Kwa hukumu ya bwana Hamisi kunyongwa hadi kufa nimejifunza yafuatayo

SHIDA INAKUJA PALE WENZETU WANAMAPEPO, YANAYO WAENDESHA. Kwanin tuckae juu ya jiwe
Mnazingua malalamiko yamekua mengi sana jamvini.
Zamani wanawake ndio walikua na kamdomo, walilalamika mno kua wanateswa , wanapigwa nk siku hizi kibao kimegeuka.
 
Mnazingua malalamiko yamekua mengi sana jamvini.
Zamani wanawake ndio walikua na kamdomo, walilalamika mno kua wanateswa , wanapigwa nk siku hizi kibao kimegeuka.
Sema upepo umetugeukia wanaume, hatujui kweny kikao chao walipeana mbinu gan.. Ndo hapa wanaume tunawaza mbinu ya kuwatulza watawalike hawa viumbe ke
 
Huu ni upuuzi yaani mtu umetafuta hela mpaka umejipata, unamiliki magari, nyumba, na biashara za kutosha.... Badala utulie ule hela zako unazuzuka na kumer mpaka zinakupeleka pabaya.
 
Watu wa kusema ukweli ni watatu tu yaani mtoto,mlevi na mtu aliyepaniki(hasira)
Najua Leo umesema ukweli kwa sababu una hasira
 
Sema upepo umetugeukia wanaume, hatujui kweny kikao chao walipeana mbinu gan.. Ndo hapa wanaume tunawaza mbinu ya kuwatulza watawalike hawa viumbe ke
Kukaa kimya mpinzani wako asijue unawaza nini ndio mbinu bora.

Hii mitandao imeibua masimp ndo tatizo, kazi kulialia tu mitandaoni.
 
Adhabu kwa kosa la kuua ni kunyongwa tu.
Haijalishi umebadirisha dini au umeoa msomi mwenye kiburi.
Kikubwa kuwa mwangalifu na matendo yako.
Siyo kweli, inategemeana na aina au namna ya Mauaji yenyewe. Mauaji bila ya kukusudia unaweza ukahukumiwa kifungo cha miaka kadhaa tu kama vile miaka miwili, Saba, tano, n.k.

Mauaji ya kukusudia Hukumu yake ndio kunyongwa hadi kufa.
 
Kukaa kimya mpinzani wako asijue unawaza nini ndio mbinu bora.

Hii mitandao imeibua masimp ndo tatizo, kazi kulialia tu mitandaoni.
Na ndo weng wakiumizwa hko hukimbilia mitandaon kulialia, cjui ndo inakua wameadhirika kisaikorojia
 
Wazee wa Tafuta Hela๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira.
Kutamani tu kubadiri dini kwa sababu yake mpaka kilipomtokea huyu jamaa inaonesha na wewe ni wale wale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ