Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

hivi ni kwel jaman mtu ambaye hana impact angeweza shambuliwa namna ile pasipo serikali kuwajibika? mbaya zaid ni public figure lakin mpaka leo hii hakuna kinachoendelea! yule mtu kama akigombea madhara yake yatakuwa makubwa sana yaan huenda uyu jamaa ndio akawa kiongoz wa kwanza kukaa muda mfupi madarakan
 
Je aliyekifananisha chadema na korona mbona bado yupo kwenye wadhifa wake na sijaona andiko lako la kumuomba aondolewe kwenye nafasi yake. Na yule alifananisha wanafunzi wa vyuo vingine na ukilaza sijaona kuongea neno la kumshauri ili kubadilisha kauli ile. Wewe unamuogopa Lissu kubali ukatae sindano inauma hiyo mkuu subiri iingie itapoa tu
 
CCM kama mnataka tuwaamini tena, mpeni Membe awamu hii. Huyu wa sasa amefanya matumizi mabaya sana ya pesa zetu walipa kodi, kitendo cha kujilipa bilioni 1.2 kila mwezi kwa matumizi binafsi tu, kwa kweli kimempunguzia sifa ya uadilifu.
 
Na huu umri wangu sijawahi kuona Mzalendo anayewatetea Mabeberu km Lissu
Mtu mzima bila aibu mishipa imemchomoka anawatetea Mabeberu yatuibie raslimali zet!
Tuchukulie mfano ww ndiyo T.A lisu kwa lile shambulia la kupigwa risasi almost 30+ halafu ukatoka salamu, halafu serikali yako ikakataa kukupa matibabu mabeberu wakakutibu mpaka ukapona hapo Nani wamaana zaidi kwenye uhai wako?
Beberu au nchi yako?
 
Mbunge wa Chadema alisema njama za kumshambulia Lissu zilipangwa ndani ya chama chake

Km umefuatilia ndio maana walimtorosha dereva wa lissu asihojiwe
 
Serkali haijamtibu vipi wakati muda wote amepata mshahara hadi akopona

Alipopona akianza kutembelea media za Mabeberu kuipaka matope Nchi yetu

Na ukizingatia mbunge wa Chadema alisema lissu kupigwa risasi ilikuwa mpango wa chama
Km umefuatilia ndio maana walimtorosha dereva wa lissu asihojiwe
Tuchukulie mfano ww ndiyo T.A lisu kwa lile shambulia la kupigwa risasi almost 30+ halafu ukatoka salamu, halafu serikali yako ikakataa kukupa matibabu mabeberu wakakutibu mpaka ukapona hapo Nani wamaana zaidi kwenye uhai wako?
Beberu au nchi yako?
 
kitakachomjengea mazingira magumu uyu bwana aliyepo madarakan ni kwamba ametengeneza maadui wengi sana kipindi hiki cha uongozi wake, yaan wahanga ni wengi kuliko vipindi vyote vya uongoz, watu wametekwa sana, watu wametumbuliwa sana hatimaye mustakhabali wa maisha yao kuharibiwa, mishahara kwa wafanya kazi haijapanda ndan ya miaka mitano, kufanya vitu nje ya katiba ya jamhur ya muungano mfano kununua midege ile wakati wananchi uku wanakufa njaa, watu wametolewa bunduki hadharan kama vile tupo sudan, yaan ki uhalisia uongozi wa uyu bhana ni mgum sana japo yapo mazuri pia aliyoyafanya
 
Maadui wanakufanya uimarike
 
Unaamini hizo propaganda za Chadema

Haya Subiri membe atapewa 2025 baada ya Rais Magufuli kustaafu
CCM kama mnataka tuwaamini tena, mpeni Membe awamu hii. Huyu wa sasa amefanya matumizi mabaya sana ya pesa zetu walipa kodi, kitendo cha kujilipa bilioni 1.2 kila mwezi kwa matumizi binafsi tu, kwa kweli kimempunguzia sifa ya uadilifu.
 
Sidhani km alikosea
 
Baba wataifa sio Alfa na Omega babu , alikuwa na makosa yake kama binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…