Asante Kwa kunisahihisha mkuu....Stop this Hasty Generalization.
Samia hawezi kuwa kiwakilishi cha watu wote wa pwani.
Ujinga wake usihusishwe kivyovyote vile na watu wa pwani.
Busu la Kenge
.Mimi mwenyewe nawapongeza pia, mimi nilishashindwa kusikiliza kabisaKama taifa tuna hasara sana, kwanza niwapongeze kwa kuwa na guts za kusikiliza hizo hotuba.
sio kweli, kwa hiyo anawahurumia mafisad,
Adhabu za kike ndivyo zilivyo...Mbona Lissu yupo nyuma ya nondo hadi
Yericko Nyerere una lipi la kusema? Au tatizo bado ni TL?Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka?
View: https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/
Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga uwanja mwingine wa mpira halafu umtaje jina kuwa aliiba hizo pesa na iishie hapo utakuwa umekomesha? Kwani wewe tangu umeanza kutajwa kwa mauaji ya Oktoba 29 umeona aibu au hujaona ili tujue kama adhabu ya aibu inatosha kwa mafisadi.
Badala ya kuongelea uwajibikaji kuwa hao watu wanastahili adhabu kali kama moja mbili tatu ili kuokoa hata masalia madogo yaliyobaki unawaza kuwaabisha au sababu nawe ni mmoja wa mafisadi ambao umekuwa ukituhumiwa ndio maana unatafuta namna ya kujipa kivuli, eti waone aibu.
Mbona wewe umehusishwa na makaa ya mawe na wengine kina Rostam na hamjaona aibu bado mnaendelea, au hiyo aibu ni mpaka.utajwe na CAG?
Hujui hata ufanye nini kama kiongozi mkuu ajabu sana!
Kile kichwa ni mzigo kwa shingo!Mama hapendi mambo ya ukali, kugombezana na kufokeana.
HELA HAIONI AIBU, AIBU WANAIPATA MASIKINI WASIO NA HELALeo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka?