Kwa Interview hii, Kiredio amuache huyu demu mapema kabla hajaweuka

Mtangazaji unamuuliza manzi wa kiredio hivi si unasumbuliwa sana na wanaume mitandaoni huko demu anasema "hapana sisumbuliwi kabisa Wala situmiwi message dm" Kama umesoma Cuba utakuwa una majibu
Hiyo ndio red flag namba moja Kiredio alitakiwa aigundue mapema... Kiredio hapo awali aliwahi kusema demu wake anasumbuliwa mpaka na wachezaji... ila hapo demu anakataaa alafu kiredio ni kama akakaa kimya kapigwa na butwaa
 
Yn kusema kumpa mimba mwanamke ndio njia ya kumfanya asikuache, hapo inaonyesha vile mwanaume huna akili timamu.
Mimi nilishawahi kushuhudia wanawake watu wazima wamezalishwa watoto watatu wameishi kwenye ndoa miaka zaidi ya 20 na wahuni wakamtorosha achana na hivi viumbe kabisa hawana Pie.
 
Namshauri, amzalishe watoto 3 wanaofuatana fuatana ili kupunguza makali
 
Mwanamke maminyonyo nje nje hivyo mtu unamwoa na unamweka ndani... Ngoja nikae kimya msije mkaniambia nitafute hela 😅😂😂
Ata mimi amenishawishi, subiri nitafute namba nikanyonye embe dodo.
 
Mtu anaitwa kiredio sasa utegemee nini?
Ndo kina pili pili hawa.
 
The point ni kuwa...Mwanaume kazidiwa mwili na mwanamke ndio chanzo cha yote hayo hadi mtangazaji ndio maana nauliza hayo maswali.

Unakuwaje na mwanamke kakuzidi urefu na mwili kama hivyo
 
Sasa hayo mambo mengi ya kitaifa si uende ukayajadili huko kwenu au kwenye uzi wako... Hapa sisi tunajadili maisha mengine yanayoemdelea duniani.... sio kila saa kuzungumzia Taifa
Si useme unajadili udaku mkuu!
 
Ndio akina nani hao?

Anyway, comments za humu zinaonyesha vile tulivyo wajinga, ety huyo mwanamke azalishwe ili atulie 😂

Mwanamke akiwa Malaya, daima atabaki kuwa Malaya na hakuna kitakachombadilisha.
Kwani malaika cute hakuzqlishwa
 
Umeona nini katika video hii mpaka useme hivyo
 
Huyu Kiredio ni Mbunge wa Jimbo gani?

Kwani ana undugu na Baba Levo?
 
Mimi nilishawahi kushuhudia wanawake watu wazima wamezalishwa watoto watatu wameishi kwenye ndoa miaka zaidi ya 20 na wahuni wakamtorosha achana na hivi viumbe kabisa hawana Pie.
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…