Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Maadui Rais Magufuli ni

mafisadi,

wapiga dili

vyeti feki pamoja na

wauza madawa ya kulevya

Km upo kwenye hili kundi pole lazima ukanyee ndoo
 
Ila Mwenyekiti wetu ametuweza sana awamu hii, bilioni 1.2 kwa mwezi anazitumia kufanya nini wakati kila kitu analipiwa kupitia kodi zetu? Ama ndio hizi anagawa makanisani, misikitini na barabarani? Hayo ndiyo matumizi sahihi ya kodi zetu?

2020 Twende na Membe, huyu anapaswa kupumzishwa ikibidi hata kwa lazima. Wana CCM wenzangu, huyu atatuaibisha kwenye sanduku la kura asubuhi tu.
 
Kwani mna hofu gani na LISSU? Kama hafai si ndo itakuwa njema kwenu kupata ushindi? Hofu yenu kwa LISSU ni nini?
 
Tulia msumali ufanye kazi yake kwenye mbao
 
Mmeanza kuweweseka, tulieni kiboko yenu awatawale
 
Kudadadeeeki mmeanza kuhara
 
Ndio mkubwa tunataka membe asimame Chadema ili ampe changamoto Rais Magufuli asipate 100% kwani akisimama mropokaji wa ubeligiji mtapigwa tatu bila
 
Aliyekuomba utuchagulie Mgombea ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…