi waliwalea ama hawakuwalea.Kabisa mkuu
Bibi yangu aliwahi kunihusia kwamba hata awe na hasira vipi kamwe usimfanyie ubaya mtoto mdogo maana siku moja utakua mzee nae atakua kijana mtu mzima mwenye hatma yake
Mama ndie anaemjua baba wa mtoto hivyo ndivyo ilivyoWazazi wa aina hii ni wazazi matapeli
Na pia kuna tabia tunazo wa Africa kwamba mtoto wako ni lazima akusaidie, kitu ambacho hakina ulazima. Ni vema wazazi wakaandaa uzee wao vizuri na siyo kuja kutegemea fadhila za watoto wao, unless watoto wamependa wenyewe kuwasupport wazazi wao hata kama wazazi waliwalea ama hawakuwalea.
Kwa mfano huyu mzee asingekuwa na tamaa za mafanikio ya mwanae ama asingekuwa anamtafuta mwanae kwa sababu ya mafanikio, bali tu kumaliza tofauti zao, hii ingekuwa rahisi sana kusamehewa na mwanae, kuliko kumtafuta mtoto wako kisha kuanza kudai fadhila kitu ambacho si busara na hekima.
Umesikiliza alichoongea huyo mzee na alichoongea ommy au umesoma comments tuu?Mama ndie anaemjua baba wa mtoto hivyo ndivyo ilivyo
Km ommy aliambiwa na mama yake kua huyo ndio baba yake basi hapo hakuna shida wamalizane tu kiutu uzima ila km hakuambiwa na mama yake kua huyu ndio baba yako basi hapo kuna walakini
Na mwanae Mbona ana mtoto Magomeni na Binti wa Arusha kamsahau.Kumbe
Ndio ila mama wa mtoto hajasikilizwa kwa hio hapo bado kuna gap mwenye ukweli halisi kua huyu mtoto ni wa nani ni mama wa mtotoUmesikiliza alichoongea huyo mzee na alichoongea ommy au umesoma comments tuu?
Nikasikilize tena mara ngap mkuu?Rudi kasikilize videos
Ulikwepo msibani na kuthibitisha ni kweli hakutokea?Mama wa ommy Dimpoz alifariki ommy ukiwa mdogo sana primary school. Huyu baba hakutokea msibani japo kumpa faraja mwanae, wala hakuwahi kumtafuta mwanae kujua anaishi au amekufa
Mama wa mtoto ni dada mpambanaji hawezi kulia mitandaoni, vijana wa music walikuwa wanampigia Misele na mapedeshee uchwara, Saizi ana mtoto Mdogo mwingineMtafute mama wa huyo mtoto na mwanae nae tumsikilize hapa