Kwa hotuba hii! Je, ndiyo tuseme mwisho wake umekaribia?

Kama mnaandaa vilaza kuwa viongozi , ndio maana si ajabu kwa Tanzania kuwa hivi ilivyo hata baada ya miaka 60 ya uhuru.
 
Kama mnaandaa vilaza kuwa viongozi , ndio maana si ajabu kwa Tanzania kuwa hivi ilivyo hata baada ya miaka 60 ya uhuru.
JPM alikuwa na PHD tukaikashifu elimu yake, tukajikita kwenye kukosoa kingereza chake!.

Kule Ziwa Victoria kuna meli kubwa inafanya kazi, kuna ambulance ya ziwani inafanya kazi.

Kule Ziwa Tanganyika kuna meli nne zinaanza kufanya kazi, kiuchumi eneo lile linakwenda kufunguka.

Sijaongelea mamia ya viwanda vinavyofunguliwa kila kukicha kila kona ya Tanzania.

Heri huyu kilaza aongoze kuliko wasomi wanaoishia kukejeli na kukosoa hata kile wasichokifahamu vyema.
 
Huyo ni rais wa JMT kwa mjibu wa katiba yetu
-2030 ataachia kwa mjibu wa sheria

SASA ENDELEA KUJING'ATA NG'ATA
Walimletea dharau SSH wakakutana na kipigo kibaya, siku hizi kila wanachokifanya kinakuwa kuombea mabaya yamkute yeye na serikali yake.

Hawakutegemea mpaka tarehe ya leo Tanzania iwe namna ile ile ilivyokuwa kabla ya October 29. Wanahangaika kadri wanavyoweza wanaishia kusonya tu wakiwa wamekaa mbele ya laptop zao.
 
Zile nazo ni hotuba za mkuu wa nchi. WTF?
 
Hii nchi ni jamuhuri, katika jamuhuri hakuna kurithishana madaraka, CCM mmezoea mazoea, ulaghai na ujinga.
 
Kina Kikwete, RIP Sozigwa na Mwakawago na wengine wengi wa rika hilo la wazee wa leo waliandaliwa na Mwalimu ili waje kuwa viongozi.
Mwalimu aliaandaa vijana wachapakazi wakina Salim A. Salim, Mkapa, Mahiga etc during their heyday those leaders were very best compared with your ass-fargot Mr. Kikwete.
 
Hii nchi ni jamuhuri, katika jamuhuri hakuna kurithishana madaraka, CCM mmezoea mazoea, ulaghai na ujinga.
Tatizo siasa zenu zinakuwa humu mitandaoni, hamuendi walipo wananchi wakawatambua nyinyi kina nani uwezo wenu ni upi.

Unakuwa kichekesho kumsema mwanasiasa anayemvuta mtoto wake wakati wewe unaishia kutukana na kukosoa mitandaoni.

Huna asili ya siasa, huyo unayemsema vibaya kila siku yupo kwenye mikutano ya kisiasa na wananchi wanamuona.
 
Mjinga wahed, kawaambie hivyo wazazi wa Soka, Polepole na Ben Saanane
 
Huku kubwatuka ndiyo kwa Kisukuma tunaita last kick of a dying horse, parapanda na bendera nusu mlingoti haikwepekeki.
 
Samia hakuandaliwa na wala hakujiandaa kuwa kiongozi.
Mifumo ya hovyo ya CCM na Taifa kwa ujumla ndiyo iliyopelekea yeye akapanda na kufikia hapo alipofikia.

Kwenye mifumo mizuri, asingeweza hata kuwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji/mtaa.

Tuliozaliwa na kukulia kwenye nyumba za viongozi enzi za Mwalimu, tunaelewa maana ya kuandaliwa kuwa kiongozi.

Angalau CHADEMA wana mfumo mzuri wa kuandaa na kutengeneza viongozi tofauti na CCM ambao wameamua kurithishana na kupeana kichawa chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…