PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watafungua kwanza Uchunguzi then watatoa hati za kuwakamata.

Kwa tulipofika pona ya Mkuu wa Polisi, IGP na DGIS ni kuomba uhamisho nchi za nje na kumwaga ugali kumwangushia jumba bovu Samuya.
Wanapanga kusitaafu wachukue mafao yao watoroke wakeishi congo au Burundi sehemu ambazo hawatajulikana walipo kama Joseph kabila sasa
 
ICC ipo na itakuwapo sana lakini haina uwezo kuzuia wahalifu wasipate adhabu stahiki wanapoleta vurugu.
Wewe ukifa kwenye hizo vurugu zenu hao wazazi au tegemezi wako watanufaika nini na hao ICC?
Alisikika chawa moja akisema.
Bado watakuwapo mpaka VIROBOTO.
 
Tunaomba msisambaze hizo taarifa tusameheane ,usipokubali kusamehe utalazimishwa
 
Unanikumbisha Crip ya Gaddafi aligaragazwa, acheni kabisa. Dunia ikikutaka hutoki nashangaa mtu anakaza trako dah
 
Unanikumbisha Crip ya Gaddafi aligaragazwa, acheni kabisa. Dunia ikikutaka hutoki nashangaa mtu anakaza trako dah
Acha waendeleze kiburi tu. Hawajui kusoma alama za nyakati ila ukweli ni kwamba tulipofika mbuzi ameshaelekea kibra. Kifuatacho ni kuchinjwa tu
 
Bado unakaza tako?

Endelea tu kukaza tako. Desemba 9 tunaandamana na tuueni wote ila jueni tu sasa Dunia imewakalia kooni.
Ila jamaa unaandika hatari...unaweza kuhisi nchi inaungua moto yote kumbe hakuna chochote kinachoendelea na wananchi wanachapa KAZI kama kawaida ..ww utakuwa pdre kitim
 
Hilo eneo la kondo CNN wanalodai watu wamefukiwa kwani liko mkoa Gani? Je Kuna makazi ya watu huko?
 
Umewaza vyema kabisa. Wapo wenye busara kama hizi
 
hamjamaliza tu kuandika barua zenu?
 
Hii ngoma ngumu kuchomoka!
 
Tunaomba msisambaze hizo taarifa tusameheane ,usipokubali kusamehe utalazimishwa
Umeanza kufyataaa!! Si ulikua unabweka wee??
Unaogopa nn sasa? Mxxxiiiieeeew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…