D
DeletedMember281674
Guest
Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa sababu atayechukua nafasi yake baada ya yaye atakuja na wa kwake.
Je, kwa kauli hii tutegemee Nini sisi watanzania, Kwamba mpaka Machi 17, 2026 hatoboi? Yatamtokea kama ya Mtangulizi wake aliyelala kule Chato?
Je, kwa kauli hii tutegemee Nini sisi watanzania, Kwamba mpaka Machi 17, 2026 hatoboi? Yatamtokea kama ya Mtangulizi wake aliyelala kule Chato?
