Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
- Thread starter
- #61
Hiyo ndio red flag namba moja Kiredio alitakiwa aigundue mapema... Kiredio hapo awali aliwahi kusema demu wake anasumbuliwa mpaka na wachezaji... ila hapo demu anakataaa alafu kiredio ni kama akakaa kimya kapigwa na butwaaMtangazaji unamuuliza manzi wa kiredio hivi si unasumbuliwa sana na wanaume mitandaoni huko demu anasema "hapana sisumbuliwi kabisa Wala situmiwi message dm" Kama umesoma Cuba utakuwa una majibu