Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Litakuongoza mpaka 2030. utaishia kusonya mitandaoni.Andazi nalo li naweza kuandaa viongozi?
Litakuongoza mpaka 2030. utaishia kusonya mitandaoni.Andazi nalo li naweza kuandaa viongozi?
Litaongoza kwa taabu sana! Siku mimacho inekaa imevimba shauri ya kukaa usiku kucha linalia mamamake!Litakuongoza mpaka 2030. utaishia kusonya mitandaoni.
Wazungu waliamua wenyewe kuiachia AfricaUwezi kutegemea kifo cha mtu ndicho kikupe mabadiliko huo ni uzuzu
Kama ungekuwa ivo Africa tungekuwa bado tunatawaliwa na wazungu amka ulipo lala
Amlilie nani Mheshimiwa Rais?, anao wasaidizi wenye taaluma kubwa sana kuliko tunavyodhani.Litaongoza kwa taabu sana! Siku mimacho inekaa imevimba shauri ya kukaa usiku kucha linalia mamamake!
Kama mnaandaa vilaza kuwa viongozi , ndio maana si ajabu kwa Tanzania kuwa hivi ilivyo hata baada ya miaka 60 ya uhuru.Mmejipa kazi nzito sana ya kuombea viongozi yawakute mabaya. Kumbuka kwamba hata waliomuandaa yeye SSH waliandaliwa na Mwalimu Nyerere.
Kina Kikwete, RIP Sozigwa na Mwakawago na wengine wengi wa rika hilo la wazee wa leo waliandaliwa na Mwalimu ili waje kuwa viongozi.
Huwezi kuongoza nchi bila ya uongozi wako kuwa na mpango maalum wa kuandaa warithi watakaochukua nafasi za viongozi wanaochoka kiumri (succesion plan).
Jitahidi muelewe kinachoongelewa ili mpunguze hulka ya kutengeneza chuki miongoni mwa wadogo zetu wa miaka ya sasa.
JPM alikuwa na PHD tukaikashifu elimu yake, tukajikita kwenye kukosoa kingereza chake!.Kama mnaandaa vilaza kuwa viongozi , ndio maana si ajabu kwa Tanzania kuwa hivi ilivyo hata baada ya miaka 60 ya uhuru.
Walimletea dharau SSH wakakutana na kipigo kibaya, siku hizi kila wanachokifanya kinakuwa kuombea mabaya yamkute yeye na serikali yake.Huyo ni rais wa JMT kwa mjibu wa katiba yetu
-2030 ataachia kwa mjibu wa sheria
SASA ENDELEA KUJING'ATA NG'ATA
Hii nchi ni jamuhuri, katika jamuhuri hakuna kurithishana madaraka, CCM mmezoea mazoea, ulaghai na ujinga.Mmejipa kazi nzito sana ya kuombea viongozi yawakute mabaya. Kumbuka kwamba hata waliomuandaa yeye SSH waliandaliwa na Mwalimu Nyerere.
Kina Kikwete, RIP Sozigwa na Mwakawago na wengine wengi wa rika hilo la wazee wa leo waliandaliwa na Mwalimu ili waje kuwa viongozi.
Huwezi kuongoza nchi bila ya uongozi wako kuwa na mpango maalum wa kuandaa warithi watakaochukua nafasi za viongozi wanaochoka kiumri (succesion plan).
Jitahidi muelewe kinachoongelewa ili mpunguze hulka ya kutengeneza chuki miongoni mwa wadogo zetu wa miaka ya sasa.
Mwalimu aliaandaa vijana wachapakazi wakina Salim A. Salim, Mkapa, Mahiga etc during their heyday those leaders were very best compared with your ass-fargot Mr. Kikwete.Kina Kikwete, RIP Sozigwa na Mwakawago na wengine wengi wa rika hilo la wazee wa leo waliandaliwa na Mwalimu ili waje kuwa viongozi.
Tatizo siasa zenu zinakuwa humu mitandaoni, hamuendi walipo wananchi wakawatambua nyinyi kina nani uwezo wenu ni upi.Hii nchi ni jamuhuri, katika jamuhuri hakuna kurithishana madaraka, CCM mmezoea mazoea, ulaghai na ujinga.
Mjinga wahed, kawaambie hivyo wazazi wa Soka, Polepole na Ben SaananeTatizo siasa zenu zinakuwa humu mitandaoni, hamuendi walipo wananchi wakawatambua nyinyi kina nani uwezo wenu ni upi.
Unakuwa kichekesho kumsema mwanasiasa anayemvuta mtoto wake wakati wewe unaishia kutukana na kukosoa mitandaoni.
Huna asili ya siasa, huyo unayemsema vibaya kila siku yupo kwenye mikutano ya kisiasa na wananchi wanamuona.
Mdomo wako unaweza kukuinua kilimani na kushusha shimoni.Mjinga wahed, kawaambie hivyo wazazi wa Soka na Ben Saanane
🖕Mdomo wako unaweza kukuinua kilimani na kushusha shimoni.
Huku kubwatuka ndiyo kwa Kisukuma tunaita last kick of a dying horse, parapanda na bendera nusu mlingoti haikwepekeki.Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa sababu atayechukua nafasi yake baada ya yaye atakuja na wa kwake.
Je, kwa kauli hii tutegemee Nini sisi watanzania, Kwamba mpaka Machi 17, 2026 hatoboi? Yatamtokea kama ya Mtangulizi wake aliyelala kule Chato?
Mtasubiri sana. Haondoki mtu.Je, kwa kauli hii tutegemee Nini sisi watanzania, Kwamba mpaka Machi 17, 2026 hatoboi?
Samia hakuandaliwa na wala hakujiandaa kuwa kiongozi.JPM alikuwa na PHD tukaikashifu elimu yake, tukajikita kwenye kukosoa kingereza chake!.
Kule Ziwa Victoria kuna meli kubwa inafanya kazi, kuna ambulance ya ziwani inafanya kazi.
Kule Ziwa Tanganyika kuna meli nne zinaanza kufanya kazi, kiuchumi eneo lile linakwenda kufunguka.
Sijaongelea mamia ya viwanda vinavyofunguliwa kila kukicha kila kona ya Tanzania.
Heri huyu kilaza aongoze kuliko wasomi wanaoishia kukejeli na kukosoa hata kile wasichokifahamu vyema.