Yn kusema kumpa mimba mwanamke ndio njia ya kumfanya asikuache, hapo inaonyesha vile mwanaume huna akili timamu.Kwanza siku hizi kumpa mimba mwanamke hasa hao wa mjini ni jambo gumu wana mbinu kibao za kukwepa mimbaa.
Mademu kama hao vigumu kuzaa labda atake yeye,hapo kirediio ni kama ngazi tu,demu anatafuta vibopa wenye keshi ya maanaKiredio soon atalia kuna mabazazi wao wakiona nyama wanatuma vijana wao tu wafikishe meseji, we unahonga iphone wenzako wanahonga range kiredio amzalishe uyo demu chap bila ivo itakula kwakee au atafute pesa zaid mi noona ya 🎤 🌶 yakijirudia kwakwe
Naunga mkono hoja mkuu 😃Ndio akina nani hao?
Anyway, comments za humu zinaonyesha vile tulivyo wajinga, ety huyo mwanamke azalishwe ili atulie 😂
Mwanamke akiwa Malaya, daima atabaki kuwa Malaya na hakuna kitakachombadilisha.
Mimba sio tiketi ya kufanya mwanamke atulie na wala msiachane, japo kuna mahali huwa kama ikitokea inawapunguza speed japo nayo sio guarantee mwingine inakuwa kama ume mfunga booster la kugongwa sasaYn kusema kumpa mimba mwanamke ndio njia ya kumfanya asikuache, hapo inaonyesha vile mwanaume huna akili timamu.
Hata kama una familia kubwa huwezi kununua daladala na kulifanya gari la familia, hvy hvy Malaya hata awe mzuri kwa 100% huwezi kumfanya kuwa mke/mama watoto wako.Naunga mkono hoja mkuu 😃
NaamMimba sio tike ya kufanya mwanamke atulia na wala msiachane, japo kuna mahali huwa kama ikitokea inawapunguza speed japo nayo sio guarantee mwingine inakuwa kama ume mfunga booster la kugongwa sasa
Jamaa awe makini mnoUmoja wa wanaume wasiojiamini umeimarika sana naona mmesafisha Ghala la silaha na kurusha silaha nyingi nyingi. 🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie mpo upande Gani
Certified Hater Vincenzo Jr
Peleka motoDogo hana uwezo wa kuitunza hiyo ngamia, ni swala la mda tu mtasikia kilio. Atumie nafasi hii vizuri kumkazaa kisawa sawa kabla hajaachwa
Makini na nini?Jamaa awe makini mno
NitamgongeaMakini na nini?
Wa wanaume. 🫂Umoja wa wanaume wasiojiamini umeimarika sana naona mmesafisha Ghala la silaha na kurusha silaha nyingi nyingi. 🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie mpo upande Gani
Certified Hater Vincenzo Jr
Mdomo mwingi tu🤣🤣 vingapi vya hovyo vimekushinda hapaNitamgongea
Itabidi nikufungulie intro tena naona Uraia umekua sasa🤣🤣Wa wanaume. 🫂
Kumbe vya ovyo vimejaa humu 😂Mdomo mwingi tu🤣🤣 vingapi vya hovyo vimekushinda hapa
Kwa kibali chako tu🫡Itabidi nikufungulie intro tena naona Uraia umekua sasa🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Uvikute sasa.Kumbe vya ovyo vimejaa humu 😂