Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Siasa za ushindani zina raha yake vijana wa lumumba kuweni flexible ili mshauri chama chenu ushindi wa 99.99 ni ubakaji wa demokrasia na ni dhambi kubwa sana.
Unataka raha ya siasa sio matokeo bora
 
Ndio tunaotaka hadi mpoteane
Siasa nzuri ni zile za ushindani usifurahi kwa sababu ya haya tusipojenga demokrasia nzuri tunatengeneza matatizo ya mstakabali wa kesho
 
Hivi vichekesho sasa ! Lissu atapigiwa kura na nani? Akipata kura hata zile alizopata jimboni kwake za ubunge nahama Nchi
Naambiwa ccm kumechafuka sana baada ya kusikia lissu anataka kugombea urais.kitengo kipo busy
 
Membe mnamlilia sana
Kama kuna kitu watafanya makosa wapinzani ni kumpa membe nafasi ya kupeperusha kijiti cha upinzani naamini kwasasa wapinzani wamejifunza pakubwa kutokana na lowasa
 
Ccm kitashinda kwa demokrasia Mkuu
Sidhani km kuna ubakaji wa demokrasia
Siasa za ushindani zina raha yake vijana wa lumumba kuweni flexible ili mshauri chama chenu ushindi wa 99.99 ni ubakaji wa demokrasia na ni dhambi kubwa sana.
 
Mkuu
Naona malimbikizo yameshalipwa

Sasa Umerudi tena

Karibu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Una weweseka
 
Chadema wamekuwa wakala wa Mabeberu wanaenda kujizika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…