PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umeanza kufyataaa!! Si ulikua unabweka wee??
Unaogopa nn sasa? Mxxxiiii

Wanasema ni Kunduchi.
Hakufikiki? Kwa Nini watu waamini report ya CNN ya marekani wakati hiyo sehemu wanayodai Kuna makaburi ya halaiki kumbe ni hapo kunduchi TU??
 
Hakuna mwenye akili ya kukiri na kuwajibika. Acha wapelekewe moto tu.

We si umeona wanavyoteka na kupoteza wafanyakazi wa mochwari na Madaktari?

Si umeona wanavyoendeleza kamata kamata ya vijana mitaani?

Hawa watu wameziba masikio na macho wameshindwa hata kusoma alama za nyakati. Uzuri Mungu wetu sote na anawaonesha kweli.
 
Yalivyo majinga huwa yanasema uharamia yanayoufanya waziwazi. Ndo ujue hayana akili.

Ukiwasoma hawa machawa wa humu kisha ukimsoma yule chawa wao mkuu Kigogo wa X utaona tu yanavyojitia hatiani kwa maneno yao.

Yanadhani kuua na kutisha kuua watu ni salama kumbe ndo wanajimaliza.
Ni kunduchi au Ununio? Mbna mnachanganya Waja, Lol
 
Sasahivi satelite zote zinazunguka Tanzania. Hiyo Desemba 9 tunaingia mtaani kulikomboa Taifa.
December 9 fanyenyeni maandamano yenu kwa utulivu, Mki Vamia mali za watu, Chuma itatembea kama tarehe 29 October.
Ata Vyombo vyote vya habari vya Dunia vikielekeza satellite zake apa Bongo, Haita Fanya vyombo vya ulinzi na usalama visitimize majukumu yake.

Ivyo vyombo vya Dunia vya Magharibi mbona havitoi habari za Gaza walipo uwawa zaidi ya wa Palestine 70,000!!!
 
Upo sahii upo unaenda vizuri na utabiri wa marehemu sheikh Yahya aliyetabiri Rais mwanamke hatafika mbali ataishia miaka michache
Sheikh yahya alitabiri jpm ataongoza kwa kipindi kifupi baada ya hapo tutakua na rais mwanamke na baada ya hapo upinzani utachukua nchi. Nakumbuka yale mahojiano nilikuaga olevel kipindi hicho ilikua star tv au chanel ten.

Aliulizwa Tanzania itakuja kuwa na Rais mwanamke? Akajibu baada ya kikwete kumaliza muda wake tutapata rais mchapakazi sana lakini hatokaa madarakani kwa muda mrefu. Baada ya hapo ndipo tutakua na rais mwanamke, na baada ya hapo upinzani utachujua nchi.
 
Hili SUALA ni Zito sana ,linahitaji maamuzi MAGUMU na SAHIHI!
CC: CCM na TISS
Maana yake ni kwamba ccm central commitee wamvue uanachama akose sifa za kuwa Raisi au TISS wamfanyie nywinyinyi , so ndio maana yake au mimi bado sijakuelewa? Jazilizia nyama basi
 
Uyawazayo yanaweza kutokea!
 
You nailed itπŸ‘ŠπŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…