Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Yn kusema kumpa mimba mwanamke ndio njia ya kumfanya asikuache, hapo inaonyesha vile mwanaume huna akili timamu.Kwanza siku hizi kumpa mimba mwanamke hasa hao wa mjini ni jambo gumu wana mbinu kibao za kukwepa mimbaa.