Kwa Interview hii, Kiredio amuache huyu demu mapema kabla hajaweuka

Kwa Interview hii, Kiredio amuache huyu demu mapema kabla hajaweuka

Kiredio soon atalia kuna mabazazi wao wakiona nyama wanatuma vijana wao tu wafikishe meseji, we unahonga iphone wenzako wanahonga range kiredio amzalishe uyo demu chap bila ivo itakula kwakee au atafute pesa zaid mi noona ya 🎤 🌶 yakijirudia kwakwe
Na tena zipigwe mimba zinazokimbizana iachwe interval ya mwaka mmoja, tofauti na hapo tuhifadhi hili andiko tutakuja kufufua kaburi huko mbeleni panapo uzima.
 
Ndio akina nani hao?

Anyway, comments za humu zinaonyesha vile tulivyo wajinga, ety huyo mwanamke azalishwe ili atulie 😂

Mwanamke akiwa Malaya, daima atabaki kuwa Malaya na hakuna kitakachombadilisha.
 
Ndio akina nani hao?

Anyway, comments za humu zinaonyesha vile tulivyo wajinga, ety huyo mwanamke azalishwe ili atulie 😂

Mwanamke akiwa Malaya, daima atabaki kuwa Malaya na hakuna kitakachombadilisha.
Kwanza siku hizi kumpa mimba mwanamke hasa hao wa mjini ni jambo gumu wana mbinu kibao za kukwepa mimbaa.
 
Back
Top Bottom