nngekuona unajibu hivi nipo karibu yako ningekutafuna ukiwa haiHiyo dini hata wakifa hawana faida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nngekuona unajibu hivi nipo karibu yako ningekutafuna ukiwa haiHiyo dini hata wakifa hawana faida
Mwanzoni zilikuwa zinashikiliwa na naniAlfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza.
Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya Gaza ikitoa visingizio kuwa ina taarifa ya kutumiwa kituo hicho kwa vitendo vya kigaidi.
Kwa sasa njia zote za ardhini za kuingia Gaza ambazo huwa zinatumiwa na mashirika ya misaada kuwafikishiwa wapalestina chakula na mahitaji mengine zitakuwa zinashikiliwa na jeshi hilo la Israel
Upande wa kaskazini ya Gaza eneo la Erez kwa muda mrefu limekuwa likishikiliwa na jeshi hilo ambapo kiasi kinachoruhusiwa ni kile cha kuwafanya wakazi wa eneo hilo wasife tu kwa njaa lakini wasishibe na kuishi kama binadamu wengine.
Umoja wa mataifa na mashirika mengi ya misaada yamekuwa yakiilalamikia Israel kuwa kiasi wanachoruhusu kuingia Gaza ni kama tone tu la mahitaji kwenye bahari.Hata hivyo lawama hizo hazijaifanya Israel kulegeza kamba
Sa yanini huwa anataka maongezi na Hamasi ya amani, kama anauwezo huo.Israil anaendeleza kichapo maalim
Kama vile wewe kuamini Yesu ni Mungu, na Israel kusema ni taifa lake.Umekuwa brainwashed vibaya sana
Hila nyinyi amba pope wenu kawaruhusu muoane wanaume ndio mnafaida hili dunia inuke💩💩Hiyo dini hata wakifa hawana faida
Allah huyu huyu? Nikushauli kitu ndugu yangu nenda Rafah ukawasaidie ndugu zako katika Imani. Achana na Allah na mud. Hakuna cha bikira 72 peponiWasijali wapalestina. Allah mwenyewe huruma muweza wa yote atawashushia chakula na maji na kuliteketeza na kuifuta taifa ovu la Israel kwenye ramani ya dunia.
Tusisikie cease fire cease fire cease fire huko RafarBado vita ni mbichi.Usifanye papara.
Ukiona mtu kaamua kupambana namna hiyo ujue uonevu umekuwa mkubwa na hana njia nyengine .Unaanzisha fujo na wababe wako ilhali haujui hata chakula utakipata wapi?Hamas ni wapumbavu sana.