Hawa vimbunga hata kuwajadili ni kupoteza muda bureKuna k.enge zinaitwa Lucas na Tlaalaah huwezi kuziona hapa zinachungulia tu, zinasubiria kububujikwa na machozi ya furaha hivyohivyo na ripoti ya CAG.
Nimeshangazwa na jinsi frauds za TEMESA zilivyofanyika, unajiuliza TISS walikuwa wapiTisisiem wako bize kuteka wakosoaji ila nchi inaliwa wao wapo kimyaaa
Stop this Hasty Generalization.Watu wa pwani hayoo banaaa!!!!