Kwa Interview hii, Kiredio amuache huyu demu mapema kabla hajaweuka

Na tena zipigwe mimba zinazokimbizana iachwe interval ya mwaka mmoja, tofauti na hapo tuhifadhi hili andiko tutakuja kufufua kaburi huko mbeleni panapo uzima.
 
Ndio akina nani hao?

Anyway, comments za humu zinaonyesha vile tulivyo wajinga, ety huyo mwanamke azalishwe ili atulie 😂

Mwanamke akiwa Malaya, daima atabaki kuwa Malaya na hakuna kitakachombadilisha.
 
Ndio akina nani hao?

Anyway, comments za humu zinaonyesha vile tulivyo wajinga, ety huyo mwanamke azalishwe ili atulie 😂

Mwanamke akiwa Malaya, daima atabaki kuwa Malaya na hakuna kitakachombadilisha.
Kwanza siku hizi kumpa mimba mwanamke hasa hao wa mjini ni jambo gumu wana mbinu kibao za kukwepa mimbaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…